Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kusema Samia ni mtu wa haki, siamini. Labda tuseme ana-act kuwa mtu wa haki.Kuna watu wanasema Rais Samia ni mtu wa HAKI!!
Sasa mtu aliyeshambuliwa na wasiojulikana akiwa mbunge kutolipa Hadi sasa haoni hiyo ni fedheha?
Alimweka Mbowe ndani kwa uonevu, na kama isingekuwa sauti za mataifa makubwa, sijui angemsotesha Mbowe jela kwa muda gani!!
Aliyesimamia shambulio dhidi ya Lisu, anafamika, badala ya kutoa maelekezo uchunguzi ufanyike ili wahusika wafikishwe mahakamani, akaamua kumpa madaraka mtuhumiwa mkuu.
Kajitwalia rasilimali za nchi, na kuwagawia watu anaowataka yeye. Kawaondosha wamasai kwenye ardhi yao ya asilia na kuwapeleka mamia ya kilometa, kwa vile tu mwarabu aliyepewa Ngorongoro hawataki wamasai kwenye eneo alilozawadiwa.