Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Yule alikiwa anamtaja taja mungu, hakuwahi kuwa mcha munguHalafu mbele ya maaskofu aisee.... ile video kila saa naiangalia nasema hiiiii!
Ndo maana alikua na mambo ya ajabu sana maana mcha Mungu hangeweza simama madhabahuni akawasuta watumishi wa Mungu...
Mtu wa Mungu kweli asingewatesa maaskofu kiasi kile.
Jamaa alikua mshirikina first class
hiyo ni perception yako mkuu, lisu hajaongea direct ye katoa hidden codesMaelezo ya Lissu ni dhahiri kamaanisha huyo jamaa! Hata mimi nimemshangaa sana. Tena akasisitiza sio yule mwanajeshi bali yule mweusi sana pande la mtu anayesimama pia karibu na JPM! Huyu jamaa ipo shida mahali ....
sikushangai wenge lako ng'ombe nashangaa jinsi unavyoelemewa na ukubwa wa pembe lakoJamaa anakosa weledi sasaivi wa ku challenge serikali amekuwa ana bwabwaja bwabwaja tu umbea kama wakina juma lokoleπΆπΆπΆ
Kwani tundu la Choo anavyozusha mambo, Mungu anafurahi au anachukiaKwani ukitukana hilo tusi unafikiri Mwenyezi MUNGU anafurahi au anachukia?
Sasa kwanini mumzushie kuwa yule mlinzi aliyekuwa anamzungumzia alimaanisha huyu ambaye mtoa mada anamzungumzia?Mwambie Lissu kama hawezi kumtaja jina basi anyamaze kuhusu hiyo inshu maana analeta taharuki kwenye jamii. Mwenye ugomvi nae keshatangulia mbele ya haki uko, hivyo sio vizuri kuzushia watu vifo na kama kweli kafa basi ataje jina maana hakuna kosa lolote kama ni kweli.
Wewe mpuuzi kama Tundu Lissu unadhani mimi ni level yako? Tundu Lissu ni mpuuzi hata Plo Lumumba anamshangaa sana na chuki zake dhidi ya Hayati Rais Magufuli.Umesikiliza au una ropoka tu?
Jitoe ufahamu tu lakini MOLA anafahamu dhamira yakoKwani tundu la Choo anavyozusha mambo, Mungu anafurahi au anachukia
Ndugu acha kumtaja taja Mola huku, huna utakatifu au usafi huo wa kuni lecture me kuhusu MUNGU/ MOLA. Mnajikutaga some smart perfect fellas.Jitoe ufahamu tu lakini MOLA anafahamu dhamira yako
Mungu wa MBINGUNI anafahamu dhamira yako moyoni mwako dhidi ya watu wake. Nakusihi tenda HAKI tofauti na hivyo MOLA atakutendea HAKINdugu acha kumtaja taja Mola huku, huna utakatifu au usafi huo wa kuni lecture me kuhusu MUNGU/ MOLA. Mnajikutaga some smart perfect fellas.
Ww unajua dhamira ya Lisu huko Belgium, tormentors of Congo and patrice lumumba, ulijua dhamira yake lisu kwenye saga ya acacia na upande alokuwa anatetea na upande ulioshinda. Etc etc.
Buda huongei na layman hapa, toeni boriti jichoni mwenu kwanza.
"The guy you see behind him all the time"hiyo ni perception yako mkuu, lisu hajaongea direct ye katoa hidden codes
Tatizo lipo kwenu nyinyi mnaotaka mzi crack hizo codes mnasukumwa kwa mihemko mnajikuta mnataka mpate jibu ambalo nyinyi litawafurahisha
We unayejiita scars nawe ni kama lisu tu shaka sali kamshangaa na pl lumumba naye kamshangaa wewe ni nani ukute ata kipindi ukukiangalia maana generally wasikilizaji wote dunian wamepima akili za lisu zilivyo mpaka kapeea ushauri wa bure na lumumba yule mkenya kwamba asipojiangalia atapoteza ata wafuasi wake kwasababu hasira ndo zinamdrivehiyo ni perception yako mkuu, lisu hajaongea direct ye katoa hidden codes
Tatizo lipo kwenu nyinyi mnaotaka mzi crack hizo codes mnasukumwa kwa mihemko mnajikuta mnataka mpate jibu ambalo nyinyi litawafurahisha
Watu wake ni wapi hao unao wazungumziaMungu wa MBINGUNI anafahamu dhamira yako moyoni mwako dhidi ya watu wake. Nakusihi tenda HAKI tofauti na hivyo MOLA atakutendea HAKI
WananchiWatu wake ni wapi hao unao wazungumzia