Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja gani? Tangia kampeni zimeanza uneshasikia kuna hoja yoyote kutoja kwa lisu?Ungeanza kueleza hoja ya Lisu kabla hajahitimisha kwa kauli hiyo.
Magufuli katekeleza Hoja za lisu juu ya vitambulisho vya machinga kama ulikuwa hujuiHoja gani? Tangia kampeni zimeanza uneshasikia kuna hoja yoyote kutoja kwa lisu?
Rais mpya wa Malawi kamtolea kinga Rais aliyepita ili ashitakiwe kwa mabaya yake yoteRais huwa anashitakiwa,au kijijini kwenu kuna mahakama za kumfunga raisi,pale beseni linapoaanzisha thread no shida
Mbona wao wanamwita kibaraka kwa ushahidi gani?
Sheria inakuwa kwa lisu tu? vp wale wapo mahabusu mpk leo?
Hivi wewe huwa unafuatiliaga siasa kweli? Ni Magufuli mwenyewe ndiye anayejiita Jiwe. Hivyo kuna ubaya gani akiitwa Jiwe na mtu mwingine hali ya kuwa ni yeye mwenyewe ndiye aliyejipa jina hilo?Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair.Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Mtukufu alizuia siasa kwa miaka mitano huku yeye na CCM yake wakifanya mikutano bila zuio lolote, akaamini kuwa kazuia madhaifu yake yasitangazwe kumbe hakujua wapinzani wanaweka kumbukumbu za miaka mitano na sasa wanasema vyote ikiwemo kuwanyanyasa watumishi wa umma kutowapa nyongeza za mishahara na kuwapandisha madaraja kwa miaka mitano,Kwa muda wa miaka mitano Meko alijiona kama mfalme ambapo alikuwa hatajwi kwa ubaya. Ila tangu kampeni zianze nadhalilika sana kwa maana uovu wake wote unaanikwa hadharani na huyu mwamba wa Singida (Lissu)
Watetezi wa CCM sasa wamepagawa hata majina yao wenyewe wanayakataa na kuwapakazia wapinzani, Tatizo kubwa kwa CCM ni kukosa watetezi wa maana mitandaoniHivi wewe huwa unafuatiliaga siasa kweli? Ni Magufuli mwenyewe ndiye anayejiita Jiwe. Hivyo kuna ubaya gani akiitwa Jiwe na mtu mwingine hali ya kuwa ni yeye mwenyewe ndiye aliyejipa jina hilo?
Watanzania wameamka sana wamegundua CAG kwenye utawala huu hafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria bali hufanya kazi kwa mujibu wa Maelezo tokea kwa mtukufu ndiyo maana CAG hajawahi kukagua hesabu za ununuzi wa NdegeTundu Lissu shikilia hapo hapo baba - MATAGA washaanza kulia huku.
sisi wapiga kura tunakuelewa sana....