econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Halafu wanawaambia watoto wa watu wengine waandamane
Lini waliwambia?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanawaambia watoto wa watu wengine waandamane
Nazani unakumbuka ligi yao ilivyoisha kibabe pale 2017
Kama ni kweli barrick ndio walimjengea itakua walimhonga.
Si huyu lissu anayesiifiwa kwa kupambana na wawekezaji kutetea wachimbaji wadogowadogo waliyokua wanadhulumiwa ardhi na fidia zao na wawekezaji wakubwa kama barrick? Kumbe mnafiki mkubwa
Anadubiria awe Rais aipige Nchi mnada kwa Wazungu 😂😂
Najua kwamba sasa hivi sio wakati wa uchaguzi kwa hiyo hakuna mgombea.Tofautisha mgombea na kiongozi. Lissu alishagombea muda uliopita kwa sasa hana cheo chochote serikalini au bungeni. Ndio maana hata ukienda Tume ya maadili utakuta taarifa zake.
Kuwadi hawezi kubali sheriaNchi sio duka. Nchi inaongozwa na sheria. Be serious.
Kwa wapumbavu kama wewe unafikiri bila Lisu na Mbowe CHADEMA itakufa??? Magufuli alikufa kwa roho mbaya hizi hizi za kudeal na watu badala ya kudeal na mfumo mzima wa vyama vya ushindani. Na kaa ujue kuwa hata Lisu akiwa Rais hauwezi pata chakula bure na Tanzania itaendelea kuwa Tanzania na hawezi kuwa rais milele.Huo ni ujinga wenu uliojaa kamasi kwenye bongo zenu.Obama mwenye asili ya Kenya alitawala Marekani na aliiacha salama, Kaunda mwenye asili ya Malawi aliitawala Zambia na akaiacha salama,Michael Sata mwenye asili ya Tanzania aliingoza Zambia kwa mafanikio makubwa na akaiacha salama.Familia yake ni raia wa marekani, Rob amster ni raia wa Canada, sasa yeye amiliki vitu Tanzania ili iweje?
Hapa bongo ana ukwasi wa wafuasi wake manyumbu wasiojua kuona mbele na kupambanua mambo. Wako tayari kutumiwa kisiasa bila kujali ni nani anawatumia, na kwa manufaa ya nani.
Halafu wanawaambia watoto wa watu wengine waandamane
Uko sahihi na aliijenga mwanzoni mwa miaka ya 2000Ana nyumba ya ghorofa iko Tegeta Azania Mtaa wa By Night. Ghorofa hii alijengewa na kampuni ya Barick
Aliwabana yuko wapi kama alikuwa bingwa wa kuwabana wazungu? Amekufa kifo cha kizembe kwa sababu aliamini sana katika mitishamba na siasa za kijima na bado wazungu hao hao wanatamba mmebaki kumlalamikia mama kila siku na hamna namna ya kufanya ila kulialia tu.Ni kosa la lissu sio CCM, magufuli alipambana kuwabana wazungu, lissu akakimbilia miga kuichongea serikali ya CCM.
Lissu ana utajiri mkubwa sana wa madini kichwani na anayachimba kila siku na kuyauza kimataifaLissu ameanza kusimamia kesi na kuwa kwenye jopo la mawakili kimataifa kabla hata hujabalehe ukidhani anategemea mafao ya ubunge kuishi jiulize tokea 1990s mpaka 2010 aliishije mind you aligombea ubunge tayari akiwa public figure.
Kwamba Lissu yeye ataishi milele?Halafu Lissu akashinda Magulii akafa. Lissu is a victor.
Hakuna anayemlalamikia mama, Magufuli nchi aliiacha pazuri, tulipo ni pazuri Sana na mpaka 2030 dk Samia akistaafu ataiacha nchi inabubujika maziwa na asali.Aliwabana yuko wapi kama alikuwa bingwa wa kuwabana wazungu? Amekufa kifo cha kizembe kwa sababu aliamini sana katika mitishamba na siasa za kijima na bado wazungu hao hao wanatamba mmebaki kumlalamikia mama kila siku na hamna namna ya kufanya ila kulialia tu.
Akili ndogo hujadili watu na matukioBadala ya kupambania mali na Matrilioni za umma serikali inazitumiaje wewe unaangaika na mali za watu.
Hizo tozo na mikopo mnayolalamikia kila siku viko mbinguni au Chadema??? Umeme kukatika mara kwa mara ni pazuri na chi ya maziwa na asali?? Umbumbumbu na upumbavu vinawaponza nchi inaendelea kuuzwa uarabuni nyie mmekalia nchi ya maziwa na asali, shit kabisa.Hakuna anayemlalamikia mama, magufuli nchi aliiacha pazuri, tulipo ni pazuri Sana na mpaka 2030 dk Samia akistaafu ataiacha nchi inabubujika maziwa na asali.
Wakati huo anafanya kazi LeAT na mshahara haufiki 1m ila kajenga ghorofa. Rushwa na hongo hizi. Na hapo ndipo alibadilika na akawa mtetezi wa Barick. Hakuna mkate mgumu mbele ya TiiiiUko sahihi na aliijenga mwanzoni mwa miaka ya 2000
Mwizi huwaza wiziWakati huo anafanya kazi LeAT na mshahara haufiki 1m ila kajenga ghorofa. Rushwa na hongo hizi. Na hapo ndipo alibadilika na akawa mtetezi wa Barick. Hakuna mkate mgumu mbele ya Tiiii