Tundu Lissu Anakumbusha Uchaguzi wa Urais wa TAA Kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953

Wanasemaga God's timing is perfect,,,,,,sipati picha waasisi wa hili taifa wangekua na akili kama zako , hii nchi ingekua kama somalia
 
Pole sana , Maria hajamfundisha mtu Sala wala hamna mahali alikuwa na hiyo sala
Haha kwakweli na Mungu wa kweli huwapigania watu wake,, bali miungu ndo inataka watu waipiganie
 
Ukiacha kukosea mwaka, vipi kuhusu ukweli wa hoja yake?
 
Haha kwakweli na Mungu wa kweli huwapigania watu wake,, bali miungu ndo inataka watu waipiganie

Mbona alishindwa kujipigania mwenyewe akamkumbuka Mungu wa kweli kwa kusema huku akilia, Mungu Wangu mbona umeniwacha?
 
Abdulwahid Sykes,Dossa Aziz,Bibi Titi Mohamed na Waislamu wenzao kadhaa waliokuwa wakiiongoza TAA walifanya makosa makubwa ambayo yalikuja kuwagharimu na kujuta katika maisha yao hadi umauti ulipowafika, Na yote ni kutokana na kupuuza onyo au mashaka yaliyo onyeshwa na mwenzao Sheikh Suleiman Takadir.
 
Mbona alishindwa kujipigania mwenyewe akamkumbuka Mungu wa kweli kwa kusema huku akilia, Mungu Wangu mbona umeniwacha?
Na akayashinda mauti, ....ndo maana ukiita jina lake ile mifugo yenu yote inatoka nduki.........huyo ndo bwana grandmaster anajulikana tokea enzi.......mbona upande huo mnapewa busti na wagiriki kwa sasa......
 
Safi sana! Asingesema hivyo wangeendelea kuwasema Chadema.
 
Kukosea mwaka siyo hoja ya msingi kwa kile alichokuwa akitufundisha!
Hoja ni lini nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa iliwahi kugombewa na wagombea zaidi ya mmoja?
Ni nani aliyesimama na Nyerere Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Magufuri,na sasa Mama kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa CCM?
 
Na akayashinda mauti, ....ndo maana ukiita jina lake ile mifugo yenu yote inatoka nduki.........huyo ndo bwana grandmaster anajulikana tokea enzi.......mbona upande huo mnapewa busti na wagiriki kwa sasa......
Aliyashimda maiti kumbe alikuwa na Mungu yeye hakuwa mungu
 
Haha usilolijua ni sawa na usiku wa giza,,,,nendeni mkapiganie mito ya pombe na mabikira

Of course ndio Paulo akawaingiza mkenge ,

Eti unaabudu yesu yupi wa mathayo au wa Luka ??
 
Wa surat al bakala

Bakala ndiye Nani tena ? Au ni huyu


Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:

Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."

Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu? Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa? Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:
Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28
 
Eryt...
Sina la kusema kwenye hoja.

Shekhe Mohamed Said,

..Lissu ni miongoni mwa Watanzania wachache wenye ujasiri wa kueleza ukweli kuhusu mambo mbalimbali ya kihistoria yaliyofichwa.

..mwanasiasa pekee aliyekuwa na ujasiri wa kumtaja ktk BUNGE, Abdulah Kassim Hanga, na wenzake, na kuitaka serikali ieleze alipopotelea, ni Tundu Lissu.

..mgombea pekee wa Uraisi, aliyewataja Mashekhe wa Answar Sunna, waliokuwa wakishikiliwa ktk magereza mbalimbali, bila kesi zao kutajwa, ni Tundu Lissu.

..Lissu ndiye mwanaharakati aliyeweza kufika ktk kaburi la Christopher Kassanga Tumbo bila kificho, na kuuenzi mchango wake ktk harakati za vyama vya wafanyakazi, na demokrasia ya vyama vingi.

..Tukirudi ktk hoja yako, ni ajabu kwamba Lissu anaijua historia ya Tanu, na Ccm, na anaifanyia rejea, kuliko hata wana Ccm wenyewe.
 

Anatupigania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…