Una akili na upeo wa hali ya juu wa kumsoma kumchambua na kumtafsiri mtu b.up izzoTundu Lissu mm namfananisha na Julius Malema wa South Africa wao wanaamini ktk matumizi makubwa ya UFAHAMU kuliko AKILI
UFAHAMU= NI mkusanyiko wa ujuzi na habari ambazo mtu anaupata kupitia uzoefu
AKILI= Ni uwezo wa mtu kutumia maarifa vizuri(matumizi sahihi ya ufahamu)
Sasa bhasi Lissu na mwenzie Malema wanatumia Ufahamu tu si akili
Mmh ndoto ya mchana kweupeeeee!! Kule upinzani hakuna msafi labda nije nigombee mimi, kama uchaguzi mdogo tu mmeporomoka kwa kasi sembuse 2020? [emoji40] [emoji40]God bless Lissu...my ideal politian... Huyu ndie alikuwa chaguo langu 2015...na 2020 tutapambana asimamishwe....Hamna kiboko ya ccm zaidi ya Lissu,..
kwangu mimi ni bora lissu mara 20 kuliko jpmHana Presidential Personality ila ana Prison Personality hivyo labda kungetokea Uchaguzi Mkuu upande wa kuchagua Rais wa Wafungwa wote nchini Tanzania nadhani angepata kura za ' kutukuka ' kabisa.
Tayari mmeishamchoka Mzee?Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa chama Chochote Cha Siasa. Yeyote anayefanya vizuri Mimi ni Mfuasi wake kwa Maslahi ya Tanzania.
Nawashauri CHADEMA waanze kumwandaa Tundu Lisu Kuanzia Sasa ili aje kuwa Mgombea wa Uraisi 2020.Huyu ni Mwanasheria Nguli Na ni Mtu anayejitambua sana. Kwa taaluma yake ya Sheria Nina Imani ataheshimu haki za kila mtu, na ataendesha Nchi Kwa mujibu wa Taratibu tulizojiwekea.
Nasema hivi kwa sababu naliona Anguko Kubwa sana kwa Chama kilichopo Madarakani kwa sasa. Kwa kawaida hulka. Mimi ni mtu ninayependa sana ushindani, tena uwe wa aina yoyote ile.hata ktk timu za mpira Mimi sinaga ushabiki wa timu moja, kila mwaka lazima nibadidili Timu. Kitendo cha kutawaliwa na chama kimoja tangu Nizaliwe kimenichosha sana, nataka kuona watu wengine tena wakitawala, hata Kama ni Cuf au Act Au NCCR, wherever. Ninachohitaji ni Mabadiliko ya uongozi.
Hata president aliyepo sasa, angeweza kufanya makubwa zaidi ikiwa angekuwa Raisi nje Ya CCM. Hata Mzee Kingunge aliwahi kusema. CCM Kimeishiwa Pumzi. Sasa sisi tunachongangana nacho nini?!
Ifikapo Mwaka 2020, Chama hiki cha Mababu zetu, kitakuwa kimekata pumzi Kabisa, kiasi kwamba Mgombea yeyote wa upinzani akiandaliwa vizuri na mapema, njia ni nyeupe State House. Huyu Tundu Lisu anao uelewa mkubwa, Siyo mla Rushwa, ni Very Strong leader, hafanani na Dr Slaa, Lipumba,Zito na wengine wa Namna hiyo. Nina Imani huyu Lisu angekuwa mla Rushwa CCM wangeshampa kiasi chochote anachotaka. Na wanajua ktk Chama hiki kikuu cha Upinzani, ukimtoa Lisu Na mbowe, chama kimekwenda na Maji.
Natoa with kwa wapinzani Muanze kujipanga sasa hivi na hakuna sababu ya kuchelewa Mtangazeni mapema ili Kama Ana matatizo yoyote muwape Muda watu wa kumchambua mapema. God bless you Tundu Lisu
Jajajaajjaja vipindi vinneUsilete habari zako wewe..sisi tuna mgombea wetu wa kudumu kwa sasa ndugu Edward ole ngoyai lowassa..wengine tutaanza kuwafikiria baada ya vipindi vinne kupita..
kwangu mimi ni bora lissu mara 20 kuliko jpm
Hahaha hiki ni kioja cha karne, uliza kwanza Jimboni kwake Tundu alipita kwa kura ngapi, kabla ya kuleta upupu wako hapa, huyo Tundu 2020 kama akipita hata kwenye Ubunge Singida sijui!
Mtu ambaye hata anakotoka hawamtaki ndo aje kuwa Raisi JMTZ? Utamkampenia vipi Tundu kwa Watanzania, kwanza hata hatumjui, ukiondoa JF?
Alipitaje sasa huyukwangu mimi ni bora lissu mara 20 kuliko jpm
Tatizo lako unafikiria kinyume nyume huwezi kuwa na fikra huruLisu is a rookie! Huwezi mfananisha na MTU kama Mbowe, Slaa ama Lowasa ambao hao wanamzidi na bado wameshindwa! Lisu hafahamiki na yeyeyote zaidi ya Chadema makao makuu!