zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sio yeye tu hata Maalim karibu mabinti zake wote ni raia wa nje. Haya mmesababisha nyie maana mnaingiza uhasama wa kisiasa kwenye uhai wa watu, hivi mtu akimwaga SMG kwa Lissu akiwa na familia yake unadhani hiyo hasara mtagawana?Familia yake ni raia wa marekani, Rob amster ni raia wa Canada, sasa yeye amiliki vitu Tanzania ili iweje?
Hapa bongo ana ukwasi wa wafuasi wake manyumbu wasiojua kuona mbele na kupambanua mambo. Wako tayari kutumiwa kisiasa bila kujali ni nani anawatumia, na kwa manufaa ya nani.
Heche walimuua mdogo wake, Wenje pia walimmaliza mdogo wake, let alone Mbowe amepoteza kaka zake na dada zake kibao kwa homa za ghafla unadhani familia za wapinzani ziko salama kwa siasa zetu? Lazima wajiongeze