Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Una uhakika alikuwa anamzungumzia huyo? Kwani mlinzi wa Mwendazake alikuwa mmoja tu?
 
Anyway; I see two dark people in the picture, one in front and another behind. It is difficult to pinpoint the individual being alleged to die of the pandemic. It is a weak argument to prove to anyone, let it be in court. After all; no name is mentioned. "Poa mkuu. Naona mwamba wa Singida anakutia wehu".
 
Haa. He finish his mission with covid-19! We said and said before! Covid dont know you are a president! Covid kills! But you foolish Magufuli's supporters you keep on calling us names! To hell with dictactor uchwara!
 
Maelezo ya Lissu ni dhahiri kamaanisha huyo jamaa! Hata mimi nimemshangaa sana. Tena akasisitiza sio yule mwanajeshi bali yule mweusi sana pande la mtu anayesimama pia karibu na JPM! Huyu jamaa ipo shida mahali ....
Wewe na wewe bado una moyo wa kupiga bla bla bla hapa! Nyie mlikuwa mnabisha mnasema rais anachapa kazi! Leo umefufuka bibi Josephina Mshumbuzi? Tuambie basi umempa nini Dr mpaka ukamteka akili zake namna ile!
 
Siyo ''inshu'' na wewe mtu mzima unakuwa kama mtoto wa darasa la kwanza! Ni issue na hata kama utaandika kwa kiswahili ni ishu!
 
Ongeza sauti.
 
Hakuna mlinzi wa Mh Late President JPM( RIP) ALIYEFARIKI THEY ARE ALL FINE AFTER THE BURIAL IN CHATO..lets be careful with our posts
 
Je wewe na Lissu wake mtazikwa kama nini tena bila kujulikana kama mbwa.
Nilifikiri labda Kiingereza ndicho kinakupa shida. Kiswahili nacho kinakupiga chenga? Mawazo yako ndio yamepinda! Angalia ulichoandika. Wake, tuichukulie kama typing error. Mtazikwa kama nini! Maiti, of course. Tena bila kujulikana kama mbwa. Certainly yes. Wao ni binadamu. Wakifa tu maiti zao zitazikwa kama maiti. Mwili wa mbwa aliyekufa ni mzoga. Mara nyingi hauzikwi unatupwa.
Na kuhusu Kiingereza chako cha hovyo, niseme kidogo. With intention to intimidate you yell: if he(Lissu) his a man enough. Father of All you seem to be a Father of None. For benefit of doubt, let us put IS for your HIS. Also call it typing error. You seem to be always in a hurry! The pronoun HE stands for men only. So Lissu is a man. He has a wife and two children. If that's what you mean by a man enough. He's never been a half. I bet he's one and half, if not more, men!
 
Being honest hala lissu alichemka picha halisi mlinzi mweusi aliekuwa nae mara nyingi nyuma yake ndo huyo atakama sio huyo tumeona walinzi wte waliokuwa nyuma yake wapo hai Sasa huyo ni yupi ambae yye lissu anamjua sisi hatujawai muona lissu nae anatatizo la uropokaji
 

Naunga mkono hoja!
 
Lissu aachane na hizi "interview" alichemka vibaya sana kwenye Hardtalk ya Steve Sukur na sasa ameendelea kuchemka kwenye "Straight talk Africa" ya Shaka Ssali
Tupe tafsiri yakuchemka kwanza,ama ndio nyie msiokuwa tayari kushindana kwa hoja.
 
Kaulizwa una ushahidi? Anaanza kuleta Stori sijui katoka huku kapelekwa huku mara kule. Una ushahidi oh circumstances hizi blah blah...as a lawyer!
 
Kweli nyinyi siasa za ushabiki zimewatoa akili . Na mfumo huu wa upinzani wa vyama vingi, kwa nchi yenye level ndogo namna hii ya uelewa , haufai .

Kwa hiyo marehemu yeye amefaidika nini ?!. Ikiwa anaozea ft 6 chini ardhini. Mamlaka na ulinzi wote ule. Where is he now ?!. Tutendeane kwa uema na haki. Kama yeye alifurahia kumlemaza mwenzie. Fimbo ya MNYONGE imelipwa na Mungu.

Odhis *
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…