Tundu Lissu ana cha kujifunza hapa, Siasa siyo Uadui

Nimeshakuambia kuwa mimi naingia humu kama burudani tu tofauti na wewe ambaye unafanya hapa ndiyo sehemu ya kupatia mkate wako wa siku. Ukifungiwa wewe utakufa njaa, papai wewe.
Mimi ni mkulima mzuri naye kula kwa jasho langu.
 
juu ya hizo tuhuma ulizosema juu ya chama cha mapinduzi ndugu dhidi ya tukio la shambulizi la lisu
Nimemjibu Lucas aliyeniambia nilete ushahidi juu ya shambulio la Lissu, kazi ya kupepeleza na kukusanya ushahidi wa jinai na kufungua mashitaka ni ya Jeshi la Polisi ambalo kwa sababu wanazozijua na ambazo ziko wazi kwa kila mwenye akili timamu hawakuwahi kufanya hivyo.
 
Cha AJABU ni CCM ndio ilianzisha UADUI kwa kumpiga RISASI nyingi JEMADARI TUNDU LISSU.

Halafu wanamtuma huyu Mpiga pelepete kuja kuanzisha Vijiposti vya Kindezi humu JF.
 
Nchimbi huyu ambae ndie alikua mmoja wa wafuasi wa lowassa waki imba waziwazi kua Wana Imani na lowassa kwenye mkutano mkuu July 2015
 
Nchimbi huyu ambae ndie alikua mmoja wa wafuasi wa lowassa waki imba waziwazi kua Wana Imani na lowassa kwenye mkutano mkuu July 2015
Umeelewa hoja inahusu nini? Umesoma andiko langu? Au umejibu kwanza kabla ya kusoma andiko?
 
Cha AJABU ni CCM ndio ilianzisha UADUI kwa kumpiga RISASI nyingi JEMADARI TUNDU LISSU.

Halafu wanamtuma huyu Mpiga pelepete kuja kuanzisha Vijiposti vya Kindezi humu JF.
Ilitakiwa uweke ushahidi wa hayo uzungumzayo.
 
Kwani wapi nimeandika Kuwa natafuta uteuzi.
Haya mapambio yako ndiyo yanakuchora kwa picha ya mtafuta uteuzi lakini ndiyo huwezi kuteuliwa mabandiko yako ni ya kiboya sana ni vile tu hazikutoshi ndiyo mwenyewe unaona unaandika mambo ya maana. Unajidhalilisha sana nina uhakika hata ndugu zako unawakwaza kwa haya mashudu yako uayojaza humu.
 
Yaani ww jamaa nakuombea ufe mdomo ukiwa wazi
 
Uthibitisho upo wapi wa hayo uzungumzayo?
 
Mtu kama wewe Huwezi kuelewa kitu kwa kuwa akili yako ni ndogo sana.
 
Umeelewa hoja inahusu nini? Umesoma andiko langu? Au umejibu kwanza kabla ya kusoma andiko?
Naona unazifumba macho akili zako kijana.

Punguza kua bias jifunze ku balance ⚖️ maoni na mawazo YAKO.

All in all,
all parties Kuna mazuri na mabaya Ila wewe kila kukicha ni kuponda UPINZANI

Msalimie ephen_ ukatoe mahari Sasa 😊 uoe Usha kua DAZ BABA (Daz mwalimu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…