Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Katika kuzungumza huko naye anaonyesha ubovu wake kama mwanasiasa.Lissu yuko vizuri anazungumzia kuhusu utawala mbovu wa Magufuli na umuhimu wa kuung'oa madarakani ili kusimika utawala unaheshimu katiba, sheria za nchi wenye kufuata misingi ya utawala bora, usiotesa raia, kuwabambikia kesi na kubambikizia wafanyabiashara kodi!
Lissu anatetea maslahi ya watumishi wa umma.
Kiufupi Lissu anafaa kuwa raisi, na akipata atakuwa rais bora kuliko Magufuli
Sasa kuna haja gani kurejea yaliyopita kama yashaonekana hayana lolote?Mkuu Nyani Ngabu, hapo alikuwa akirejea kipindi cha mtanziko wakati maeneo mbalimbali ya dunia yakihaha kukabiliana na janga la COVID-19. Kauli yake ilikuwa "retrospective" kwa mazingira ya tishio halisi lilivyoripotiwa kupitia takwimu zilizokuwepo kwa wakati huo, na kauli za serikali zilivyotolewa.
Anaongelea tahadhari za Corona kwa watu ambao hawana ‘time’ na Corona, akiwemo yeye mwenyewe!Kisiasa au anaongea kilichopo/ facts kajititimua kipi hapo😂😂
Katika kuzungumza huko naye anaonyesha ubovu wake kama mwanasiasa.
Yeye ni mwanaharakati tu.
Siasa haziwezi.
Tukikuacha utadhani wote hatujitambui kama wewe, hivyo unapotaka kujiona mjuaji kuliko wote tuanakupa makavu yako. Mara nyingi unataka kujifanya mmiliki wa fikra zetu, hata sisi tunaona na kusikia, na tulikuwa watu wazima tangu sakata la Korona limeanza hadi leo., hivyo tunajua mbivu na mbichi usitipangie. Tunajua wapi serikali imefanya vizuri wapi imeboronga.Sina hoja lakini kila niandikapo hukosi kupita na kutema nyongo zako!
Dizaini nakupa kiungulia cha moyo kila unionapo maana washindwa kujizuia!!!!
Pole.
Hawajapishana sana! Wako shingo kwa shingo.Unadhani Magufuli na Lissu nani ana kauli zisizo za staha zaidi?
Yeye mwenyewe hajielewi!Hahahaha kinacho muuma zaidi Lissu ni kutojibiwa hilo linamtesa sana!
Angekuwa timamu au nagekuwa sawa kisaikolojia angeachana na swala la corona maana sidhani kama kuna mtanzania au mwanachadema yeyote anaweza kumuelewa kabisa!
Na hili la Corona ndilo linazidi kumfanya watanzania wasithubutu kumpigia kura kwani wengi wameshaogopa kuwekwa karantini!
Anaongelea tahadhari za Corona kwa watu ambao hawana ‘time’ na Corona, akiwemo yeye mwenyewe!
Anaongelea tahadhari za Corona kwa watu ambao hawana ‘time’ na Corona, akiwemo yeye mwenyewe!
Anaongelea tahadhari za Corona kwa watu ambao hawana ‘time’ na Corona, akiwemo yeye mwenyewe!
Labda kung'oa jinoLissu yuko vizuri anazungumzia kuhusu utawala mbovu wa Magufuli na umuhimu wa kuung'oa madarakani ili kusimika utawala unaheshimu katiba, sheria za nchi wenye kufuata misingi ya utawala bora, usiotesa raia, kuwabambikia kesi na kubambikizia wafanyabiashara kodi!
Lissu anatetea maslahi ya watumishi wa umma, anataka wapate nyongeza za mishahara zilizoko kwa mujibu wa sheria na pia anapinga kauli za kinyanyasaji na zisizo na staha hasa kwa wanawake waliogeuzwa kuwa wanasesere wa mizaha kwenye utawala huu!.
Lissu katolea mfano wa kauli ya kukejeli barakoa baada ya Jiwe siku moja kuifananisha na sidiria, infact Jiwe aliifananisha na Titi moja la mwanamke lililokatwa!!. Maneno gani sasa yale kutoka kwa mtu mwenye hadhi ya ukuu wa kaya kuyatamka mbele ya hadhara?, Ni aibu!
Kiufupi Lissu anafaa kuwa raisi, na akipata atakuwa rais bora kuliko Magufuli