Tundu Lissu anadai pesa ya matibabu kiasi Gani, na kwanini hajalipwa hadi Leo?

Tundu Lissu anadai pesa ya matibabu kiasi Gani, na kwanini hajalipwa hadi Leo?

Nafikiri huwa kuna utaratibu wa malipo, makaratasi ya kujazwa na boss wake na viwango sijui kama ulifuafutwa.

Ila akipewa itakuwa safi sana maana niliona kama vile mguu mmoja ni mfupi ashakuwa mlemavu hafai tena ubunge wala urais ila kuwa mkiti wa saccoss yao ni vyema sana badala ya kuongozwa na DJ.
 
Back
Top Bottom