Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

Lisu gan mnamuongelea hapa si yule alipokea mgao au mwingine
 
Hahaha hiki ni kioja cha karne, uliza kwanza Jimboni kwake Tundu alipita kwa kura ngapi, kabla ya kuleta upupu wako hapa, huyo Tundu 2020 kama akipita hata kwenye Ubunge Singida sijui!
Mtu ambaye hata anakotoka hawamtaki ndo aje kuwa Raisi JMTZ? Utamkampenia vipi Tundu kwa Watanzania, kwanza hata hatumjui, ukiondoa JF?
Kwaio mbunge wa Singida ni wa ccm
 
Jimbo la lisu lipo vijijini lakini bado anashinda pamoja na fitina zote anazochezewa.hata hivyo lisu akienda jimbo lolote ndani ya tz ni lazima ashinde
Jamaa Kama hatapewa hiyo nafasi akagombee singida mjini haiwezekani mjini ccm afu vijijini cdm singida acheni ujuha
 
utawala wa nchi unahitaji busara na hekima kuna muda mh. Lissu anakosa vitu hivi kwa sababu ya hasira ni mpiganaji,mzalendo, namtetezi wa wanyonge, mlinda katiba, sawa lakini bado kuwa raisi wa JMT
Kwa hekima ni bora Mara milioni lissu kuliko magufuli
 
Lisu is a rookie! Huwezi mfananisha na MTU kama Mbowe, Slaa ama Lowasa ambao hao wanamzidi na bado wameshindwa! Lisu hafahamiki na yeyeyote zaidi ya Chadema makao makuu!
you can't be serious bro.

lisu hakuna mTanzania hamjui.

kikwazo ni katiba ya Tanzania tu
 
Lisu anaweza kua anakosa busara kwasababu ya uonezi tu, mimi nimesoma naye Ilboru the guy is brilliant na anajua kujenga hoja atatuwakilisha vyema UN kwani anaufahamu na uelewa wa kutosha. We used to call him Thomas Sankara
 
Tundu Lissu mm namfananisha na Julius Malema wa South Africa wao wanaamini ktk matumizi makubwa ya UFAHAMU kuliko AKILI

UFAHAMU= NI mkusanyiko wa ujuzi na habari ambazo mtu anaupata kupitia uzoefu

AKILI= Ni uwezo wa mtu kutumia maarifa vizuri(matumizi sahihi ya ufahamu)

Sasa bhasi Lissu na mwenzie Malema wanatumia Ufahamu tu si akili
Mkuu hizo maana za hayo maneno umezitoa wapi ?

Weka na ka reference kidogo
 
Hahaha hiki ni kioja cha karne, uliza kwanza Jimboni kwake Tundu alipita kwa kura ngapi, kabla ya kuleta upupu wako hapa, huyo Tundu 2020 kama akipita hata kwenye Ubunge Singida sijui!
Mtu ambaye hata anakotoka hawamtaki ndo aje kuwa Raisi JMTZ? Utamkampenia vipi Tundu kwa Watanzania, kwanza hata hatumjui, ukiondoa JF?
asilimia 1 iliyo tangazwa na tume ya uchaguzi ni sawa na % kumi za uhalisia. (scale ya haki)
 
Mkuu hizo maana za hayo maneno umezitoa wapi ?

Weka na ka reference kidogo
Nenda katafute maana ya (Knowledge) na (Intelligence )

KNOWLEDGE= is the collection of skills and information a person has ecqured through experience

INTELLIGENCE= the ability to acquire and apply knowledge and skills
 
Anazo bilioni kumi za kununua chama? Lowasa akae pembeni weee
 
Hahaha hiki ni kioja cha karne, uliza kwanza Jimboni kwake Tundu alipita kwa kura ngapi, kabla ya kuleta upupu wako hapa, huyo Tundu 2020 kama akipita hata kwenye Ubunge Singida sijui!
Mtu ambaye hata anakotoka hawamtaki ndo aje kuwa Raisi JMTZ? Utamkampenia vipi Tundu kwa Watanzania, kwanza hata hatumjui, ukiondoa JF?
mse*nge wewe na chuki, zako. akiwa Rais utahama nchi
 
Anazo bilioni kumi za kununua chama? Lowasa akae pembeni weee
Hayo ni zilipendwa, Lisu anajua maana ya SIASA SAFI NA UONGOZI Huyu mtu anakubalika sana ndani ya jamii, na hasa mapambano yake juu ya kutetea haki za wanyonge, Hana hasira wala mihemko, hajawahi kula Rushwa wala kujihusisha nayo. Mikataba ya Tanzania na hawa majizi wa Ulaya na Asia, anao uwezo wa kuichambua na akaikataa kwa maslahi y Watanzania. Huyu ni Mzalendo wa kweli. Mcha Mungu
 
mse*nge wewe na chuki, zako. akiwa Rais utahama nchi


Siwezi kuhama Bongo hata iweje na Tundu hawezi kuwa raisi wa nchi hii labda kama mlimaanisha Raisi wa Jamii Forums hapo sawa, msichanganye mambo, JF siyo TZ!
 
hili jembe IQ yake huwezi kumfananisha na mzee wa debe la mahindi kwa ng'ombe watatu.
 
Back
Top Bottom