Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

Sio yeye tu hata Maalim karibu mabinti zake wote ni raia wa nje. Haya mmesababisha nyie maana mnaingiza uhasama wa kisiasa kwenye uhai wa watu, hivi mtu akimwaga SMG kwa Lissu akiwa na familia yake unadhani hiyo hasara mtagawana?

Heche walimuua mdogo wake, Wenje pia walimmaliza mdogo wake, let alone Mbowe amepoteza kaka zake na dada zake kibao kwa homa za ghafla unadhani familia za wapinzani ziko salama kwa siasa zetu? Lazima wajiongeze
 
We vitega uchumi wako viko wapi na vipi? Tuambie vyako then na ueleze ni kwanini unataka kujua vya Lissu.
Yeye sio mgombea wa nafasi inayomlazimu kutaja mali zake.

Lissu ni mgombea wa urais, kwa hiyo inatakiwa ataje mali zake tujue kama ni fisadi au mkwepa kodi.
 
Halafu wanawaambia watoto wa watu wengine waandamane
 
Acha kupotosha, Lissu alikimbia nchi miaka ya 2000 sababu ya kusakwa na hao watorosha madini. Kuna kitabu kaandika kinaonyesha jinsi tunaibiwa kupitia sheria zetu so amewindwa sana akiwa LEAT Sasa kivipi Tena awe anategemea pesa zao? Kama angetaka hayo si angekua mwanasheria wao rasmi azoe mabilion why aende kwenye siasa??

Msidhani Kila mtu anaongozwa na tumbo, JPM kwenye kampeni alikiri Lissu ni mwanasheria mahiri Hadi akaahidi asigombee Urais ampe cheo!! Ndio sembuse wewe hoehae!!?
 
Ana nyumba ya ghorofa iko Tegeta Azania Mtaa wa By Night. Ghorofa hii alijengewa na kampuni ya Barick
Kama ni kweli barrick ndio walimjengea itakuwa walimhonga. Si huyu Lissu anayesiifiwa kwa kupambana na wawekezaji kutetea wachimbaji wadogowadogo waliyokuwa wanadhulumiwa ardhi na fidia zao na wawekezaji wakubwa kama barrick? Kumbe mnafiki mkubwa
 

Kweli CHADEMA Ina trend. Kila baada ya dakika moja usi kuhusu CHADEMA.
 

Unafuatilia vitega uchumi vya wanaume wenzako, umekuwa shoga?
 
Mwanaume unaanzaje kufatilia mali za mwanaume mwenzio?? Uache kumtafuta Muumba wako,pesa,warembo,mpira nk. Unamfatilia mali za mtu wala sio mtumishi wa serikali useme labda anaiibiaga serikali... umbea wakiblazaduu huo shyyyyT
Kwenda zako na wewe utakua kibaraka wa barrick, mtu mlaku na mbinafsi😂
 

Punguza uongo, Lissu ni mwanasheria wa LEAT. Kasome cv yake. Punguzeni uongo hausaidii.
 
Anadubiria awe Rais aipige Nchi mnada kwa Wazungu 😂😂
 
Yeye sio mgombea wa nafasi inayomlazimu kutaja mali zake.

Lissu ni mgombea wa urais, kwa hiyo inatakiwa ataje mali zake tujue kama ni fisadi au mkwepa kodi.

Tofautisha mgombea na kiongozi. Lissu alishagombea muda uliopita kwa sasa hana cheo chochote Serikalini au bungeni. Ndio maana hata ukienda Tume ya maadili utakuta taarifa zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…