Tundu Lissu anaweza kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha ugombea, inahitajika huruma ya mwenyekiti kumnusuru

Angalia usije ukakatwa wewe
 
Mimi naona wewe ndiye mpumbavu kwa muktadha huu. Unataka kutuambia kuwa Ukiwa Shekhe, Padre, Askofu au mchungaji basi wewe hutendi dhambi? Muwe mnatumia akili kujibu hoja na si mihemuko.
Mpumbavu ni wewe unayejifanya unaijua katiba ya CHADEMA kuliko Makamu mwenyekiti wa CHADEMA!
 
🚮🚮🚮
 
Hivi,ukisikia jina Lissu unachukia sana?
 
Ukale mav..i huko wasafi mlikozoea kupakana kinyume
 
Weka facts za hoja yako sasa
Lissu anafanya mikutano ya live akijinadi na kuomba kura kwa wajumbe. Usiniambie uhoni anavyojaribu kushawishi watu wamchague.
Mbowe yupo kimya sababu anah shimu utaratibu.
 
Amufute kwa kutoa ushauri?acheni ujinga kwani naye mbowe ana chama huyo Mugabe, yaani kusema wawepo wasimamizi makini ni kupiga kampeni? Kweli wajinga wengi duniani
 
Safari hii mmebanwa kende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…