Tundu Lissu anajitoa Kafara au anapigania Haki?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,436
Reaction score
4,756
Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.

Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?

Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;

Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.

Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.

Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.

Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.

Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
 
Kama mtu alipelekewa begi la hela, akazikataa! Amebembelezwa atoke kwa masharti, bado akakataa! Unategemea huyu mtu ana lengo gani? Walimshikilia tangu April 2025, na bado wananchi walimuamini kwa kususia zoezi zima la uchaguzi! Mshindi ameapishwa kwenye halaiki ya wanajeshi badala ya wapiga kura!

Ukweli utajulikana mwishoni. Ila ninachofahamu wananchi wengi wenye akili timamu wana imani naye kuliko hata hawa watawala wanaolazimisha kuwatawala watu ambao hawakuwachagua.
 
Kaka upo sahihi ,CHADEMA VS LISSU wanaona wanampigania LISSU lakini watambue wanamuangamiza .
Yawezekana leo wasilione ili lakini siku za usoni wataliona .Leo Lussu kusema Samia kuja mahakamani anaona kama anamkomoa bali anajikomoa mwenyewe na pia anaonesha anataka kushindana na serikali ambayo imemkamata .

Atambue mgomba ahushindwi na mkungu ,je anazani watanzania wanampigania? Jibu ajue watanzania hadi wanachadema hakuna anayempigania wangekuwa wanampigania wangeenda kwenye meza ya mazungumzo ili wafikie muafaka.

Mfano jana wakili Ole Ngurumwa amesema CHADEMA wafikie maridhiano ya kumaliza kesi ya Lissu lakini wanachadema wanatukana wasipokuwa makini Lissu anaweza akahukumiwa na akapatikana na hatia na wakakata rufaa akashindwa na mwisho wa siku chama kikapewa barua ufanyike uchaguzi wa kuchagua mwenyekiti wa chama na Lissu akaja kutoka 2030 baada ya uchaguzi mkuu kupita kwahyo CHADEMA bado awajaonesha nia ya kumaliza kesi ya TAL .
 
Kaka upo sahihi ,CHADEMA VS LISSU wanaona wanampigania LISSU lakini watambue wanamuangamiza .
Yawezekana leo wasilione ili lakini siku za usoni wataliona .Leo Lussu kusema Samia kuja mahakamani anaona kama anamkomoa bali anajikomoa mwenyewe na pia anaonesha anataka kushindana na serikali ambayo imemkamata .

Atambue mgomba ahushindwi na mkungu ,je anazani watanzania wanampigania? Jibu ajue watanzania hadi wanachadema hakuna anayempigania wangekuwa wanampigania wangeenda kwenye meza ya mazungumzo ili wafikie muafaka.

Mfano jana wakili Ole Ngurumwa amesema CHADEMA wafikie maridhiano ya kumaliza kesi ya Lissu lakini wanachadema wanatukana wasipokuwa makini Lissu anaweza akahukumiwa na akapatikana na hatia na wakakata rufaa akashindwa na mwisho wa siku chama kikapewa barua ufanyike uchaguzi wa kuchagua mwenyekiti wa chama na Lissu akaja kutoka 2030 baada ya uchaguzi mkuu kupita kwahyo CHADEMA bado awajaonesha nia ya kumaliza kesi ya TAL
 
Binadamu hatuko duniani kwa sababu ya kuishi, kula na kuzaa.

Hata kama hatukubaliani kwa sababu mbalimbali hasa ujinga, "MTU YUPO DUNIANI KUSHUHUDIA UKWELI" na tunapokufa "HATUUKIMBII UKWELI, TUNAKABILIANA NA UKWELI."

Simjui Tundu zaidi ya habari zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Kama kweli anapigania "Ukweli". Kama kweli anapigania "Haki". Kama hatafuti faida yake mwenyewe. Basi ni mtu mwenye nguvu zaidi duniani na baadae.
 
Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.

Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?

Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;

Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.

Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.

Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.

Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.

Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
Lisu anadhihirisha kuwa hatuna mahakama, wala utawala wa sheria. Amefanikiwa kudhibitisha bila kuacha shaka kuwa hatuna chaguzi bali upuuzi kama upuuzi mwingine, sasa amefanikiwa kuiacha mahakama uchi. Huu ushauri unaotoa hapa ni watu design ya Mbowe na sio Lisu.
 
Kama mtu alipelekewa begi la hela, akazikataa! Amebembelezwa atoke kwa masharti, bado akakataa! Unategemea huyu mtu ana lengo gani? Walimshikilia tangu April 2025, na bado wananchi walimuamini kwa kususia zoezi zima la uchaguzi! Mshindi ameapishwa kwenye halaiki ya wanajeshi badala ya wapiga kura!

