View attachment 3081815
Anatupigania
🤣nani kakwambia Yesu alikua mrumi,,,,,,warumi wahuni ndo waliwaanzishia huo uislam kwa maslahi yao hata huyo mtume wenu alitumika na warumi, hamjaelewa kwanini uislam ulianza baada ya miaka 600 ya kuzaliwa kristo......na wazee walikua wanatembea na code yao ya 666,,....na mlivyokua wajinga mnadhani ukristo ni wa warumi tu,,,,,,kuna warusi kuna wagiriki kuna wa Ethiopia ambao hawafungamani na warumi,,,,mnatembea kwenye njia za mkoloni ambao hao ndo walikua majeshi ya warumi,,, na hamjiulizi kwanini kwenye mgawanyo wao wa makoloni Italy akapewa Ethiopia na mziki ukamshinda.....Mbona unatuletea Yesu Mkikuyu , Marehemu Wanyonyi? Yule mzungu wa Roma umemwacha
Bakia na Marehemu mungu wako Wanyonyi.🤣nani kakwambia Yesu alikua mrumi,,,,,,warumi wahuni ndo waliwaanzishia huo uislam kwa maslahi yao hata huyo mtume wenu alitumika na warumi, hamjaelewa kwanini uislam ulianza baada ya miaka 600 ya kuzaliwa kristo......na wazee walikua wanatembea na code yao ya 666,,....na mlivyokua wajinga mnadhani ukristo ni wa warumi tu,,,,,,kuna warusi kuna wagiriki kuna wa Ethiopia ambao hawafungamani na warumi,,,,mnatembea kwenye njia za mkoloni ambao hao ndo walikua majeshi ya warumi,,, na hamjiulizi kwanini kwenye mgawanyo wao wa makoloni Italy akapewa Ethiopia na mziki ukamshinda.....View attachment 3081835
Na bado huko kwenye maeneo yenu pakichafuka mnakimbilia kwenye nchi za warumi badala ya kukaa kwa ndugu zenu wa kiimani
Huwa namdiscredit mtu yoyote yule bila kuangalia wajihi wa kielimu aliojinasbisha nao
Pale tu anapoanza kuleta mihemko ya kidini katika mada zinazohitaji fikra huru na tunduizi katika kuzidadavua....
RELIGION FANATICS nawaza sema ndo viumbe wenye uwezo mdogo wa kufikiri kuliko hata funza wa chooni
Lakini wakazidiwa akili na mgalatia Nyeere usiyempenda.Porojo hizo, hampendi tu kusikia historia ya ukweli kuwa Waislam ndiyo waasisi wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Haha haahaha weUnamdiscredit , wewe kama nani ??? Au wewe ni Mwenyekiti wa CCM wa tawi??
Haha haahaha we
CCM ndo nini?kuna maisha nje ya Ccm na Cdm,yanga na simba,islam na christianity
Sasa we kaza fuvu endelea kulimit imagination capacity yako ndani ya box
Wa kariakoo ndiyo uite Tanganyika!Porojo hizo, hampendi tu kusikia historia ya ukweli kuwa Waislam ndiyo waasisi wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Maskini! Pole sanaEryt...
Sina la kusema kwenye hoja.
hahahha kumbe hujasoma hata nilichoandika?Hvyo ulivyoandika tu , hizo ndizo tabia za ma CCM , wewe utakuwa ni kijana kada wa chama
sasa jibu swali
Unamdiscredit , wewe kama nani ???
Njinjo,Maskini! Pole sana
Njinjo,Wa kariakoo ndiyo uite Tanganyika!
Acha uongo!Njinjo,
Waasisi wa African Association 1929 6 wametoka Kariakoo na 3 Missiom Kota:
- Kleist Sykes (Kariakoo)
- Ibrahim Hamisi (Kariakoo)
- Mzee Bin Sudi (Kariakoo)
- Zibe Kidasi (Kariakoo)
- Ali Said Mpima (Kariakoo)
- Suleiman Majisu (Kariakoo)
- Cecil Matola (Mission Kota)
- Raikes Kusi (Mission Kota)
- Rawsom Watts (Mission Kota)
Njinjo,Acha uongo!
Ukianza kumzungumzia Sykes ndipo unaonekana mahoka. Jitahidi katika andishi lako ukwepe hilo jina. Nasema hivyo kwanini? Sykes alikuwa mpinzani wa Nyerere kama ilivyo sasa Chadema na CCM. Wewe ni mtu mzima nadhani utakuwa umensomaNjinjo,
Historia hiyo inatoka katika mswada wa kitabu alichoandika Kleist Sykes kabla ya kifo chake 1968.
Mswada huu ulikuwa mikononi mwa Abdul Sykes hadi 1968 mswada huo ulipofikishwa kama seminar paper University of East Africa na Aisha Daisy Sykes akiwa mwanafunzi wa historia chuoni hapo chini ya John Iliffe.
Iliffe akatumia paper hii kama moja ya sura katika kitabu, ''Modern Tanzanians.''
Kariakoo ya Nairobi, Kenya ndipo walipokuwa wazee wa Tanganyika.Wa kariakoo ndiyo uite Tanganyika!
Sana tena.Lakini wakazidiwa akili na mgalatia Nyeere usiyempenda.
Njinjo,Ukianza kumzungumzia Sykes ndipo unaonekana mahoka. Jitahidi katika andishi lako ukwepe hilo jina. Nasema hivyo kwanini? Sykes alikuwa mpinzani wa Nyerere kama ilivyo sasa Chadema na CCM. Wewe ni mtu mzima nadhani utakuwa umensoma