Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

Tunaambiwa kuwa JK rasmi anaingia field kupambana. Karibu mzee wa msoga
Mzee Kikwete usikubali baba. Huyu John ndiye aliyesema unawashwa washwa ulipojaribu kumshauri.
 
Unajidanganya!! Unajifariji!! Lissu hatofikisha Kura hata Milion 4,
Magu anajinadi wamejenga viwanda 8000..juzi kati niko Makumbusho stand kuna kijana kanifuata kwenye mtumba wangu wa Japan..ananiomba nauli ya kwenda anapoishi Tegeta...akanionyesha vyeti vyake vya UDSM na kafaulu poa..nilimpa nyekundu..moyoni nikasema Magu hawa vijana watakumaliza..
 
Magufuli alijiamini sana kuwa mwaka 2020 atapata mserereko, tulimuonya kuwa tunapanga jeshi huko porini na siku likiingia field patatawanyika. Tukawaambia wafuasi wa CCM kuwa mwenendo wanaoenda nao kwa awamu hii ndiyo mwenendo mbaya zaidi kuwahi kuwepo Tanzania tangia enzi ya ukoloni ila wakatuita mapingapinga.

Ghafla bi vuu tunashuhudia vituko vya kila aina vya wanaccm kuombea kura, mambo yanakuwa si mambo tena. Na bado tutashuhudia maajabu ya aina yake.

Tundu Lissu kila siku kila saa anaporomosha imani ya wafuasi wa Magufuli, anamhenyesha kweli kweli Magufuli. Napenda sana na navutiwa sana na siasa za mwaka huu kwa Mgombea wa Chadema na niseme kuwa siasa za mwaka huu zinanivutia tangia kuzaliwa.

Kila siku Lissu anavyozidi kusonga mbele ndipo anapozidi kupata ushawishi tena mara dufu! Hatari hii!
Hii ni tofauti kabisa na mzee wetu wa mapanga-shaaa ambaye kila siku anaongeza wasanii mara dufu. Upo uwezekano kuwa siku za mwisho pakatokea plan B kwa Lissu ila si mnamjua? Yule ni manusura wa full magazine ya AK 47! Labda mje na ICBM za kiduku! Lissu kaza mwendo baba!

Tunaambiwa kuwa JK rasmi anaingia field kupambana. Karibu mzee wa msoga ila uzuri Lissu unamjua.

Tukutane Dodoma baadaye tutandike jukwaa.
2015 kwenye kampeni mzee Kikwete alimwambia Lissu kwamba mwenye Richmond ndio huyo unae zunguuka nae nchi nzima.
Na hii 2020 acha aje tu pengine anaweza kumwambia Lissu ni nani aliye mpiga risasi.

Ila huyu mzee Kikwete kwa Mzee Magufuli na yale niliyo yaona kwenye msiba wa Mzee Mkapa, naona kama vile hatabiriki. Ama ilikuwa hasira yakukurupushwa kama mwanfunzi darasani? Maana aliweka wazi kwamba hii ndio faida ya kukurupushwa. Na kweli tokea siku ile sijasikia tena zile tambo na majigambo kuhusu uchumi wa kati.
 
Jiwe kachanganyikiwa badala ya kkomba kura anaomba wachumba
Screenshot_20200904-193322.png
 
Kwa taarifa tu ndugu yangu lisu kuingia ikulu itakua ni ndoto, nasema hivyo kwakua tangu kampeni zianze, nimekua nikisafiri sana tu mijini na vijijini ninacho kiona kwa vijijini watu wote wako na magufuri, naandika ujumbe huu nikiwa ruvuma huku kuna sehemu inaitwa rituhi kwao na hayati mzee komba huku,kila mtu ninae muulizia anasema magufuri tu yaani lisu hawamjui,nasio huku tu mm nazani chadema inabidi waongezee nguvu na vijijini,wasipo fanya hivyo watakuja na habari ya kuibiwa kura kumbe wamembea kwa kuweka nguvu zaidi mijini pekeake na kusahau vijijini niushauli tu.
Ruvuma kambi ya CCM miaka yote..
 
Ngoja tukuelimishe wewe robot la Lumumba. CHADEMA wanazindua kwanza kwenye kanda ndiyo maana unaona anafanyia mikutano yake kwenye makao makuu ya kanda. Baada ya hapo ndipo waanze kupita jimbo kwa jimbo, bampa kwa bampa! Umeelewa wewe kalio la panzi?
Si mseme tu
Ruzuku imeisha!
 
Kwa ile intervew ya Jana Lissu ni akili kubwa sana

Magufuli atapata tabu sana njia pekee ilikuwa ni kumkata Kama walishindwa kumkata ndio imetoka hiyo mpaka Ikulu.
Mpaka wapi🤔? 🤣🤣🤣
 
huko Mbeya leo ni hatari, magu hatoboi safiri hii,na Ni vile tume imeshinikizwa kutangaza mshindi
 
Mwamba hafananii ata kidg na hadhi ya u prezdaa
Mwamba anavyovinasaba vya uongozi, ila bado naamini kama washauri ndio wamemwangusha.

Mwanzo alianza vizuri sana na akaeleweka.

Ila naamini uchaguzi huu umemfunulia mengi na amejua kama fanya unachoweza na sio kila unaloweza.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Jiwe lilipiga marufuku watu kufanya siasa kwa miaka5. Lilibaki lenyewe uwanjani likiropoka ropoka hovyo, likadhani limefanikiwa.
Halikuwahi kufikiri kuwa chuma Lissu atarudi nchini, kidume kuliko yeye.
Sasa lilikuwa limeshazoea likizungumza halijibiwi likajiona kidume, sasa hivi karudi kidume kutoka kwa mabeberu, anatandika mule mule, likizungumza pumba zake zinajibiwa kwa hoja takatifu, limeishiwa pozi maana lilikuwa linafikiri linaheshimika kwa kutojibiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Kwa ile intervew ya Jana Lissu ni akili kubwa sana

Magufuli atapata tabu sana njia pekee ilikuwa ni kumkata Kama walishindwa kumkata ndio imetoka hiyo mpaka Ikulu.
Kabaki kubadili badili maneno tu eti katukana "wafanyakazi" wakati kuna watu walijitukana wenyewe wakasema waliokotwa majalalani.
 
Back
Top Bottom