Ukweli utajulikana mwishoni. Ila ninachofahamu wananchi wengi wenye akili timamu wana imani naye kuliko hata hawa watawala wanaolazimisha kuwatawala watu ambao hawakuwachagua.
Ndugu,yangu wananchi katika mfumo wa Utawala sio wa kuwaamini.Wananchi wanamshabikia ila sio kweli kwamba wanamuamini.Tusichanganye kushabikiwa au kushangiliwa na kuaminiwa.Kuaminiwa kuna gharama kubwa sana.

Ninachofahamu ni kwamba Lisu anapendwa na anashangiliwa na kushabikiwa.Ila Lisu haaminiwi wala haaminiki.Ndio maana ninapouliza haya maswali ninauliza ili nifahamu hasa iwapo anachopigani Lisu au anaowapigania wapo.Kama hakuna arudi nyumbani akakae na Familia yake ameshatimiza wajibu wake.
 
Lisu anadhihirisha kuwa hatuna mahakama, wala utawala wa sheria. Amefanikiwa kudhibitisha bila kuacha shaka kuwa hatuna chaguzi bali upuuzi kama upuuzi mwingine, sasa amefanikiwa kuiacha mahakama uchi. Huu ushauri unaotoa hapa ni watu design ya Mbowe na sio Lisu.
Amethibitisha nini?Kama kusingekuwa na Mahakama asingekuwa Mahakamani,kama kusingekuwa na Uchaguzi tusingekuwa na Utawala.Huo Upuuzi unaozungumzia Upo una endesha nchi,unakusanya kodi na umemweka Tundu Lisu Jela kwa kipindi chote wakimlisha Maharagwe.

Tuanze kuutazama ukweli kama ulivyo.Mahakama inaweza ikafikia hatua ya kumpa Lisu hukumu ya Kifungo kwa hilo kosa.Na sisi tutakuwepoa hapa hapa na maisha hayatabadilika atakuwa tu ni Takwimu nyingine kati ya watu waliowahi kuonewa.

Ndio maana ninauliza Je anapigani haki au anajitoa Mhanga?
 
Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.

Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?

Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;

Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.

Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.

Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.

Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.

Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
Walichokifanya leo majaji ni kuwapa selekali wepesi wakuitoa kesi mahakamani ili wasilipe fidia kwa mshitakiwa maana ingeonekana lisu hana hatia wangetakiwa walipe mabilioni ya shiringi na wakati huohuo selekali imevuliwa nguo kwaiyo hapo kinachokwenda kufanyika dpp anakwenda kuiondo kesi na selekali halipi ata mia mbovu
 
Hakunaga Fidia kwenye Mfumo wa Jinai a Tanzania.Pili Majaji hawafanyi maamuzi kwa namna unavyofikiri wewe kwamba wanawapa Nafasi serikali.Kuna kitu kinaitwa Element of offence.Je Tundu Lisu kwa kauli yake ili amount kuwa ni KOSA ama sio kosa?Ndilo swali majaji wanajiuliza na kutafuta jibu lake.

Wao hawatafuti ushahidi wa kumhukumu bali ni Tafsiri ya Kisheria ya Je Kwa kauli yake ya kwamba Tutazuia uchaguzi,Tutakinukisha Je ni Kosa kwa mujibu w sheria?Na katika Hilo Jielekeze kwenye kanunu ya adhabu sura 7 usome kwa utulivu kisha ufikirie kama Impartial Judge anayelipwa mshahara na serikali.

Kwa kukusaidia zaidi isome hii kwa utulivu
 
Kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ni uhaini?,Acheni kutafuta kichaka nchi imewashinda.Tupeni nchi yetu tuipeleke mbele sisi wenyewe mana uwezo tunao sasa.
Mkuu,Tuliza Hisia,

Kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ni jambo jema.Ila Ukidai kinyume na utaratibu uliopo ni kosa.Swali Je Utaratibu uliopo ni UPI?
 
Kama mtu alipelekewa begi la hela, akazikataa! Amebembelezwa atoke kwa masharti, bado akakataa! Unategemea huyu mtu ana lengo gani? Walimshikilia tangu April 2025, na bado wananchi walimuamini kwa kususia zoezi zima la uchaguzi! Mshindi ameapishwa kwenye halaiki ya wanajeshi badala ya wapiga kura!

Ukweli utajulikana mwishoni. Ila ninachofahamu wananchi wengi wenye akili timamu wana imani naye kuliko hata hawa watawala wanaolazimisha kuwatawala watu ambao hawakuwachagua.
Mie kwa upeo wangu naona kma CCM wanajichimbia shimo wao kwani hakuna watu wa kufanya tasimini mtaaani kunaongea nni mbona mpka watu wa chama CCM wanaongea
 
Back
Top Bottom