Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Najua kazungumzia na mengine. Nimeyasikia.Amezungumzia historia ya utendaji wa Magufuli katika miaka yake mitano, hajazungumzia korona tu.
Kazungumzia:
1.kauli za Magufuli kipindi cha tetemeko Kagera
2. kauli za Magufuli kipindi cha ukame wa njaa
3. kauli za Magufuli kipindi cha Korona
4. Kauli za Magufuli wananchi wanapomdai nyongeza za mishahara
Yote haya ameyazungumza kuwaonyesha na kuwakumbusha Watanzania aina ya kiongozi tuliye naye na umuhimu wa kumbadilisha ili tuweke mwingine atakayewasaidia wananchi kipindi. cha majanga na atakayekuwa na kauli za staha na heshima kwa wananchi!
Kilichonigusa zaidi ni Corona na ndicho nilichoamua kukizungumzia.
Mimi siyo kamanda nisiyeelewa mambo mepesi.