Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 2,153
- 3,140
Na huu ndio ukweli mchungu. Kupata haki mahakamani ni kwa bahati tu. Nadhani ndiyo sababu wakaziita "Courts of Law "Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.
Sema uhaini alioufanya.Huwezi kupigania haki kwa kufanya uhaini
Wat mnahisia sana,Tundu Lisu kwa alipofikia sasa anapaswa tu ajiulize na afanye uamuzi wa kwamba Je anadai Haki ama anajitoa kafara.Swala la Uhaini au la linategemea na Tafsiri ya Mahakama kwa kutazama ushahidi uliok mbele yake na kauli na mwenendo wa TL.Msimshabikie sana wakati mnajua kabisa kwamba mbele hakuna TumainiSema uhaini alioufanya.
Au alikuja kufanya uhaini juu ya mwanamke wako?
Kama hakuna mtu asiyejuu ya sheria huyu muuaji samia aje atoe ushahidi wake ili athibitishe uhaini aliotaka kufanyiwa.Wat mnahisia sana,Tundu Lisu kwa alipofikia sasa anapaswa tu ajiulize na afanye uamuzi wa kwamba Je anadai Haki ama anajitoa kafara.Swala la Uhaini au la linategemea na Tafsiri ya Mahakama kwa kutazama ushahidi uliok mbele yake na kauli na mwenendo wa TL.Msimshabikie sana wakati mnajua kabisa kwamba mbele hakuna Tumaini
Dah,Samia Ataweza akaja kama akiitwa swali ni Je Samia anaitwa kama Private Citizen au kama President?Akiitwa kama Rais sio lazima atokee in Person.All in All Swali ni Je TL anatafuta Haki ama ameamua kujitoa Kafara?Asije akafikir kwamba Huku mtaani watu wanamsubiri.Maisha yanaendelea na kodi zinalipwa na serikali inaendelea na mambo yake wakati yeye yuko Jela.Kama hakuna mtu asiyejuu ya sheria huyu muuaji samia aje atoe ushahidi wake ili athibitishe uhaini aliotaka kufanyiwa.
Kwa mtazamo wangu, swali si tu kama Tundu Lissu anajitoa kafara au anapigania haki. Swali kubwa zaidi ni haki hiyo anayoipigania ina maana gani kwake, na kwa taifa kwa ujumla?Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.
Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?
Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;
Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.
Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.
Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.
Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.
Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
TUNDU LISSU ANALIPIA GHARAMA YA UJINGA NA UPUMBAVU WAKE WA KUPINGA UZALENDO NA WAZALENDO KIPINDI CHA JPM KWA KUKUBALI KUTUMIWA NA MAFISADI YA KUNDI LA KIKWETE NA ROSTAM AZIZI ...alio watetea na kuwa pigania kwa kusema (tutashitakiwa miga) ndiyo walio mtia ndani gerezani hadi sasa ....upumbavu ni kipaji.Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.
Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?
Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;
Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.
Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.
Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.
Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.
Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
Wewe hujatumia akili hapa! Uwezo wa kutype tu kwenye keyboard sio akili ya kutosha kujibu hapa.Huwezi kupigania haki kwa kufanya uhaini
Kwanza huyu alitakiwa afe zamani sana kwa hiyo kasha fatigue na kitisho chochote! sio binadamu mwenye tamaa kama tulivo wengineUnataka afanyaje wakati ana kesi ya uhaini? Kwa nini wapitie mlango wa nyuma ili kuimaliza kesi? Na kesi wamempa wao?Hii kesi itatupa majawabu mengi sana namna mahakama zetu zilivyo.
Binadamu hatuko duniani kwa sababu ya kuishi, kula na kuzaa.
Hata kama hatukubaliani kwa sababu mbalimbali hasa ujinga, "MTU YUPO DUNIANI KUSHUHUDIA UKWELI" na tunapokufa "HATUUKIMBII UKWELI, TUNAKABILIANA NA UKWELI."
Simjui Tundu zaidi ya habari zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Kama kweli anapigania "Ukweli". Kama kweli anapigania "Haki". Kama hatafuti faida yake mwenyewe. Basi ni mtu mwenye nguvu zaidi duniani na baadae.
Vitu hivo hawazii yeye na hii basi tu jamaa yupo nchi ambayo naweza kusema sio sahihi au ni sahihi maana anatoa somo kubwa, ingekuwa nchi zingine asingekaa ndani mtu asiye na hata kisu kwa ajiri ya uhaini! harafu upande wa pili watu wanafanya ufisadi wa mali za umma na hamna anaewasema. Huyo anajua fika kuwa life is nothing pale unaposhindwa kuonesha mchango wako duniani, ni sawa yuko tayari kujiudhuru kuishi hapa duniani pale atakaposhindwa kusema ukweli! Na jinsi hiyo mtu huyo ana level za juu sana kuishinda tamaa kitu chochote si madaraka wala pesa. Watu wa namna hiyo ndio uwa wanajiudhuru pia ikitokea katenda kosa la aibuDah,Samia Ataweza akaja kama akiitwa swali ni Je Samia anaitwa kama Private Citizen au kama President?Akiitwa kama Rais sio lazima atokee in Person.All in All Swali ni Je TL anatafuta Haki ama ameamua kujitoa Kafara?Asije akafikir kwamba Huku mtaani watu wanamsubiri.Maisha yanaendelea na kodi zinalipwa na serikali inaendelea na mambo yake wakati yeye yuko Jela.
