Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

Tunaambiwa kuwa JK rasmi anaingia field kupambana. Karibu mzee wa msoga
Mzee Kikwete usikubali baba. Huyu John ndiye aliyesema unawashwa washwa ulipojaribu kumshauri.
 
Unajidanganya!! Unajifariji!! Lissu hatofikisha Kura hata Milion 4,
Magu anajinadi wamejenga viwanda 8000..juzi kati niko Makumbusho stand kuna kijana kanifuata kwenye mtumba wangu wa Japan..ananiomba nauli ya kwenda anapoishi Tegeta...akanionyesha vyeti vyake vya UDSM na kafaulu poa..nilimpa nyekundu..moyoni nikasema Magu hawa vijana watakumaliza..
 
2015 kwenye kampeni mzee Kikwete alimwambia Lissu kwamba mwenye Richmond ndio huyo unae zunguuka nae nchi nzima.
Na hii 2020 acha aje tu pengine anaweza kumwambia Lissu ni nani aliye mpiga risasi.

Ila huyu mzee Kikwete kwa Mzee Magufuli na yale niliyo yaona kwenye msiba wa Mzee Mkapa, naona kama vile hatabiriki. Ama ilikuwa hasira yakukurupushwa kama mwanfunzi darasani? Maana aliweka wazi kwamba hii ndio faida ya kukurupushwa. Na kweli tokea siku ile sijasikia tena zile tambo na majigambo kuhusu uchumi wa kati.
 
Ruvuma kambi ya CCM miaka yote..
 
Ngoja tukuelimishe wewe robot la Lumumba. CHADEMA wanazindua kwanza kwenye kanda ndiyo maana unaona anafanyia mikutano yake kwenye makao makuu ya kanda. Baada ya hapo ndipo waanze kupita jimbo kwa jimbo, bampa kwa bampa! Umeelewa wewe kalio la panzi?
Si mseme tu
Ruzuku imeisha!
 
Kwa ile intervew ya Jana Lissu ni akili kubwa sana

Magufuli atapata tabu sana njia pekee ilikuwa ni kumkata Kama walishindwa kumkata ndio imetoka hiyo mpaka Ikulu.
Mpaka wapi🤔? 🤣🤣🤣
 
huko Mbeya leo ni hatari, magu hatoboi safiri hii,na Ni vile tume imeshinikizwa kutangaza mshindi
 
Mwamba hafananii ata kidg na hadhi ya u prezdaa
Mwamba anavyovinasaba vya uongozi, ila bado naamini kama washauri ndio wamemwangusha.

Mwanzo alianza vizuri sana na akaeleweka.

Ila naamini uchaguzi huu umemfunulia mengi na amejua kama fanya unachoweza na sio kila unaloweza.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Kwa ile intervew ya Jana Lissu ni akili kubwa sana

Magufuli atapata tabu sana njia pekee ilikuwa ni kumkata Kama walishindwa kumkata ndio imetoka hiyo mpaka Ikulu.
Kabaki kubadili badili maneno tu eti katukana "wafanyakazi" wakati kuna watu walijitukana wenyewe wakasema waliokotwa majalalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…