Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anajitutumua kuitumia Corona kisiasa lakini wapi!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anajitutumua kuitumia Corona kisiasa lakini wapi!

Lissu kachanganyikiwa
Kama Lissu kachanganyikiwa CCM ndo
Mimi nailaumu NEC walitakiwa kupima akili wachukua fomu kabla ya kuwapa Nina uhakika ngukekuweko upimaji akili Kama ziko timamu au la Lisu asingepewa fomu

Usilete idea ya kupima wagombea akili, usije ukawa shocked kwa mgombea wako kuenguliwa mapema tu kabla ya Lissu
 
Hahahaha kinacho muuma zaidi Lissu ni kutojibiwa hilo linamtesa sana!


Angekuwa timamu au nagekuwa sawa kisaikolojia angeachana na swala la corona maana sidhani kama kuna mtanzania au mwanachadema yeyote anaweza kumuelewa kabisa!

Na hili la Corona ndilo linazidi kumfanya watanzania wasithubutu kumpigia kura kwani wengi wameshaogopa kuwekwa karantini!
Issue ya Corona Lisu haeleweki kea Wana Chadema Wala CCM Wala upinzani Wala wananchi wa kawaida Wala mabalozi walioko nchini
Serious Chadema kumuweka Lisu wamechemka waombe Mungu tu awasaidie kupitia NEC waondoe jina la Lisu ili Chadema waweke mtu mwingine

Lakini otherwise nimeongea na Chadema wengi tu wanasema wanajuta kumpa ugombea uraisi !! Na jina lake likikatwa na tume wengi watamshukuru Mungu
 
Nimepata kukitazama kipande cha video ambacho ameongea kuhusu hilo na ni dhahiri kuwa wewe haujapata kuielewa hoja iliyomo.

Corona si hoja hapo isitoshe corona ni suala la juzi tu hapa katika yale yaliyomo katika kipindi cha miaka mitano ya awamu ya tano.

Hoja iliyoko hapo ni kauli za Rais katika masuala mbalimbali ya kitaifa. Ndio maana amezungumzia pia suala la majanga ya kiasili kama tetemeko la ardhi n.k.

Hoja si corona wala natural disasters alizozisema bali hoja ni kauli za kiongozi kwa wananchi pale ambapo majanga hayo yanatokea.
Huyu mleta mada either ni popoma sugu, au anapotosha makusudi.. maana anamtuhumu mh. Lissu kwa mambo ambayo hakusema!

Ila kwa ujumla naunga mkono jinsi mh. Jiwe alivoshughulikia korona
 
Pole sana mkuu ila kama unatudanganya hapa kwa manufaa ya kushinda mjadala basi ulaaniwe

Kuna wengi wanakufa kijana mwingine wa Arusha tulisoma naye Ilboru naye kafariki wiki mbili sasa. Kwasababu alikuwa na kisukari Corona ilimpeleka haraka sana. Uliza kwenye watu walio group za Ilboru kama si kweli ndugu yetu Elisante kafariki kwa Corona
 
Katika kuzungumza huko naye anaonyesha ubovu wake kama mwanasiasa.

Yeye ni mwanaharakati tu.

Siasa haziwezi.
Njoo wew unayeziweza pumbafu....nilijua mtu mwenyew uelewa kumbe famba tu.unatofautishe uanaharakati na siasa.kweli msukuma ni msukuma tu hata akiwa ulaya ni famba tu
 
Ni context tu!

Aliyoyasema Jiwe ni mabaya zaidi kuliko Lissu kutumia neno "Sidiria"

Kauli halisi ni hii:


Hapana. Si suala la muktadha.

Ni suala la ukweli wa kilichosemwa.

Wewe umesema Lissu kamsema Magufuli kwa kuilinganisha barakoa na titi.

Lissu hajasema hivyo.

Lissu kasema Magufuli aliilinganisha barakoa na sidiria za wanawake.

Sidiria na titi ni vitu viwili tofauti.

Hulijui hilo?
 
"Tusikubali kuletewa barakoa,tengenezeni zenu,kwanza barakoa inafanana na sidiria zenu,kateni sidiria ziwe barakoa "...

Kwa kweli mh alitudhalilisha sana,

Kuwa nguo tunayovaa ndani ndo tuvae hadharani,udhalilishaji kwa wanawake,bora angesema wavae singilend au boxa
 
Msitegemee Agenda ya Maendeleo toka kwa TL tofauti na kumkosoa JPM.

