SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sijakusoma mkuuna mbona kama unalisema kwa namna moja au nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakusoma mkuuna mbona kama unalisema kwa namna moja au nyingine
juu ya hizo tuhuma ulizosema juu ya chama cha mapinduzi ndugu dhidi ya tukio la shambulizi la lisuSijakusoma mkuu
Mimi ni mkulima mzuri naye kula kwa jasho langu.Nimeshakuambia kuwa mimi naingia humu kama burudani tu tofauti na wewe ambaye unafanya hapa ndiyo sehemu ya kupatia mkate wako wa siku. Ukifungiwa wewe utakufa njaa, papai wewe.
Nimemjibu Lucas aliyeniambia nilete ushahidi juu ya shambulio la Lissu, kazi ya kupepeleza na kukusanya ushahidi wa jinai na kufungua mashitaka ni ya Jeshi la Polisi ambalo kwa sababu wanazozijua na ambazo ziko wazi kwa kila mwenye akili timamu hawakuwahi kufanya hivyo.juu ya hizo tuhuma ulizosema juu ya chama cha mapinduzi ndugu dhidi ya tukio la shambulizi la lisu
Huna lolote wewe ni chawa unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa ndiyo maana usiku kucha mchana kutwa unajaza mapambio ya kumsifu mteuzi.Mimi ni mkulima mzuri naye kula kwa jasho langu.
Nchimbi huyu ambae ndie alikua mmoja wa wafuasi wa lowassa waki imba waziwazi kua Wana Imani na lowassa kwenye mkutano mkuu July 2015Ndugu zangu watanzania,
Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa katika mashauriano ya Masuala mbalimbali chini ya kituo cha Demokrasia Tanzania. Picha hii na namna viongozi wetu hawa wa vyama vyetu wanavyotabasamu na kufurahi inaonyesha siasa siyo uadui.
Lakini pia inaonyesha namna viongozi hawa walivyoelewa vyema na kuzifanyia kazi 4R Za Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye aliziasisi na kuzileta katika lengo la kulileta pamoja Taifa na kujenga umoja wa kitaifa, ndio sababu ya kuona leo watu wakiwa huru kuzungumza yaliyo katika vifua vyao kwa uhuru bila hofu.
Pia soma:
Lakini ndio sababu ya kuona viongozi wa vyama vya siasa wakikutana kwa pamoja kama hivi na kufanya mashauriano kwa njia ya amani kabisa, pamoja na vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na ile ya ndani bila shida wala vikwazo vya aina yoyote ile baada ya kuwa taratibu zote zimefuatwa na kuzingatiwa.
- Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Sasa angekuwa ndio Lissu yupo kwenye nafasi ya Mbowe yaani ya uwenyekiti ungeona namna anavyotoa matamko makali makali na ya hovyo hovyo yenye kujenga chuki,uhasama,uadui na kuchochea ubaguzi kwa misingi tofauti tofauti kwa maslahi yake binafsi.maana yeye ni mtu ambaye anapenda mavurugu vurugu na uhasama wa kisiasa.
Ndio maana hutoa lugha zisizo nzuri akiwa mwenye majukwaa ya siasa.ndio sababu hupenda kuita haya ni Ma CCM na yale ni Ma PoliCCM. Yeye huona ambao hawapo kwenye chama chake au hawakubaliani naye kuwa wote hawana akili na hawajitambui na ni mambumbu tu.
anasahau kuwa katika siasa hakunaga adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu na siasa siyo vita wala uadui.anasahau pia kuwa ili upate ushindi katika ngazi ya aina yoyote ile basi ni lazima ufanye kazi ya kuyashawishi makundi mbalimbali kukuunga mkono na kuwa upande wako badala ya kuyachukia na kuyatukana kwa matusi na lugha za udhalilishaji.
Ndio sababu Lissu anachukiwa na watu wengi sana na watumishi na wafanyakazi wengi sana katika vyombo vya ulinzi na usalama kutokana na maneno yake ya kuwadhalilisha na kuwashushia heshima. ndio maana hakuna anayeweza kumuunga mkono hata kwa kificho tu, maana kila mtu anaona ni mtu mropokaji, mkurupukaji, Mwenye kujaa mihemuko, jazba, hasira na hivyo kushindwa kutumia Busara na hekima katika kuzungumza na kushawishi watu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umeelewa hoja inahusu nini? Umesoma andiko langu? Au umejibu kwanza kabla ya kusoma andiko?Nchimbi huyu ambae ndie alikua mmoja wa wafuasi wa lowassa waki imba waziwazi kua Wana Imani na lowassa kwenye mkutano mkuu July 2015
Ilitakiwa uweke ushahidi wa hayo uzungumzayo.Cha AJABU ni CCM ndio ilianzisha UADUI kwa kumpiga RISASI nyingi JEMADARI TUNDU LISSU.
Halafu wanamtuma huyu Mpiga pelepete kuja kuanzisha Vijiposti vya Kindezi humu JF.
Kwani wapi nimeandika Kuwa natafuta uteuzi.Huna lolote wewe ni chawa unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa ndiyo maana usiku kucha mchana kutwa unajaza mapambio ya kumsifu mteuzi.
