MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
CHADEMA ikiongozwa na Heche wanatamani sana Lissu ahukumiwe kunyongwa ili wapate agenda ya kisiasa. Hii sio sawa. Lissu angemsikiliza Yericko Nyerere asingefika huku alikofika.
Hili la TL kuhisi kupiganiwa na wananchi nadhani limekaa kihisia zaidi maana lipo ndani ya moyo wake. Sijui kama Kuna anayeliona zaidi ya yeye mwenyewe.Kaka upo sahihi ,CHADEMA VS LISSU wanaona wanampigania LISSU lakini watambue wanamuangamiza .
Yawezekana leo wasilione ili lakini siku za usoni wataliona .Leo Lussu kusema Samia kuja mahakamani anaona kama anamkomoa bali anajikomoa mwenyewe na pia anaonesha anataka kushindana na serikali ambayo imemkamata .
Atambue mgomba ahushindwi na mkungu ,je anazani watanzania wanampigania? Jibu ajue watanzania hadi wanachadema hakuna anayempigania wangekuwa wanampigania wangeenda kwenye meza ya mazungumzo ili wafikie muafaka.
Mfano jana wakili Ole Ngurumwa amesema CHADEMA wafikie maridhiano ya kumaliza kesi ya Lissu lakini wanachadema wanatukana wasipokuwa makini Lissu anaweza akahukumiwa na akapatikana na hatia na wakakata rufaa akashindwa na mwisho wa siku chama kikapewa barua ufanyike uchaguzi wa kuchagua mwenyekiti wa chama na Lissu akaja kutoka 2030 baada ya uchaguzi mkuu kupita kwahyo CHADEMA bado awajaonesha nia ya kumaliza kesi ya TAL
Ushauri wako kwa Lissu ni wa KijingaNinaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.
Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?
Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;
Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.
Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.
Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.
Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.
Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
Hafanyi chochote kati ya hivyo, ni linyumbu flani litaka sifa hivi......... ahsante Mungu zinaanza kumtokea puani.Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.
Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?
Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;
Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.
Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.
Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.
Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.
Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
Hebu Tulia tu bro, kama kuna wanaiweza kujitoa muhanga, acha hao wajitoe, ww na busara zako endelea kukaa kimya ufurahie hiki ulichotosheka nacho.Dunia hii tangu iwepo kumekuwa na mashujaa wengi sana ambao walikuwpo na Dunia bado inaendeshwa na kanuni ile ile bila kujali watu wenye uthubutu wanataka nini.Anyway wacha nitulie nisubiri zamu yangu.
Kaka upo sahihi ,CHADEMA VS LISSU wanaona wanampigania LISSU lakini watambue wanamuangamiza .
Yawezekana leo wasilione ili lakini siku za usoni wataliona .Leo Lussu kusema Samia kuja mahakamani anaona kama anamkomoa bali anajikomoa mwenyewe na pia anaonesha anataka kushindana na serikali ambayo imemkamata .
Atambue mgomba ahushindwi na mkungu ,je anazani watanzania wanampigania? Jibu ajue watanzania hadi wanachadema hakuna anayempigania wangekuwa wanampigania wangeenda kwenye meza ya mazungumzo ili wafikie muafaka.
Mfano jana wakili Ole Ngurumwa amesema CHADEMA wafikie maridhiano ya kumaliza kesi ya Lissu lakini wanachadema wanatukana wasipokuwa makini Lissu anaweza akahukumiwa na akapatikana na hatia na wakakata rufaa akashindwa na mwisho wa siku chama kikapewa barua ufanyike uchaguzi wa kuchagua mwenyekiti wa chama na Lissu akaja kutoka 2030 baada ya uchaguzi mkuu kupita kwahyo CHADEMA bado awajaonesha nia ya kumaliza kesi ya TAL .
Ndugu,yangu wananchi katika mfumo wa Utawala sio wa kuwaamini.Wananchi wanamshabikia ila sio kweli kwamba wanamuamini.Tusichanganye kushabikiwa au kushangiliwa na kuaminiwa.Kuaminiwa kuna gharama kubwa sana.
Ninachofahamu ni kwamba Lisu anapendwa na anashangiliwa na kushabikiwa.Ila Lisu haaminiwi wala haaminiki.Ndio maana ninapouliza haya maswali ninauliza ili nifahamu hasa iwapo anachopigani Lisu au anaowapigania wapo.Kama hakuna arudi nyumbani akakae na Familia yake ameshatimiza wajibu wake.
Alikataa TZS. 5billion terms atoke gerezani asindikizwe Airport kisha apande Flight mpaka Belgium akafanyie siasa huko yeye anasikiliza upepo wa nje watu wa nje wanatomba, wanakula wanavyotaka , wanalala wanavyotaka na kuamka wanavyotaka! hawana shida yoyote
Ila watu mna makusudi sanaHuwezi kupigania haki kwa kufanya uhaini
Ona huyuAlikataa TZS. 5billion terms atoke gerezani asindikizwe Airport kisha apande Flight mpaka Belgium akafanyie siasa huko yeye anasikiliza upepo wa nje watu wa nje wanatomba, wanakula wanavyotaka , wanalala wanavyotaka na kuamka wanavyotaka! hawana shida yoyote
Katika kipindi cha "pre-i dependence" wapigania uhuru walihatarisha sana maisha yao katika harakati za kuukataa ukoloni mkongwe na kupigania mabadiliko yenye kujali utu wa mtu mweusi.Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.