Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ana marafiki wa kificho, Rais Magufuli ana maadui wa kificho

Asilimia 70 za kutoka wapi ? Kwa watanzania!?.. Acheni kudanganyana na kufarijiana mitandaoni humu ! Lissu hana kifua cha kushindana na Jpm !.
Jiwe ana kifua kipi? Labda kifua cha polisccm.. na NEC..else ni mwepesi kama karatasi.. Mamvi tu alimshinda 2015.. ashukuru mapolisi na NEC..
 
JFs imesaidia kukuza ubora wa watu. Miala mitano hiiilificha vichwa. Hili ni bandiko bora kabisa wiki hii
 
Dkt Magufuli ana PHD wakati Bwana Lisu ana Masters tu.
Mpaka hapo Magufuli kashashinda urais
 
Jiwe ana kifua kipi? Labda kifua cha polisccm.. na NEC..else ni mwepesi kama karatasi.. Mamvi tu alimshinda 2015.. ashukuru mapolisi na NEC..
Ajawahi shinda chochote bila kubebwa si ubunge si uraisi,mbebaji Mungu kampenda zaidi,hoja za ushawishi Hana kingine zaid ya mabeberu, SGR, ndege,stiglers, flyover.Sijui nachingwea,korogwe, tarime utawaambia nimejenga flyover,ndege,sgr watakuelewa
 
Dkt Magufuli ana PHD wakati Bwana Lisu ana Masters tu.
Mpaka hapo Magufuli kashashinda urais
🀣🀣🀣🀣.. phd fake ile wewe.. hana akili stahiki ya kuweza kupambania huo mfupa.. mzee wa kubebwa, kabebwa kila mahala..
 
Si wengi wanaweza kusafiri sababu ya uchaguzi tu ..........na hapa kati+corona watu hali ziliyumba kimtindo wengi wamerelocate makazi.........kupiga kura kwa wengi hasa vijana ni wazito halafu afunge safari kwa ajili ya kupiga kura siku 1 tu kwa wengi ngumu
 
Kaulimbiu ya mwaka huu ni kuwa tutasafiri. Bora nisafiri nikapige kura na kuzilinda ili ashinde mtu Mwenye Sera Nzuri zitakazowezesha vijana kupata ajira na kufanya maisha kuliko nisisafiri kupiga kura ashinde mtu ajayeharibu uwekezaji na kupelekea vijana tukose ajira huku akitubambikia makesi na kutupiga risasi tusiyeendana na mawazo yake. Hapana kwa kweli.
 
Acha tuone hapo kwenye kupiga kura na kuzilinda kama kwa sasa kutakua na strategy mpya
 
Acha tuone hapo kwenye kupiga kura na kuzilinda kama kwa sasa kutakua na strategy mpya
Mbon case study zipo. Mwaka 2015 wabunge wa Chadema maeneo kadhaa walitangazwa na wasimamizi wa uchaguzi pamoja na figisu baada ya nguvu ya umma kufanya kazi. Sasa mwaka huu mpango ndo huo. Ni nguvu ya umma tu!
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa ulikatisha wengi morali ..............
 
Hakika umenena.
 
Watu wasome na kulielewa bandiko hili lako, ni zaidi ya kampeni iliyorahisishwa (simplified) hadi katika level ya kindergarten
Asiyeelewa hapa atakuwa kaamua tu kutoelewa
dhana halisi ya upinzani

Barikiwa sana
 
Uchaguzi ungekuwa mitandaoni mgombea wako angeshashinda tayari.
Bandiko halilengi kuchagua nani atashinda na yupo atashindwa, ni kutanabaisha tu upinzani unataka nini na kwa ajili ya nani
 
kwani hao waliotakiwa ku update ni wa upinzani peke yake hata ccm si wapo pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…