Tundu Lissu anajitoa Kafara au anapigania Haki?

CHADEMA ikiongozwa na Heche wanatamani sana Lissu ahukumiwe kunyongwa ili wapate agenda ya kisiasa. Hii sio sawa. Lissu angemsikiliza Yericko Nyerere asingefika huku alikofika.
 
Hili la TL kuhisi kupiganiwa na wananchi nadhani limekaa kihisia zaidi maana lipo ndani ya moyo wake. Sijui kama Kuna anayeliona zaidi ya yeye mwenyewe.
 
Ushauri wako kwa Lissu ni wa Kijinga
 
Hafanyi chochote kati ya hivyo, ni linyumbu flani litaka sifa hivi......... ahsante Mungu zinaanza kumtokea puani.
 
Dunia hii tangu iwepo kumekuwa na mashujaa wengi sana ambao walikuwpo na Dunia bado inaendeshwa na kanuni ile ile bila kujali watu wenye uthubutu wanataka nini.Anyway wacha nitulie nisubiri zamu yangu.
Hebu Tulia tu bro, kama kuna wanaiweza kujitoa muhanga, acha hao wajitoe, ww na busara zako endelea kukaa kimya ufurahie hiki ulichotosheka nacho.
 

Chadema ndo waliomkamata Lissu ? Mbona jambo liko wazi hakuna hasiejua kwamba Lissu Muhaini kama mnavyotaka kuaminisha watu hata CCM wengi wapo tu ambao hawafirahishwi na huu upumbavu maana Lissu ni mtanzania mwenzetu kwanini ukubali mtanzania mwenzio kuonewa bila sababu za Msingi?
 

Kuaminiwa kukoje?
 
Alikataa TZS. 5billion terms atoke gerezani asindikizwe Airport kisha apande Flight mpaka Belgium akafanyie siasa huko yeye anasikiliza upepo wa nje watu wa nje wanatomba, wanakula wanavyotaka , wanalala wanavyotaka na kuamka wanavyotaka! hawana shida yoyote
 

Kwenini aende Belgium na kwao ni Singinda kwa ajili ya kupisha wahuni flani aliosema Polepole kila jambo lina mwanzo na mwisho kama
Vile zilikuepo tawala
Kama Rumi na nyingine lakini leo hakuna hizo tawala
 
Lissu popote alipo Mungu ampe neema ya kuishi mpaka atakapotoka dhamira ya lissu ni nzuri shida ni mifumo imemkataa
 
Pain = Greatness
Hakuna ukuu bila maumivu mjomba,
Hupati kitu bila kafala hiyo ndio kanuni ya Mungu,

Muulize Yesu atakusimulia alivyochezea bakola, misumari ma mkuki wa ubavu
 
Ona huyu
 
Katika kipindi cha "pre-i dependence" wapigania uhuru walihatarisha sana maisha yao katika harakati za kuukataa ukoloni mkongwe na kupigania mabadiliko yenye kujali utu wa mtu mweusi.

Nyakati zimebadilika katika kipindi hiki cha "post-independence" ambapo watawala wa sasa wamegeuka kuwa wakoloni weusi ndani ya vazi la ukoloni mamboleo. Wakati mkoloni aliyepita alitorosha rasilimali kwenda kufaidisha nchi zao, mkoloni mweusi anafuja mali za umma ili kujifaidisha yeye mwenyewe, ndugu wa karibu, pamoja na marafiki na jamaa zao wa karibu.

Ukoloni wa mtu mweusi huwa "orchestrasized" na kikundi cha watu wachache ambao hupindisha kwa makusudi matakwa ya katiba na sheria ili wabakie madarakani, hata ikiwapasa kumwaga damu zisizokuwa na hatia.

Kwa muktadha huu, aina ya mapambano yamebadilika, aina ya washiriki wa mapambano wamebadilika, medani za mapambano zimebadilika, nyenzo za mapambano zimebadilika, na viongozi wa mapambano wamebadilika pia.

Sasa wanahitajika viongozi jasiri, wasiyoyumbishwa kirahisi kimtizamo, wakweli, wenye kuaminika mbele ya umma, wazalendo wa kweli, wenye uthubutu wa kupigania mabadiliko ya kweli hata kama wanakabiliana na uonevu mkubwa kutoka katika mihimili ya dola.

Mtu sahihi kuongoza mabadiliko haya ndani ya ramani ya Tanganyika ya leo ni Tundu Antipas Lissu. Jambo la msingi ni Watanganyika kumuunga mkono ili tuirudishe nchi yetu kwenye mamlaka ya kweli ya wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…