Kama ni kweli, ni haki Bagonza awe na chuki naye kwa kupora ardhi ya wana Karagwe. Vifo vya wenzao waliotangulia viwafunze kuwa hawataondoka na chochote kati ya hivi wanavyopora, na hii ndiyo imempa heshima kubwa sana mtangulizi wao Mwl Nyerere.Kuna masheikh wako jela miaka 7 sasa, mbona serikali imeshindwa kupeleka ushahidi mahakamani?
Wafanyabiashara wanabambikiziwa kodi ili kuwatemesha mpunga...