Tundu Lissu anaweza kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha ugombea, inahitajika huruma ya mwenyekiti kumnusuru

Tundu Lissu anaweza kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha ugombea, inahitajika huruma ya mwenyekiti kumnusuru

Kampeni ni suala endelevu. Ndiyo maana CCM wanakuwa mbele ya muda. Wao kila siku wapo kwenye kampeni.

Nyinyi mnasubiria ile miezi 2 muanze kampeni. Wake up.. 😂😂😂
 
Lissu anafanya mikutano ya live akijinadi na kuomba kura kwa wajumbe. Usiniambie uhoni anavyojaribu kushawishi watu wamchague.
Mbowe yupo kimya sababu anah shimu utaratibu.
Anajinadi vipi kwa mfano
 
View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.

Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.

Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.

Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
tulia wewe muda wa kufanya propaganda chafu bado
 
View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.

Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.

Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.

Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
Wewe kamtu ni kapuuzi fulani, unadhani hayo mambo ni maisha ya lebel yenu iliyoitwa kwenda kupenywa na Odiddy?
 
Akikatwa watachongoa ka mdomo kwamba kaonewa ama Mbowe kaogopa ushindani - huyu ni wa kumuacha hadi akutane na number ya kiatu.
 
Kati ya wewe chawa wa Diamond na Lissu aliye mwanasheria nguli nani anajua hayo mambo zaidi?

Wewe si ni kinyago tu mbele ya mambo ya sheria?

Watu wameshachukua mpaka fomu za ugombea unadhani kampeni bado hazijaruhusiwa?

Halafu hata mwenyekiti naye si alishafanya press kadhaa kabla hata ya kuchukua fomu? Au na yeye atajikata!

Halafu ulichosahau ni Lisu anafanyaga press kama Deputy Chair, empty set kabisa chawa!!!
mwehu wa 2,
ishu hapa syo press,
ishu hyo press alitamka nini.

kuna sehemu alisema mnichague mimi kuwa mwenyekiti hapo ndo kampeni inaanza na utata ulipo
 
Uzi umejaa vichambo.
Wafuasi Mbowe na Lissu mnapapatuana kutafuta kura.
Ushauri wangu baada ya mitifuano hii uchaguzi ukimalizika mzike tofauti zenu, mkae meza moja ili muimarishe chama chenu.
 
View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.

Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.

Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.

Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
Wewe chawa wa mbowe ebu acheni kuvuta bangi ghetto kisha kushauriana na mbowe ujinga huu, Lisu yupo sahii kufanya chochote anbacho havunji kanuni na wala haropoki ameongea ukweli mtupu na safari hii Mbowe atanyooshwa mpaka akonde, Madudu, ufisadi, uovu na mambo yote ya hovyo ya mbowe yataanikwa, hakuna mtu anataka huruma ya mbowe akithubutu kumwengua Lisu kwenye uchaguzi ajue chadema itakufa na kuwa kama CUF Lipumba
 
Maccm mnamhofia sana Lissu. Kila dakika unapandisha uzi kumkandia hujui ni sawa na kumpiga chura teke.
Chawa wa mbowe wakiongozwa na kamati ya Roho mbaya chini ya Mdee, Wenje na Boniface wanahaha kila kona kumtetea Mbowe huku wakihaha kumdhoofisha Lisu
 
Mbona Lema ni mchaga na yupo team Lissu? Vijana wa mwezi mchanga acheni ubaguzi
Udikteta wa mbowe wizi wa pesa za chadema Kisha kuzitakatisha kwa kujidai alikopesha chama amewachosha akina Lema ndiyo maana hataki ujinga wa mbowe licha yakuwa ni ndugu yake wa damu
 
Nakumbuka alimtetea hadi mama yako mzazi pia.Lissu ni shujaa.
Mbowe hakuwa kazoea kampeni alizoea kupita bila kupingwa baada ya kuwadhoofishwa wapinzani wake, safari hii Lisu kamweza kampeleka kwenye kona ya kampeni mauvu madudu ufisadi na mambo yake yote ya hovyo afanyayo mbowe yataanikwa wazi sasa ndipo mbowe kapagawa na kuunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na boniface wamdhoofishe Lisu
 
Anaongea mno. he's not a Presidential candidate
 
Makamanda naona mmechanganyikiwa kweli kweli😂
Mbowe anaogopa kuachia uenyekiti kwa hofu ya mambo yake ya hovyo aliyofanya akiwa mwenyekiti kujulikana zaidi , atatumia gharama yeyote afanye uchakachuaji aibe kura awe mwenyekiti tena afunike maovu yake
 
Anaongea mno. he's not a Presidential candidate
Kipindi cha kampeni maana yake nini?
Maana ya kampeni ni kuongea, usimpangie mtu cha kuongea kisa labda kugusa masilahi ya mbowe ambaye kwa sasa ana pressure kubwa kutokana na hakuwa kajipanga vizuri kwa kampeni alijua atapita bila kupingwa kama alivyozoea miaka yote
 
Back
Top Bottom