Ridhwani Mbaraka
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 484
- 1,135
Liliropoka linajibiwa within a minute.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa na Baba Sebuleni yeye ccm janaalikiri KUMLINGANISHA LISU NA MAGU NIKUMWONEA MAGUKwa ile intervew ya Jana Lissu ni akili kubwa sana
Magufuli atapata tabu sana njia pekee ilikuwa ni kumkata Kama walishindwa kumkata ndio imetoka hiyo mpaka Ikulu.
Meko anakwambia "Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27(badala ya miaka 24), akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi"Magufuli alijiamini sana kuwa mwaka 2020 atapata mserereko, tulimuonya kuwa tunapanga jeshi huko porini na siku likiingia field patatawanyika. Tukawaambia wafuasi wa CCM kuwa mwenendo wanaoenda nao kwa awamu hii ndiyo mwenendo mbaya zaidi kuwahi kuwepo Tanzania tangia enzi ya ukoloni ila wakatuita mapingapinga.
Ghafla bi vuu tunashuhudia vituko vya kila aina vya wanaccm kuombea kura, mambo yanakuwa si mambo tena. Na bado tutashuhudia maajabu ya aina yake.
Tundu Lissu kila siku kila saa anaporomosha imani ya wafuasi wa Magufuli, anamhenyesha kweli kweli Magufuli. Napenda sana na navutiwa sana na siasa za mwaka huu kwa Mgombea wa Chadema na niseme kuwa siasa za mwaka huu zinanivutia tangia kuzaliwa.
Kila siku Lissu anavyozidi kusonga mbele ndipo anapozidi kupata ushawishi tena mara dufu! Hatari hii!
Hii ni tofauti kabisa na mzee wetu wa mapanga-shaaa ambaye kila siku anaongeza wasanii mara dufu. Upo uwezekano kuwa siku za mwisho pakatokea plan B kwa Lissu ila si mnamjua? Yule ni manusura wa full magazine ya AK 47! Labda mje na ICBM za kiduku! Lissu kaza mwendo baba!
Tunaambiwa kuwa JK rasmi anaingia field kupambana. Karibu mzee wa msoga ila uzuri Lissu unamjua.
Tukutane Dodoma baadaye tutandike jukwaa.
Ila wanaomzunguka Magufuli ni hopeless sana, inawezekana vipi nyie mkawa watu wa kumsifia tuuuuu siku zote.Jiwe lilipiga marufuku watu kufanya siasa kwa miaka5. Lilibaki lenyewe uwanjani likiropoka ropoka hovyo, likadhani limefanikiwa.
Halikuwahi kufikiri kuwa chuma Lissu atarudi nchini, kidume kuliko yeye.
Sasa lilikuwa limeshazoea likizungumza halijibiwi likajiona kidume, sasa hivi karudi kidume kutoka kwa mabeberu, anatandika mule mule, likizungumza pumba zake zinajibiwa kwa hoja takatifu, limeishiwa pozi maana lilikuwa linafikiri linaheshimika kwa kutojibiwa
Mtu ambaye hata historia ya nchi haijui vizuri halafu anataka kuongezewa miaka mingine tena.
umefufuka!Upinzani ulishakufa tangu 2015, JPM kwasasa anafanya kampeni ili kutimiza matakwa ya Chama chake.
Kabisa kabisa Mkuu, nafasi pekee waliyokua nayo hawa MAGAMBA ni ile waliyoip[oteza ya kumkata Lissu ili asigombee. Kwasasa Lissu HAKAMATIKI na hakuna mwenye uwezo wa kujibu hoja zake huko CCM.Kwa ile intervew ya Jana Lissu ni akili kubwa sana
Magufuli atapata tabu sana njia pekee ilikuwa ni kumkata Kama walishindwa kumkata ndio imetoka hiyo mpaka Ikulu.
Alizikwa wapi? Usijiaminishe hivyoCCM ni marehemu
Limepooza kweli limebaki kujipa faraja Lita shinda kwasababu ya TISS, Police, NEC na wakurugenziJiwe lilipiga marufuku watu kufanya siasa kwa miaka5. Lilibaki lenyewe uwanjani likiropoka ropoka hovyo, likadhani limefanikiwa.
Halikuwahi kufikiri kuwa chuma Lissu atarudi nchini, kidume kuliko yeye.
Sasa lilikuwa limeshazoea likizungumza halijibiwi likajiona kidume, sasa hivi karudi kidume kutoka kwa mabeberu, anatandika mule mule, likizungumza pumba zake zinajibiwa kwa hoja takatifu, limeishiwa pozi maana lilikuwa linafikiri linaheshimika kwa kutojibiwa
HofyoooooLisu hapati zaidi ya 20% ya kura zote
Lissu ameshatuhakikishia KUINGIA BARABARANI iwapo Tume ya Magufuli itachezea kura zetu, yeye si kama Mzee Lowassa aliyeamua kumuachia Mungu tu.Hv kwa tume ipi ya uchaguzi? hii hii au nyingine.Ok tusubiri wakati utakapofika
Kujifariji ni vizuriMagufuli alijiamini sana kuwa mwaka 2020 atapata mserereko, tulimuonya kuwa tunapanga jeshi huko porini na siku likiingia field patatawanyika. Tukawaambia wafuasi wa CCM kuwa mwenendo wanaoenda nao kwa awamu hii ndiyo mwenendo mbaya zaidi kuwahi kuwepo Tanzania tangia enzi ya ukoloni ila wakatuita mapingapinga.
Ghafla bi vuu tunashuhudia vituko vya kila aina vya wanaccm kuombea kura, mambo yanakuwa si mambo tena. Na bado tutashuhudia maajabu ya aina yake.
Tundu Lissu kila siku kila saa anaporomosha imani ya wafuasi wa Magufuli, anamhenyesha kweli kweli Magufuli. Napenda sana na navutiwa sana na siasa za mwaka huu kwa Mgombea wa Chadema na niseme kuwa siasa za mwaka huu zinanivutia tangia kuzaliwa.
Kila siku Lissu anavyozidi kusonga mbele ndipo anapozidi kupata ushawishi tena mara dufu! Hatari hii!
Hii ni tofauti kabisa na mzee wetu wa mapanga-shaaa ambaye kila siku anaongeza wasanii mara dufu. Upo uwezekano kuwa siku za mwisho pakatokea plan B kwa Lissu ila si mnamjua? Yule ni manusura wa full magazine ya AK 47! Labda mje na ICBM za kiduku! Lissu kaza mwendo baba!
Tunaambiwa kuwa JK rasmi anaingia field kupambana. Karibu mzee wa msoga ila uzuri Lissu unamjua.
Tukutane Dodoma baadaye tutandike jukwaa.
Asinge walipanga wasanii kila mmoja ml.5 kwa kila mkutano mmojaUnajidanganya!! Unajifariji!! Lissu hatofikisha Kura hata Milion 4,
Nivizuri pia utuambie kwann wasipatikane je nikwakura au kwakutowatangazaKujifariji ni vizuri
Na chadema ukipata wabunge 5, mitafute