Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

Ikiwa Obama aliweza kuchaguliwa na Wazungu kuwa Raisi wa America ikashindikana vipi Lisu kuwa Raisi wa Tanzania, open your Mind!
Lisu is a rookie! Huwezi mfananisha na MTU kama Mbowe, Slaa ama Lowasa ambao hao wanamzidi na bado wameshindwa! Lisu hafahamiki na yeyeyote zaidi ya Chadema makao makuu!
 
Funga bakuli lako mlisema hivyo hivyo 2015 akawatimulia vumbi, tumekaa na ccm miaka yote hakuna walichofanya, kwetu Lisu mpaka aamue mwenyewe,labda Pogba amuue,mlitumia mbinu zote mkashindwa na 2020 mkae mbali.
 
Ngoja nikuzawadie kwa mada nzuri

Zungusha mikono zungusha zungusha sema pepoooooozzz powaaaaaaaa
Mabadilikoooo. Lisuuuuu
 
Na ww unalaana au ndoto ya mchana
 
Mm naomba mumvalishe zile tisheti za saw tisa zinamfaa tu sio ya mgombea urais
 
The problem is to you who dont know the queen's language, I do advice people Like you to pass silently on English written coments

Astonishing! Is this the Queen's language you proclaim to master?
 
Na ikiwa hvyo aise nchi itanyooka na mambo yataenda kwa utaratbu...[emoji120]
 
Kama JMT sawa.
 

Hana Presidential Personality ila ana Prison Personality hivyo labda kungetokea Uchaguzi Mkuu upande wa kuchagua Rais wa Wafungwa wote nchini Tanzania nadhani angepata kura za ' kutukuka ' kabisa.
 
Oops!!!..Kumbe vyama huwa vinapumua.hii inahitaji ushahidi mkubwa so Liberal cha uk hata kaburi lilishasawazika.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125]
 
utawala wa nchi unahitaji busara na hekima kuna muda mh. Lissu anakosa vitu hivi kwa sababu ya hasira ni mpiganaji,mzalendo, namtetezi wa wanyonge, mlinda katiba, sawa lakini bado kuwa raisi wa JMT
Kwani aliopo ana busara? Naye si anaendeshwa na hasira,visasi,ukaburu na ukanda? Au hayo hamyaoni?
 
Watu hawajui,hizo kesi anazofunguliwa Lissu ni moja ya mpambano ya kupigania haki za raia kwenye nchi yenye mfumo wa ovyo wa utawala na katiba mbovu.
 
na lowassa unampeleka wapi aliyewekeza?
 
Kijana unajitambua au umerukwa na akili. hivi hujalisikia tangazo la kiongozi wa chadema mamvi. Kwamba anajiandaa kugombea 2020.angalia kijana usiingilie siasa kwa pupa
 
Watu hawajui,hizo kesi anazofunguliwa Lissu ni moja ya mpambano ya kupigania haki za raia kwenye nchi yenye mfumo wa ovyo wa utawala na katiba mbovu.
Maajabu kweli kweli utakuta Graduate nae yuko full Myopic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…