Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

Meko anakwambia "Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27(badala ya miaka 24), akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi"

Hizi kauli za kutia huruma ni ishara kwamba pumzi imeanza kukata rasmi.
 
Ila wanaomzunguka Magufuli ni hopeless sana, inawezekana vipi nyie mkawa watu wa kumsifia tuuuuu siku zote.
 
Kwa ile intervew ya Jana Lissu ni akili kubwa sana

Magufuli atapata tabu sana njia pekee ilikuwa ni kumkata Kama walishindwa kumkata ndio imetoka hiyo mpaka Ikulu.
Kabisa kabisa Mkuu, nafasi pekee waliyokua nayo hawa MAGAMBA ni ile waliyoip[oteza ya kumkata Lissu ili asigombee. Kwasasa Lissu HAKAMATIKI na hakuna mwenye uwezo wa kujibu hoja zake huko CCM.
 
Limepooza kweli limebaki kujipa faraja Lita shinda kwasababu ya TISS, Police, NEC na wakurugenzi
 
Kujifariji ni vizuri
Na chadema ukipata wabunge 5, mitafute
 
Huku kunaitwa kuwapa tumaini watu waliopotea mapolini wakiwa na njaa Kali, mmoja wao akanyanyua mdomo wake kusema, nikama nimesikia kikohozi mtu akipiga chafya mahali, nadhani tutakuwa tumeikalibia miji ya watu, Ili Hali wenginewe wakisikia sauti za bundi na miungurumo ya wanyama na sauti za ndege wa ajabu katikatika ya Pori Nene

Lisu ni Nani Mbele ya mstu mnene unaoitwa CCM Chini ya JPM?

Haki ya Nani mwaka huu!! AHiiiiiiiiiiiiijiiiiiiii! Hicho kishindo cha ushindi wa CCM? Ni aibu ya Karine Kwa wapinzani
 
Mimi akikubali katiba mpya nampa kura yangu hayo mengine Sasa hivi hata akisema watu hawamuamini, Mimi naona na msimamo wake Ila aongeze katiba mpya na ndo limebeba kura nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…