Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Na hatoki. Nyie mtabaki kupiga kelele tu kama kawaida😁Mbowe anaogopa kuachia uenyekiti kwa hofu ya mambo yake ya hovyo aliyofanya akiwa mwenyekiti kujulikana zaidi , atatumia gharama yeyote afanye uchakachuaji aibe kura awe mwenyekiti tena afunike maovu yake
Mbowe uchaguzi huru na haki hawezi kushinda, Mbowe atapora ushindi wa Lisu kwa uchakachuaji na wizi wa kura tu, Wajumbe moyoni wapo na lisu na machoni wapo na mbowe ili wale pesa za mbowe ambazo anagawa kama njuguAkikatwa watachongoa ka mdomo kwamba kaonewa ama Mbowe kaogopa ushindani - huyu ni wa kumuacha hadi akutane na number ya kiatu.
Hilo ndio kosa kubwa la 2025 anaconda kulifanya mwenyekiti ni kumtoa kwenye reli mgombea mwenza wake! Itakifuta Chama hiki kwenye orodha.Angalia usije ukakatwa wewe
Mbowe akithubutu kumfuta Lisu ajue chadema itakuwa kama NCCR TLP na CUF ya LipumbaHilo ndio kosa kubwa la 2025 anaconda kulifanya mwenyekiti ni kumtoa kwenye reli mgombea mwenza wake! Itakifuta Chama hiki kwenye orodha.
Ingieni kwenye uchaguzi wa haki na amani hiyo siku.
Bwana akatamalaki...
Umetumwa?.View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.
Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
Hata wewe unamjua vyema.Si huwa mnasema ni wakili msomi!
View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.
Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
Mtetezi wa mambo ya pdidy ni tundu antipasi lissu. Dunia yote inajuaWewe kamtu ni kapuuzi fulani, unadhani hayo mambo ni maisha ya lebel yenu iliyoitwa kwenda kupenywa na Odiddy?
Kaiba nini Mbowe?Mbowe ni mwizi kama wezi wengine na yafaa amshukuru Lisu kugombea uenyekiti ili sasa ajue mapungufu yake live, ajue udhaifu wake live, ajue kuwa watu wanajua huiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha kwa kujidai alikopesha chama na kutumia pesa zake kuendesha chama, kutengeneza madeni hewa kuharalisha ufisadi wake, Kampeni za sasa ambazo Mbowe hakuzoea zitamsaidia kujitambua kujua kuwa maovu yake yanajulika licha ya Udikteta wake kuzuia asijulikane, hata ikitokea kaiba kura akawa mwenyekiti tena ataongiza chadema kwa Adabu na misingi ya katiba tofauti na sasa anaongoza chama kienyeji sasa ni Duka saccos yake, katibu mkuu hana mamlaka juu pesa, idara ya pesa yupo peke yake
Mpumbavu ni wewe unayedhani makamu mwenyekiti ni Mungu asiyekengeuka. Kama Chadema ina watu wa aina yako, tatizo lipo.Mpumbavu ni wewe unayejifanya unaijua katiba ya CHADEMA kuliko Makamu mwenyekiti wa CHADEMA!
Kama wewe ulivyo kirusi kibaya sana hapa JF.Lissu ni kirusi kibaya sana Chadema.
Akikamatia hapohapo hasara ni kwa nani?hivi kumbe ni vita dhidi ya wachaga na sii mbowe.......
sasa tunaanza kuelewa......
mbowe kamatia hapo hapo.....
Mwenyekiti hajafanya kampeni kwa kulisha watu sikukuuLissu ameanza kampeni kabla ya wakati.