Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Yaani Jamaa Kafa Aisee. Imagine.

Daah. Kama Utani Yaani Ila Kafa saa Hivi wadudu wanashambulia Hatari.

Mambo ya Kusimamisha sina Uhakikà sina Ila Kufa Jamaa Kafa na Nilienda Kirumba Kumshangaa.
Wamekufa mitume wa Mungu ila shetani anadunda hadi sasa.
 
kamtaja?.

jaribu kuwa siriazi basi.
AMEMTAJA yaani unataka utafuniwe kila kitu? wakati Clip inajieleza?
fungua na usikilize, keani ukiambiwa Rais wa sasa wa TZ ni wa jinsia ya kike ni mpaka akutajie kuwa ni Bibi Titi Mohamedi? mbona kuna ubishi wa kitoto?
 
What God did to your pompous man and Lissu justifies who righteous was. Imagine 16 bullets never killed a righteous person but just a flue and an electric shock of 0.0001 voltage killed a bad man.
To you, it means that anyone who dies of anything natural is a bad man! Am I correct?
 
Sasa kama yeye hajamtaja inakuwaje nyie mnamlisha maneno? Ka Nyani nimekapuuza sana!
Ndio maana nikauliza yeye alitaka sisi tuelewe vp kwa kutokumtaja huyo mlinzi? walinzi waliyokuwa wanakaa nyuma ya Magufuli wapo tumeona picha zao wakiwa msibani.
 
Katangulia yeye ilihali alitaka wenzie wafe wakiwa bado na nguvu
Hakuna cha ajabu hapo,kila mtu ana siku yake ya kifo na aina ya kifo chake na uzuri kila mtu anakubali kwamba kuna siku atakufa.
 
Mtego
mlinzi mweusi.......................................... upi?
wewe umeweka picha
 
AMEMTAJA yaani unataka utafuniwe kila kitu? wakati Clip inajieleza?
fungua na usikilize, keani ukiambiwa Rais wa sasa wa TZ ni wa jinsia ya kike ni mpaka akutajie kuwa ni Bibi Titi Mohamedi? mbona kuna ubishi wa kitoto?
sio nifungue nisikilize tu, mimi niliipakua, mjadala mzima ninao kwa device yangu na sijaona ALIPOMTAJA .
ama, unamaanisha nini unaposema ALIMTAJA ?.,

ikiwa ALIMTAJA , huu mjadala usingelikuwepo.. hicho unachokihita KUTAJA ni Assumptions zako tu.
 
Hebu nitajie mtanZania aliyepigwa risasi 16 mchana mweupe na akaishi kisha akasamehe
 
Hebu nitajie mtanZania aliyepigwa risasi 16 mchana mweupe na akaishi kisha akasamehe

Endeleeni kumdanganya,naona mmeamua kuwa hawezi kuja kuwa Rais wa Nchi hii! Mwanasiasa gani unaharibu image yako kwa kugombana na mtu aliyekwisha tangulia mbele ya haki? Endeleeni siku akija kwa Kampeni sisi tutamkumbusha huu upuuzi wake.Uzuri Wapiga kura halisi wamekaa kimya wanamsubiri.
 
Huyu Lisu huwa ana uwezo mkubwa sana wa ku-provoke.Usipo kuwa makini unaweza ingia mzimamzima.

Hapa hajataja yoyote yule ,na raisi alikuwa ana walinzi wengi weusi.,na wengine ulikuwa huwezi jua kama ni walinzi wa raisi mpaka uambiwe.Labda wewe ungeuliza hivi ni mlinzi yupi wa raisi aliyefariki kwa C-19? ungeishia hapo ingetosha.
 
Una akili finyu sana we kisikio poo, sasa unauliza ni yupi huku kule juu ushamhukumu Lissu kuwa ni muongo?

Unawajua walinzi wote wa aliyekua Magufuli? Lissu amemtaja jina ukamjua?

Akili zenu hazijapishana na ng'ombe mnaolala nao.
Ni kawaida ya mataga 😆😆
 
Asante sana....
 
Nilidhani una ushahidi to the contrary, kumbe unaongea bila uhakika. Ikiwa ni kweli je?

Aise bahati sikufungua ningeliwa MB zangu bure, kumbe hakutaja jina lenyewe,,,Nashukuru sana master kuniokolea mb zangu. acha nisepe 🏃‍♂️
 

Shaka Ssali kauliza swali dogo tu,”ukiwa kama Mwanasheria unaweza kuprove Rais alikufa kwa ugonjwa wa Corona” Majibu yake sasa looh,nimeambulia kusikia blah blah blah tu za “my source in Nairobi,my sources in....hadi Mzee Shaka akatikisa kichwa tu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kifo cha mlinzi kinahusiana na madai ya kwamba Magufuli kafa kwa corona hivyo ndio pia wanadai hata mlinzi wake kafa kwa corona pia. Ila mke wa ni marehemu ni mzima.
Mkuu hata ingekuwa ni C-19, kifo ni kifo tu...hakuna madaraja katika vifo

Hizo claims za Lissu hazina mashiko
 
Umejuaje alikuwa anamzungumzia huyu? Wewe ndiye ujieleze kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…