Na hii Ndio hurka ya mwana harakati.
 
Njoo wew unayeziweza pumbafu....nilijua mtu mwenyew uelewa kumbe famba tu.unatofautishe uanaharakati na siasa.kweli msukuma ni msukuma tu hata akiwa ulaya ni famba tu
Povu la nini sasa kamanda?

Kama unaweza kupigana ngumi njoo.

La sivyo sina muda wa kuandika matusi ya kitoto mtandaoni mimi.
 
ukijifungua salama tafadhali mtoto mpe jina Tundu Lisu...una mahaba naye sana mleta mada!.
 
Lissu yuko vizuri anazungumzia kuhusu utawala mbovu wa Magufuli na umuhimu wa kuung'oa madarakani ili kusimika utawala unaheshimu katiba, sheria za nchi wenye kufuata misingi ya utawala bora, usiotesa raia, kuwabambikia kesi na kubambikizia wafanyabiashara kodi!

Lissu anatetea maslahi ya watumishi wa umma, anataka wapate nyongeza za mishahara zilizoko kwa mujibu wa sheria na pia anapinga kauli za kinyanyasaji na zisizo na staha hasa kwa wanawake waliogeuzwa kuwa wanasesere wa mizaha kwenye utawala huu!.

Lissu katolea mfano wa kauli ya kukejeli barakoa baada ya Jiwe siku moja kuifananisha na sidiria, infact Jiwe aliifananisha na Titi moja la mtu lililokatwa!!. Maneno gani sasa yale kutoka kwa mtu mwenye hadhi ya ukuu wa kaya kuyatamka mbele ya hadhara?, Ni aibu!

Kiufupi Lissu anafaa kuwa raisi, na akipata atakuwa rais bora kuliko Magufuli
Rais wa ufipa?,fUk!u
 
Washenzi Fulani Hivi, bila Shaka walikuwa wamelikamia Sana Hilo la Corona, na baada ya kudunda Nchini, hawana hoja tena,

Na kwa kweli, inaonyesha walikuwa wamejipanga Kwa mashambulizi haswa kuhusiana na Hilo,

Na pengine walikuwa wakiombea watu wafe Sana Ili kwao iwe ni agenda Yao ya kisiasa,

Sijui watakuwa na agenda gani SASA!!
 
Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona.

Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi alivyoamua kukabiliana nayo.

Kamkosoa Magufuli kwa kuwaambia watu wasivae barakoa, ‘kwanza zinafanana na sidiria za wanawake’.

Sijui ni lini na wapi Rais alisema hivyo. Mnaojua mtanifahamisha.

Ila kwa Tundu Lissu kusimama mbele ya watu ambao hawana ‘time’ na Corona, ambao wamesimama kwa kurundikana bila kuacha nafasi, na ambao wala hawajavaa barakoa, akiwemo yeye mwenyewe, ni unafiki wa daraja la kwanza.

Kila siasa huwa ni za mahali pake. Kwa Tanzania hii, suala la Corona si hoja yenye mashiko, na kwa mtaji huo, si hoja ya ushindi.

Mbaya zaidi ni kutokitenda kile ambacho unakihubiri.

Huyo Tundu Lissu yeye anachukua tahadhari gani dhidi ya Corona tokea aje?

Ile barakoa yake aliyoivaa kwa dakika chache ile siku aliporudi, iko wapi?

Huyu jamaa ni kama vile yuko nje ya mguso na mambo ambayo Watanzania wanayajali.

Hebu mtazame hapa kuanzia dakika ya 6:30.....



Mwaka huu Chadema ya Tundu Lissu itaambulia kura chache yaani hawataamini, yaani itakuwa kama NCCR Mageuzi ya Mrema.
 
Sina hoja lakini kila niandikapo hukosi kupita na kutema nyongo zako!

Dizaini nakupa kiungulia cha moyo kila unionapo maana washindwa kujizuia!!!!

Pole.
Tunajua Meko ni ngosha mwenzio, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba ulimbukeni na ushamba umemzidi huyo ndugu yako.

Yaani watanzania hatumhitaji kwa sasa. Ni kiongozi mbovu asiyefuata misingi ya utawala wa sheria.

Mwambie arudi huko kwenu akalime viazi vitamu. Ametuvurugia utaratibu na sasa imetosha.
 
Back
Top Bottom