LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Weka ushahidi hapa mkuu...Lissu anafanya mikutano ya live akijinadi na kuomba kura kwa wajumbe. Usiniambie uhoni anavyojaribu kushawishi watu wamchague.
Mbowe yupo kimya sababu anah shimu utaratibu.
Anajinadi vipi kwa mfanoLissu anafanya mikutano ya live akijinadi na kuomba kura kwa wajumbe. Usiniambie uhoni anavyojaribu kushawishi watu wamchague.
Mbowe yupo kimya sababu anah shimu utaratibu.
tulia wewe muda wa kufanya propaganda chafu badoView attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.
Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
Wewe kamtu ni kapuuzi fulani, unadhani hayo mambo ni maisha ya lebel yenu iliyoitwa kwenda kupenywa na Odiddy?View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.
Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
una wazimuLissu ni kirusi kibaya sana Chadema.
Kwasabb anataka kukata ulaji wa Nkurunzinza Mbowe eehLissu ni kirusi kibaya sana Chadema.
we ni mwehu kama lisu.Hao wanaosema Mbowe tano tena ni Nini?
mwehu wa 2,Kati ya wewe chawa wa Diamond na Lissu aliye mwanasheria nguli nani anajua hayo mambo zaidi?
Wewe si ni kinyago tu mbele ya mambo ya sheria?
Watu wameshachukua mpaka fomu za ugombea unadhani kampeni bado hazijaruhusiwa?
Halafu hata mwenyekiti naye si alishafanya press kadhaa kabla hata ya kuchukua fomu? Au na yeye atajikata!
Halafu ulichosahau ni Lisu anafanyaga press kama Deputy Chair, empty set kabisa chawa!!!
hivi kumbe ni vita dhidi ya wachaga na sii mbowe.......Chagga gang! [emoji16]
Wewe chawa wa mbowe ebu acheni kuvuta bangi ghetto kisha kushauriana na mbowe ujinga huu, Lisu yupo sahii kufanya chochote anbacho havunji kanuni na wala haropoki ameongea ukweli mtupu na safari hii Mbowe atanyooshwa mpaka akonde, Madudu, ufisadi, uovu na mambo yote ya hovyo ya mbowe yataanikwa, hakuna mtu anataka huruma ya mbowe akithubutu kumwengua Lisu kwenye uchaguzi ajue chadema itakufa na kuwa kama CUF LipumbaView attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.
Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
Chawa wa mbowe wakiongozwa na kamati ya Roho mbaya chini ya Mdee, Wenje na Boniface wanahaha kila kona kumtetea Mbowe huku wakihaha kumdhoofisha LisuMaccm mnamhofia sana Lissu. Kila dakika unapandisha uzi kumkandia hujui ni sawa na kumpiga chura teke.
Udikteta wa mbowe wizi wa pesa za chadema Kisha kuzitakatisha kwa kujidai alikopesha chama amewachosha akina Lema ndiyo maana hataki ujinga wa mbowe licha yakuwa ni ndugu yake wa damuMbona Lema ni mchaga na yupo team Lissu? Vijana wa mwezi mchanga acheni ubaguzi
Mbowe hakuwa kazoea kampeni alizoea kupita bila kupingwa baada ya kuwadhoofishwa wapinzani wake, safari hii Lisu kamweza kampeleka kwenye kona ya kampeni mauvu madudu ufisadi na mambo yake yote ya hovyo afanyayo mbowe yataanikwa wazi sasa ndipo mbowe kapagawa na kuunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na boniface wamdhoofishe LisuNakumbuka alimtetea hadi mama yako mzazi pia.Lissu ni shujaa.
Mbowe anaogopa kuachia uenyekiti kwa hofu ya mambo yake ya hovyo aliyofanya akiwa mwenyekiti kujulikana zaidi , atatumia gharama yeyote afanye uchakachuaji aibe kura awe mwenyekiti tena afunike maovu yakeMakamanda naona mmechanganyikiwa kweli kweli😂
Kipindi cha kampeni maana yake nini?Anaongea mno. he's not a Presidential candidate