Ni mtazamo wangu tu.
Sheria zetu zinalingana na uhalisia na akili?Hapo ndipo swali la msingi linapokuja: Je, tunapigania haki kwa ajili ya mtu mmoja, au tunapigania mfumo ambao hata kesho utamlinda kila Mtanzania? Hilo ndilo taifa linapaswa kulijadili kwa utulivu, bila ushabiki.
Hakuna kitu cha thamani duniani na mbinguni kama mtu kulinda UTU na HESHIMA yake kwa sbb hizi ndizo sifa za Mungu aliyetuumba kwa mfano wakeNinaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.
Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?
Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa kafara au anapigania Haki?Nimeuliza ili swali kimzaa mzaa ila ndani ya Moyo wangu natamani sana swali hili lipate JIBU kwa anayewe za kuleta Jibu;
Kwa uzoefu wangu mahakamani sio sehemu ya kutafuta haki,Mahakama kazi yake ni kutafsiri Sheria kwa kupita facts ambazo zinaleta mbele yake.
Tundu Lisu,amekaa mahabusa kwa muda mrefu sana,katika hicho kipindi sina hakika kama hajatafutwa offrecords ili aridhie terms fulani ili tu kesi yake hii ifikia tamati.Naamini kabisa amefuatwa na sio mara moja.
Unapoona kwamba mpaka sasa kesi bado inaendelea kuna maana kwamba Tundu Lisu amekataa kushawishika.Swali ni Je amekataa kwa sababu anaamini kwamba Mahakama itampa haki,au ameamua kujitoa Mhanga/kafara.
Kwa watakaoweza kumshauri wamwambie tu,atafakari kama anachopigania kina stahili kufia.Kama Jibu ni Ndio ashikilie hapo hapo na kama Jibu ni Hapana basi atafakari na achukue hatua.
Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana katika ujumla wake.
Jamaa yeye Alisema Yuko tayari kunyonywa kwa hakiNinaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.

Mambo mengi nikishaahindwa kumalizana Sisi kwa Sisi huwa sijisumbui, mahakamani ni kwenda kujikosha Raha na kujipa stressNa huu ndio ukweli mchungu. Kupata haki mahakamani ni kwa bahati tu. Nadhani ndiyo sababu wakaziita "Courts of Law "
Nakumbuka ushauri wa rafiki yangu mmoja aliyeniambia mahakama za Tanzania si pahali pa kukimbilia. Kama ni madai jaribuni kusuluhishana kwanza.
Tumaini lao kuu kwa sasa ni vyombo vya dola tu hususani polisi. Kwa sasa mtaani hawana ushawishi wowote ule. Na ushahidi ni kushindwa moaka leo kwa mshindi wao wa kiti cha urais kuzunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi milioni 31+ kwa ushindi wa kishindo wa 97.6% ya kura zote hewa.Mie kwa upeo wangu naona kma CCM wanajichimbia shimo wao kwani hakuna watu wa kufanya tasimini mtaaani kunaongea nni mbona mpka watu wa chama CCM wanaongea
Dunia hii haijawahi kupata mabadiliko kwa watu wenye mtazamo kama wako. Tulia wenye uthubutu walete mabadiliko. Ww jiandae kunafainika na mabadiliko ya wenye uthubutu.Ndugu,yangu wananchi katika mfumo wa Utawala sio wa kuwaamini.Wananchi wanamshabikia ila sio kweli kwamba wanamuamini.Tusichanganye kushabikiwa au kushangiliwa na kuaminiwa.Kuaminiwa kuna gharama kubwa sana.
Ninachofahamu ni kwamba Lisu anapendwa na anashangiliwa na kushabikiwa.Ila Lisu haaminiwi wala haaminiki.Ndio maana ninapouliza haya maswali ninauliza ili nifahamu hasa iwapo anachopigani Lisu au anaowapigania wapo.Kama hakuna arudi nyumbani akakae na Familia yake ameshatimiza wajibu wake.
Dunia hii tangu iwepo kumekuwa na mashujaa wengi sana ambao walikuwpo na Dunia bado inaendeshwa na kanuni ile ile bila kujali watu wenye uthubutu wanataka nini.Anyway wacha nitulie nisubiri zamu yangu.Dunia hii haijawahi kupata mabadiliko kwa watu wenye mtazamo kama wako. Tulia wenye uthubutu walete mabadiliko. Ww jiandae kunafainika na mabadiliko ya wenye uthubutu.
Imethibitika kuwa anapendwa na kuaminiwa kama ulivyokiri. Haya tuthibitishie kuwa haaminiki na watanzania sasa.Ndugu,yangu wananchi katika mfumo wa Utawala sio wa kuwaamini.Wananchi wanamshabikia ila sio kweli kwamba wanamuamini.Tusichanganye kushabikiwa au kushangiliwa na kuaminiwa.Kuaminiwa kuna gharama kubwa sana.