Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

Sasa mimi sijaelewa kuna huyu mtu anaitwa mandela wa Arusha ambaye hivi sasa anakamilisha ndoto zake za kuwa mandela wa Tanzania kutoka kisongo mbaka Magogoni 2020 wamuandae huyu ili tujue ni kweli cdm wanamandela wao yuko Arusha mkombozi wa watanzania 2020 ..
 
Kama una imani kuwa Tundu Lisu atagombea Uraisi kupitia Chama cha upinzani mwaka 2020 tupia yako ya moyoni.
 
Kama una imani kuwa Tundu Lisu atagombea Uraisi kupitia Chama cha upinzani mwaka 2020 tupia yako ya moyoni.
Uchawi ni kama huu, unachopaswa kwa sasa ni kumuombea mgonjwa na sio kutuonesha kipimo cha akili ndogo ulizonazo.
 
Picha zake na video/sauti ziko wapi? Ameahidi mh mbowe ili michango ikae mahali pake
 
Uchawi ni kama huu, unachopaswa kwa sasa ni kumuombea mgonjwa na sio kutuonesha kipimo cha akili ndogo ulizonazo.

Mungu keshamaliza mambo yote na afya ya Lisu itaimarika kiasi cha kupanda daraja kutoka Raisi wa TLS mpaka JMT.
 
Kama una imani kuwa Tundu Lisu atagombea Uraisi kupitia Chama cha upinzani mwaka 2020 tupia yako ya moyoni.
Sidhani kama itawezekana japo ningependa I we hivyo. Risasi 38 hazitaweza kumuacha abaki Lisu was Sikh 50 zilizopita
 
LISSU for presidence...............GOOD! TUMUOMBEE SN KWA KWELI
 
Mkuu ni kweli kwamba wewe humjui Tundu Lissu? Na wala hujawahi kumsikia?
 
Huwezi kuwa Great thinker na muda huo huo hauna akili acha kutuchanganya
 
Umejilazimisha tu kuandika huu upupu! Unafahamu kwamba pamoja na figisufigisu zenu za kuhakikisha Lissu haingii bungeni ili mfanikishe uhuni wenu wa kupitisha sheria za kijinga, lakini aliwabwaga!
 
Kaka Wa Taifa
 
kumbuka nabii hakubaliki kwao,jimboni kama hawamkubali sisi tulio wengi tunamkubali
 
Hiki ndicho kinachowafanya wa-CCM kuwa kama vichaa hawataki kusikia na kuona kuna Mtu atakayekuwa na uwezo mkubwa wa kugombea nafasi ya Urais, hapa ndio ugonjwa wao umelala
 
Unataka kunambia dunia ya sasa haiwahitaji tena 'wanaJF = Great Thinkers'?
Ndugu Ufahamu unapatikana kwa kwenda shule so hata chizi anaweza kuwa na access ya kupata ufahamu lakini Akili znatoka kwa Mungu na Akili znaendana na hekima pia ni watu wachache sana ndo wamepata bahati ya kupata rehema hii kutoka kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…