Tundu Lissu anadai pesa ya matibabu kiasi Gani, na kwanini hajalipwa hadi Leo?

Tundu Lissu anadai pesa ya matibabu kiasi Gani, na kwanini hajalipwa hadi Leo?

Lissi ameishi marekani kwa zaidi ya Miaka minne wewe ukiwa bado unalala kwa baba Yako. Sidhani kama ni mshamba wa magari
Ohooooo! Si umeskia lakini wanasema amegombana na ma samia kisa kumnyima gari?
 
Shida ya ngozi nyeusi ni kupenda kufanya vitu kwa hisani hata vile vilivyo vya haki,na anaye dai haki huonekana mjuaji au mchochezi ni upumbavu kushindwa kumlipa mtu stahiki zake sababu ya chuki na husuda.

Ndio maana watu weupe huwa ona Waafrika kama sio binadamu aliye timia sababu ya upumbavu wake.

NB:Hata mzee Kawawa alikuwa chawa wa Nyerere.
 
Shida ya ngozi nyeusi ni kupenda kufanya vitu kwa hisani hata vile vilivyo vya haki,na anaye dai haki huonekana mjuaji au mchochezi ni upumbavu kushindwa kumlipa mtu tahiki zake sababu ya chuki na husuda.

Ndio maana watu weupe huwa ona Waafrika kama sio binadamu aliye timia sababu ya upumbavu wake.

NB:Hata mzee Kawawa alikuwa chawa wa Nyerere.
Pesa za kununua goli Moja Kwa ml 10 zinapatikana,

Kumlipa mtu aliyejeruhiwa akiwa mbunge inakuwa nongwa!!
 
Kuna watu wanasema Rais Samia ni mtu wa HAKI!!

Sasa mtu aliyeshambuliwa na wasiojulikana akiwa mbunge kutolipa Hadi sasa haoni hiyo ni fedheha?
Mama Samia anazungukwa na watu wemye roho mbaya.
 
Pesa za kununua goli Moja Kwa ml 10 zinapatikana,

Kumlipa mtu aliyejeruhiwa akiwa mbunge inakuwa nongwa!!
Na juzi katoa 10m kama sadaka kwa Mwamposa,hili taifa lina viongozi wa ajabu sana.

"Mwafrika hawezi kujitawala" Botha
 
Mama Samia anazungukwa na watu wemye roho mbaya.
Si Kweli,

Hiyo issue Lissu aliongea na Sa100 live akiwa ubelgiji.

Nani Nchi hii awezaye kugomea amri ya Rais akielekeza malipo ya Lissu yafanyike?
 
Kiukweli sisi wafrica tuna shida kubwa sana.

Yaani kumfanyia mtu kitu amachostahili mpaka akupigie mgoti ndio ujisikie raha.
Tuna mapungufu mengi.
Siku mwafrika akishida vita juu ya ubinafsi wake,ndo atakuwa amefika hatua kubwa ya ustaarabu nje na hapo ni turmoil.
 
Ikiwa TUNDU Lissu, Mwanasheria msomi, aliyewahi kuwa mbunge, anadai pesa ya matibabu miaka 7 sasa,

Hivi Mwananchi kijijini asiye na uelewa wa Sheria aliyeporwa ardhi ataipata Kweli HAKI yake?
 
Anaweza tu kusaidia kujibu haya maswali ingawa hayuko ofisini. Hapa sio mahakama ya sheria, ni mahakama ya maoni ya jamii. Nakukubali pia mwisho wa siku ofisi ya bunge inatakiwa itoe ufafanuzi.
Ndugai Si Spika nw;

Ofisi ya Bunge IPO wazi, kwanini hajalipwa?

Ugumu uko wapi?
 
Anaweza tu kusaidia kujibu haya maswali ingawa hayuko ofisini. Hapa sio mahakama ya sheria, ni mahakama ya maoni ya jamii. Nakukubali pia mwisho wa siku ofisi ya bunge inatakiwa itoe ufafanuzi.
Unamaanisha file la madai ya matibabu ya TUNDU Lissu, litakuwa nyumbani Kwa Spika mstaafu Ndugai?
 
Watu walipohoji kuhusu gharama hiyo kubwa, unalikumbuka jibu la Ndugai?
Tukumbushe jibu la mnafiki mkubwa ndugai. Siku hizi ameficha kichwa sijui kama anajua kichwa tu ndio kimefichika ila mwili mzima uko nje!
 
Ikiwa TUNDU Lissu, Mwanasheria msomi, aliyewahi kuwa mbunge, anadai pesa ya matibabu miaka 7 sasa,

Hivi Mwananchi kijijini asiye na uelewa wa Sheria aliyeporwa ardhi ataipata Kweli HAKI yake?
Asahau
 
Back
Top Bottom