Tajiri wa Babeli Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 126 Reaction score 53 Sep 8, 2024 #61 FaizaFoxy said: Porojo hizo, hampendi tu kusikia historia ya ukweli kuwa Waislam ndiyo waasisi wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Click to expand... Kabisa
FaizaFoxy said: Porojo hizo, hampendi tu kusikia historia ya ukweli kuwa Waislam ndiyo waasisi wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Click to expand... Kabisa
M maramojatu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 1,749 Reaction score 2,319 Sep 9, 2024 #62 Ingependeza kama nyumba ya Sykes ilokuwa inatumiwa na waasisi wa taifa kwa vikao kama ingekuwa sehemu ya makumbusho, hata kama imeboreshwa. Tusukwepe historia
Ingependeza kama nyumba ya Sykes ilokuwa inatumiwa na waasisi wa taifa kwa vikao kama ingekuwa sehemu ya makumbusho, hata kama imeboreshwa. Tusukwepe historia