Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

George weah raisi wa laiberia mwanae anacheza timu ya taifa ya marekani.
 
Alikuwa mtetezi kabla hajafika bei. Walimnunulia hadi Range na magari kadhaa BIG HORN ambayo yalimsaidia kupata Ubunge

Una ka evidence cha hizo mali?
Big horn ni gari ya kawaida sana hata ww ukitaka unapata si expensive
 
Una ka evidence cha hizo mali?
Big horn ni gari ya kawaida sana hata ww ukitaka unapata si expensive
Hii ni nyumba anayoishi Tundu Lissu mtaa wa by night Tegeta Azania.

Sasa kuna siku nikipata muda nitaenda Mbeni kupiga picha na video apartments za Lissu.

Watu wanapiga pesa.
 

Attachments

  • 20230110_094741.mp4
    38.6 MB
Hii ndio nyumba ambayo Barick walimjengea Tundu Lissu na ndio makazi yake. Tegeta Azania, mtaa wa by night.

Siku nikipata muda nitaenda mbweni kupiga picha za apartments zake.
 

Attachments

  • 20230110_094741.mp4
    38.6 MB
Wewe ni mjinga sana!
 
Nilijua utaniletea ushahidi wa kuonyesha kuwa hiyo ni nyumba ya lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…