Haya mapambio yako ndiyo yanakuchora kwa picha ya mtafuta uteuzi lakini ndiyo huwezi kuteuliwa mabandiko yako ni ya kiboya sana ni vile tu hazikutoshi ndiyo mwenyewe unaona unaandika mambo ya maana. Unajidhalilisha sana nina uhakika hata ndugu zako unawakwaza kwa haya mashudu yako uayojaza humu.Kwani wapi nimeandika Kuwa natafuta uteuzi.
Yaani ww jamaa nakuombea ufe mdomo ukiwa waziNdugu zangu watanzania,
Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa katika mashauriano ya Masuala mbalimbali chini ya kituo cha Demokrasia Tanzania. Picha hii na namna viongozi wetu hawa wa vyama vyetu wanavyotabasamu na kufurahi inaonyesha siasa siyo uadui.
Lakini pia inaonyesha namna viongozi hawa walivyoelewa vyema na kuzifanyia kazi 4R Za Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye aliziasisi na kuzileta katika lengo la kulileta pamoja Taifa na kujenga umoja wa kitaifa, ndio sababu ya kuona leo watu wakiwa huru kuzungumza yaliyo katika vifua vyao kwa uhuru bila hofu.
Pia soma:
Lakini ndio sababu ya kuona viongozi wa vyama vya siasa wakikutana kwa pamoja kama hivi na kufanya mashauriano kwa njia ya amani kabisa, pamoja na vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na ile ya ndani bila shida wala vikwazo vya aina yoyote ile baada ya kuwa taratibu zote zimefuatwa na kuzingatiwa.
- Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Sasa angekuwa ndio Lissu yupo kwenye nafasi ya Mbowe yaani ya uwenyekiti ungeona namna anavyotoa matamko makali makali na ya hovyo hovyo yenye kujenga chuki,uhasama,uadui na kuchochea ubaguzi kwa misingi tofauti tofauti kwa maslahi yake binafsi.maana yeye ni mtu ambaye anapenda mavurugu vurugu na uhasama wa kisiasa.
Ndio maana hutoa lugha zisizo nzuri akiwa mwenye majukwaa ya siasa.ndio sababu hupenda kuita haya ni Ma CCM na yale ni Ma PoliCCM. Yeye huona ambao hawapo kwenye chama chake au hawakubaliani naye kuwa wote hawana akili na hawajitambui na ni mambumbu tu.
anasahau kuwa katika siasa hakunaga adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu na siasa siyo vita wala uadui.anasahau pia kuwa ili upate ushindi katika ngazi ya aina yoyote ile basi ni lazima ufanye kazi ya kuyashawishi makundi mbalimbali kukuunga mkono na kuwa upande wako badala ya kuyachukia na kuyatukana kwa matusi na lugha za udhalilishaji.
Ndio sababu Lissu anachukiwa na watu wengi sana na watumishi na wafanyakazi wengi sana katika vyombo vya ulinzi na usalama kutokana na maneno yake ya kuwadhalilisha na kuwashushia heshima. ndio maana hakuna anayeweza kumuunga mkono hata kwa kificho tu, maana kila mtu anaona ni mtu mropokaji, mkurupukaji, Mwenye kujaa mihemuko, jazba, hasira na hivyo kushindwa kutumia Busara na hekima katika kuzungumza na kushawishi watu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uthibitisho upo wapi wa hayo uzungumzayo?Mjinga unapo mtaka mwenye akili timamu asiwe mjinga! Unakuwa ni mpumbavu. Kama umeshindwa kujua maumivu waliyoyapata kwa kupigwa na fimno za umeme walizozitumia makaburu na sasa jazitumiki Afrika Kusini wewe huenda ilishiriki kumteka yule kijana aliyechoma picha huko Mbeya.
Amani ya Bwana iwe pamoja nawe.Yaani ww jamaa nakuombea ufe mdomo ukiwa wazi
Mtu kama wewe Huwezi kuelewa kitu kwa kuwa akili yako ni ndogo sana.Haya mapambio yako ndiyo yanakuchora kwa picha ya mtafuta uteuzi lakini ndiyo huwezi kuteuliwa mabandiko yako ni ya kiboya sana ni vile tu hazikutoshi ndiyo mwenyewe unaona unaandika mambo ya maana. Unajidhalilisha sana nina uhakika hata ndugu zako unawakwaza kwa haya mashudu yako uayojaza humu.
Lissu anao huo ushahidi.Ilitakiwa uweke ushahidi wa hayo uzungumzayo.
Sasa unataka nielewe nini unaposifia ujinga ili utupiwe makombo na wenye nazo, nipoteze muda wangu kuelewa njaa yako wewe vipi wewe?Mtu kama wewe Huwezi kuelewa kitu kwa kuwa akili yako ni ndogo sana.
Sina njaa kama uliyonayo weweSasa unataka nielewe nini unaposifia ujinga ili utupiwe makombo na wenye nazo, nipoteze muda wangu kuelewa njaa yako wewe vipi wewe?
Sina njaa ndiyo maana sijiegemezi kwa watu kama unavyofanya wewe njaa kali unaishi kwa huruma ya wengine.Sina njaa kama uliyonayo wewe
Naona unazifumba macho akili zako kijana.Umeelewa hoja inahusu nini? Umesoma andiko langu? Au umejibu kwanza kabla ya kusoma andiko?