Mbowe ni mwizi kama wezi wengine na yafaa amshukuru Lisu kugombea uenyekiti ili sasa ajue mapungufu yake live, ajue udhaifu wake live, ajue kuwa watu wanajua huiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha kwa kujidai alikopesha chama na kutumia pesa zake kuendesha chama, kutengeneza madeni hewa kuharalisha ufisadi wake, Kampeni za sasa ambazo Mbowe hakuzoea zitamsaidia kujitambua kujua kuwa maovu yake yanajulika licha ya Udikteta wake kuzuia asijulikane, hata ikitokea kaiba kura akawa mwenyekiti tena ataongiza chadema kwa Adabu na misingi ya katiba tofauti na sasa anaongoza chama kienyeji sasa ni Duka saccos yake, katibu mkuu hana mamlaka juu pesa, idara ya pesa yupo peke yake