minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Walizuia wapinzani wasifanye siasa kwa miaka mitano wakajua watawakomoa kumbe hawakujua wanawapa nafasi ya kuchunguza madhaifu yao yote.Duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walizuia wapinzani wasifanye siasa kwa miaka mitano wakajua watawakomoa kumbe hawakujua wanawapa nafasi ya kuchunguza madhaifu yao yote.Duh!
Mkuu Mkirindi , kwenye kumchagiza Tundu Lissu ndiye agombee na Magufuli, kuna kitu nilisema Lissu ni zaidi ya Magufuli ila sikukisema ni nini!.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Kufikia tarehe 28 October , kitaeleweka
P
Wapi pia zile 1.5tril za Wizara ya KigwagwalaaaaNiambie TRION 1.7 ZIKO WAPI?? KWANINI CAG ANAZUILIWA KUKAGUA NDEGE MANUNUZI??🤣🤣🤣 AMA KWELI UJINGA NI MZIGO
Zipo nduguHii nchi ina mahakama!?
Wewe nani alikutuma ukampige risasi? na ulitaka ukimpiga risasi akae kimya ili iweje? wewe hapo ulipo una chuki kubwa dhidi ya Lisu hata akuelezee nini juu ya kutekeleza maendeleo utaishia kubisha tu, CCM wameleta maendeleo yapi? Miradi yote mikubwa ina ufisadi 10%za wajanja wachache huko CCMUkishamtenganisha Lissu na tukio la risasi hana kingine cha maana anachoweza kukuelezea kuhusu maendeleo
Mkapa si alikiri mwenyewe kuwa yeye na wasaidizi wake waliiba fedha za EPA ili wagharamie uchaguzi wa 2005?Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi...
Jiwe si alijiita mwenyewe hilo jina unataka sisi tumwiteje?Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Pia zipo wapi bilion 252 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, kipo wapi kivuko cha Dsm Bagamoyo?Wapi pia zile 1.5tril za Wizara ya Kigwagwalaaaa
Ndo kaitwa jiwe Sasa. Mtafanya nn Lisu mwanasheria mbobezi. Risasi 16 zimeshindwa kumuua, mahakani atawabwaga asubuhi na mapema.Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair
Wagombea wote kwenye hiyo saccos lugha chafu ndio lugha yao. Lissu anataka akajifunzie uongozi ikuku chamwino seriously?. Akajipange mwaka 2040.Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi...
Ulituaminisha kwamba Lwakatare ameondolewa chadema hivyo anaweza kusababisha majanga katika hicho chama. Watu wengi wamekudharauMkuu Mkirindi , kwenye kumchagiza Tundu Lissu ndiye agombee na Magufuli, kuna kitu nilisema Lissu ni zaidi ya Magufuli ila sikukisema ni nini!.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Kufikia tarehe 28 October , kitaeleweka
P
ingekuwa ni saccos msingekuwa mnahangaika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu kuwanyanyasa na sasa mmekuja na ushetani mpya wa kupita bila kupingwa, Mbona huyo wa sasa kajifunzia ikulu hakuwahi kuwa kiongozi mzuri huko nyuma, meli ya samaki ilitia hasara Serikali, kivuko cha Dsm Bagamoyo alitia hasara Serikali zipotea bilion 252 wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, jipange wewe mwaka 2040Wagombea wote kwenye hiyo saccos lugha chafu ndio lugha yao. Lissu anataka akajifunzie uongozi ikuku chamwino seriously?. Akajipange mwaka 2040.
Zile billion mwenyekiti wa saccos alizouza chama mwaka 2015,umezisahau?. Je zile za wabunge waliokuwa wanakatwa mbona hamhoji mwenye chama. Kama kuna wapigaji, saccos namba Moja. Endeleeni kukusanya michango, kwenye hizo nyomi.Pia zipo wapi bilion 252 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, kipo wapi kivuko cha Dsm Bagamoyo?
Rais wa Malawi kamuondolea kinga Rais aliyepitahakuna uongo jpm ni mwizi wa fedha za umma sema sheria hairuhusu ashitakiwe akiwa bado madarakani