Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

mnajitahidi kudanganyana,kashindwa lowassa mwenye shoka ataweza lissu na wembe kuangusha kisiki cha mpingo?
 
Huwezi kufikiri kama ni yule wa miaka mitano iliyopita. Any way acha anyooshwe na mimi nasema na anyooshwe tu maana hakuna namna sasa. Alijimwambafai kipita kiasi
Na akipenya safari hii akaleta ujuaji wake wa miaka mitano hii ajue 2025 anaiweka ccm pabaya sana
 
CCM wajaribu mkutano mmoja bila wasanii kama hawajabaki wale wa meza kuu tu
 
Jk alimuogopa enzi zile sasa hivi anakuwa Rais itakuwaje?
Jk anamjua Lissu vizuri anatamani awe upande wa Lissu sema miradi yake itakwama.
 
Wamebwabwaja sama miaka 5 leo wanaanza kulia lia na ndio kwanza wiki moja tu ya kampeni
 
Tusibitishie.
hana uthibitisho huyo, porojo tu. Upinzani sasa ndo umeimarika mara 10 ya awali mpaka tume, polisi, usalama, wakurugenzi wameungana lakini hawafui dafu, ogopa sana wananchi wakiamua wameamua$!
 
Kwa bahati mbaya sana Kikwete hana ushawishi wowote , 2015 alipoongoza kampeni Magufuli aliambulia patupu , 3 unusu dhidi ya zaidi ya 10 za UKAWA
Wacha ajilete ulingoni apigwe za uso.. maana naye anayo ya kuanikwa
 
Lisu Akili kubwa Sana,he deserve to be The President.Ana kitu kikubwa sana na ndo sababu Mungu amemuweka hai mpaka leo.Yaani amepangilia kile ataenda kutufanyia Watanzania na ndo tunachokitaka.Sema Nina wasiwasi na Michezo ya CCM,hawawezi kubali wale
 
Poleni kuna mgombea wenu amejitoa sasa CCM imepita bila kupingwa!
 
May be President of Ufipa Saccos!
 
Umeandika saa4.00 asubuhi huu uzi tupe tathmini saa hizi kwa kuxingatia nyomi ya Lissu Dodoma leo.Shida yenu mko jf twetter na fb.Field kimenuka Lissu ndebendebe.Subirini
 
Umeandika saa4.00 asubuhi huu uzi tupe tathmini saa hizi kwa kuxingatia nyomi ya Lissu Dodoma leo.Shida yenu mko jf twetter na fb.Field kimenuka Lissu ndebendebe.Subirini
Rudi shule wee bwege , hii nyomi ni naniliu ya Nani? Angalia hiyo nyomi Kama Ni ya kubebwa
 
Kwa ile intervew ya Jana Lissu ni akili kubwa sana

Magufuli atapata tabu sana njia pekee ilikuwa ni kumkata Kama walishindwa kumkata ndio imetoka hiyo mpaka Ikulu.
Kushindwa kupo pale pale,kumkata pia walishindwa na kwenye sanduku la kura pia atawashinda straight.Mbinu pekee iliyobaki kwa CCM Mpya ni wizi wa kura,huko napo hatukubali kuibiwa kura.Tuliposema Sasa Basi tunamaanisha hivyo.
 
KUNA WATU MNATEMBEA NA AKILI ZA KUVUKIA BARABARA NA KUFUGIA NYWELE.
HIVI MTOA POST UKO MAKINI NA UNACHOKISEMA?
KIPI KINACHOKUONGOZA KWAMBA WAFUASI WA CCM WANAPUNGUA AU HUFUATILII KWINGINE ZAIDI YA KUSHINDIA HUMU MTANDAONI.
HAYA DODOMA HIYO LEO LISSU [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…