Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

Zile billion mwenyekiti wa saccos alizouza chama mwaka 2015,umezisahau?. Je zile za wabunge waliokuwa wanakatwa mbona hamhoji mwenye chama. Kama kuna wapigaji, saccos namba Moja. Endeleeni kukusanya michango, kwenye hizo nyomi.
Hizo zilikuwa propaganda za kishamba lakini wizi upo CCM ndiyo maana CAG alitolewa kafara
 
Mwacheni Lisu aongee anacho taka maana ni sehemu ya tiba kutokana na yaliyompata...
Jipe moyo hata Malawi Kenya Gambia Ghana Congo waliwahi kuwa na mawazo kama yako na leo hii vyama vingine vipo ikulu, hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa, wapo wapi akila mabutu, Abacha, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin Dada na Elbashiri wa Sudan?
 
Hata Mungu mwenyewe harenganishi Pumba na Makapi yote anaweka kapu moja anapiga moto. Tundu Lisu atapata wapi hiyo nafasi ya kutengenisha wezi wa CCM wote majizi
 
Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Hili jina la JIWE anajiita mwenyewe tafadhali.
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.

Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere...
Kununua ndege kwa cash ambayo haijapitishwa na bunge na kujenga uwanja wa ndege chato bila kupitishwa na bunge siyo wizi? Kilangila.
 
Kwa ushahidi wa kuiga kila kitu kutoka kwao
CCM wakienda kuomba omba misaada toka ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa CCM hugeuka na kuwaita mabeberu
 
Jipe moyo hata Malawi Kenya Gambia Ghana Congo waliwahi kuwa na mawazo kama yako na leo hii vyama vingine vipo ikulu, hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa, wapo wapi akila mabutu, Abacha, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin Dada na Elbashiri wa Sudan?
Wapinzani wa hizo nchi hawakuwa wahuni kama wa hapa kwetu
 
Kununua ndege kwa cash ambayo haijapitishwa na bunge na kujenga uwanja wa ndege chato bila kupitishwa na bunge siyo wizi? Kilangila.
Hata kupita trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara ni wizi mkubwa, CCM ni ile ile ukoo wa panya
 
Wewe nani alikutuma ukampige risasi? na ulitaka ukimpiga risasi akae kimya ili iweje? wewe hapo ulipo una chuki kubwa dhidi ya Lisu hata akuelezee nini juu ya kutekeleza maendeleo utaishia kubisha tu, CCM wameleta maendeleo yapi? Miradi yote mikubwa ina ufisadi 10%za wajanja wachache huko CCM
Una stress tafuta video ya yule dada wa IFM ujiliwaze nayo
 
Alie itwa mwizi akanushe mwenyewe kampuni ya mayanga na mengineyo kaa kwa kutulia mkuu mnyolewe make Lissu anatufumbua macho tulikua hatujui wengi.
Anawafumbua macho ili muende wapi ? 😂, Nyumbu bn..!
 
Tukuhoji ww km akili unazo nan kazidai tunahoji zimetumikaje ? F
Kwenye like tetemeko michango ilifika bil 900? Bill gates alitoa bil 200? Kuhusu kutumika si zilikarabati majengo ya serikali! Au hufahamu? Acha kupinga kila kitu
 
Kuna wakati Lisu anarelea kwenye kitabu cha Marehemu mzee Mkapa kuwa serikali ilichota fedha kiasi fulani kwa ajili ya mgombea wa chama, Je ni kweli Mkapa aliandika hivyo?
 
Dawa imewaingia eeeh? Ndo mana tunataka tubadirishe mfumo wa utawala wa nchi hii maana nchi hii sasa kwa mfumo huu viongozi pekee ndo watakaokuwa na ukwasi wa kutisha huku wananchi wengi wakiwa masikini wa kutupwa. Ndo mana CCM mnalishwa matango pori kukataa mfumo mpya wa utawala wa nchi hii maana viongozi wetu wa sasa wanatumia mfumo huu huu kutubabua vibaya sana!

Mwambieni Magufuli arudishe ardhi ya watu aliyopora na kujianzishia ranch.
Dawa yenu ni October 28 tu!
Ndio kamanda! october 28, 2060!
 
Tukuhoji ww km akili unazo nan kazidai tunahoji zimetumikaje ? F
Sipendi wafuasi wa Cdm ambao hawatumii akili. Kuwa na facts bil 900 + bil 200!
Screenshot_20200923-093755.png
 
Back
Top Bottom