MAhakama zipi mzeeUnataka afanyaje wakati ana kesi ya uhaini? Kwa nini wapitie mlango wa nyuma ili kuimaliza kesi? Na kesi wamempa wao?Hii kesi itatupa majawabu mengi sana namna mahakama zetu zilivyo.
Hasa unaoshindana nao wakiwa wanaweza kukaa madarakani kwa wizi wa kura na mauaji.Huwezi kupigania haki kwa kufanya uhaini
Lisu anadhihirisha kuwa hatuna mahakama, wala utawala wa sheria. Amefanikiwa kudhibitisha bila kuacha shaka kuwa hatuna chaguzi bali upuuzi kama upuuzi mwingine, sasa amefanikiwa kuiacha mahakama uchi. Huu ushauri unaotoa hapa ni watu design ya Mbowe na sio Lisu.Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.
Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?
Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;
Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.
Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.
Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.
Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.
Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
Ndugu,yangu wananchi katika mfumo wa Utawala sio wa kuwaamini.Wananchi wanamshabikia ila sio kweli kwamba wanamuamini.Tusichanganye kushabikiwa au kushangiliwa na kuaminiwa.Kuaminiwa kuna gharama kubwa sana.Kama mtu alipelekewa begi la hela, akazikataa! Amebembelezwa atoke kwa masharti, bado akakataa! Unategemea huyu mtu ana lengo gani? Walimshikilia tangu April 2025, na bado wananchi walimuamini kwa kususia zoezi zima la uchaguzi! Mshindi ameapishwa kwenye halaiki ya wanajeshi badala ya wapiga kura!
Ukweli utajulikana mwishoni. Ila ninachofahamu wananchi wengi wenye akili timamu wana imani naye kuliko hata hawa watawala wanaolazimisha kuwatawala watu ambao hawakuwachagua.
Amethibitisha nini?Kama kusingekuwa na Mahakama asingekuwa Mahakamani,kama kusingekuwa na Uchaguzi tusingekuwa na Utawala.Huo Upuuzi unaozungumzia Upo una endesha nchi,unakusanya kodi na umemweka Tundu Lisu Jela kwa kipindi chote wakimlisha Maharagwe.Lisu anadhihirisha kuwa hatuna mahakama, wala utawala wa sheria. Amefanikiwa kudhibitisha bila kuacha shaka kuwa hatuna chaguzi bali upuuzi kama upuuzi mwingine, sasa amefanikiwa kuiacha mahakama uchi. Huu ushauri unaotoa hapa ni watu design ya Mbowe na sio Lisu.
Walichokifanya leo majaji ni kuwapa selekali wepesi wakuitoa kesi mahakamani ili wasilipe fidia kwa mshitakiwa maana ingeonekana lisu hana hatia wangetakiwa walipe mabilioni ya shiringi na wakati huohuo selekali imevuliwa nguo kwaiyo hapo kinachokwenda kufanyika dpp anakwenda kuiondo kesi na selekali halipi ata mia mbovuNinaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.
Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?
Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;
Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.
Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.
Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.
Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.
Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
Kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ni uhaini?,Acheni kutafuta kichaka nchi imewashinda.Tupeni nchi yetu tuipeleke mbele sisi wenyewe mana uwezo tunao sasa.Huwezi kupigania haki kwa kufanya uhaini
Hakunaga Fidia kwenye Mfumo wa Jinai a Tanzania.Pili Majaji hawafanyi maamuzi kwa namna unavyofikiri wewe kwamba wanawapa Nafasi serikali.Kuna kitu kinaitwa Element of offence.Je Tundu Lisu kwa kauli yake ili amount kuwa ni KOSA ama sio kosa?Ndilo swali majaji wanajiuliza na kutafuta jibu lake.Walichokifanya leo majaji ni kuwapa selekali wepesi wakuitoa kesi mahakamani ili wasilipe fidia kwa mshitakiwa maana ingeonekana lisu hana hatia wangetakiwa walipe mabilioni ya shiringi na wakati huohuo selekali imevuliwa nguo kwaiyo hapo kinachokwenda kufanyika dpp anakwenda kuiondo kesi na selekali halipi ata mia mbovu
Mkuu,Tuliza Hisia,Kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ni uhaini?,Acheni kutafuta kichaka nchi imewashinda.Tupeni nchi yetu tuipeleke mbele sisi wenyewe mana uwezo tunao sasa.
Mie kwa upeo wangu naona kma CCM wanajichimbia shimo wao kwani hakuna watu wa kufanya tasimini mtaaani kunaongea nni mbona mpka watu wa chama CCM wanaongeaKama mtu alipelekewa begi la hela, akazikataa! Amebembelezwa atoke kwa masharti, bado akakataa! Unategemea huyu mtu ana lengo gani? Walimshikilia tangu April 2025, na bado wananchi walimuamini kwa kususia zoezi zima la uchaguzi! Mshindi ameapishwa kwenye halaiki ya wanajeshi badala ya wapiga kura!
Ukweli utajulikana mwishoni. Ila ninachofahamu wananchi wengi wenye akili timamu wana imani naye kuliko hata hawa watawala wanaolazimisha kuwatawala watu ambao hawakuwachagua.