Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Mliogopa kuingia kwenye mgogoro wa moja kwa moja wa kidiplomasia na hayo mataifa mawili, wacha povu.

Mbona siku ile mmemchukua nje ya ubalozi wa ujerumani mlifuatiliwa kwa nyuma na mzungu mkaogopa mkaenda kumuachia Oysterbay? wacha kupayuka, mnajua record yenu sasa hivi ni mbaya kwenye masuala ya demokrasia na utawala bora, hamuwezi kuendelea kuharibu mbele ya hao wazungu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Lisu anakimbia kitu gani maana selikali inamuogopa?
 
Pamoja na mengine, mtu huwezi toka nje ya nchi kuja kugombea urais tu na kuondoka, hakuna mtu atakuchagua na hakuna mtu atakukabidhi nchi.
Mbowe anajuta sana sasa hivi.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA aishiye Ubelgiji. Jipangeni 2025 mtashinda kwa kishindo.
 
Maandamano yasiyo na kikomo yameishia wapi ?Bora hata msingetaja maandamano.Wapinzani huwa mnakurupuka na kusema vitu ambayo hamuwezi timiza. Grow up.
Hatuna wapinzani Tanzania. Tuna wahuni tu wachache na wenye njaa. Period!
 
Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.”
View attachment 1623507
View attachment 1623501View attachment 1623502View attachment 1623504View attachment 1623505View attachment 1623506

View attachment 1623554
Tulikuwa hatumtafuti Rais wa Ubeligiji bali tulikuwa tunamtafuta Rais wa Tanzania na tumempata Mh. John Pombe Magufuli. Zilizobakia kwa wengine ni mbwembwe tu
 
Nenda shujaa wangu uliyoyafanya katika kampeni ni makubwa sana, ulionesha udhaifu mkubwa wa jiwe mpk akawa anaweweseka cz hakutegemea kabisa, uhai wako ni kitu cha msingi kuliko siasa uchwara za nchi hii nw
 
Hivi chadema wangekua wamechukua majimbo yote kasoro mawili kwenye uchaguzi, halafu CUF na CCM wakapata kitu kimoja kimoja mngesema CCM waachiwe baadhi ya majimbo ili kuweka balance bungeni?

Chadema tafuteni mlipokosea mtengeneze..... manenomaneno, matusi, uasi, ukimbizi hautamsaidia mtanzania yoyote zaidi ya hao viongozi wenu wabinafsi na wanaojifikiria wenyewe.

Chama mlikinajisi wenyewe kwa kumwita mliyemtuhumu fisadi kugombea urais, tena mbaya zaidi mlimkaribisha baada ya chama chake kumwambia hawawezi kumpa nafasi ya kuongoza dola sababu sio muadilifu.

Nyie sababu ya tamaa zenu za pesa mkamsafisha bila haya ili mshirikiane nae kufisadi nchi.
Hamkujifunza kwa Lowasa 2015........

Na ilipofika 2020 mkakinajisi tena chama kwa kumuweka mgombea mtetezi wa mataifa ya nje asiyejali maslahi ya wananchi. Eti mgombea wenu akaanza kampeni awe mbwembwe huku akiwatukana watanzania wasomi na wasio wasomi hadi maJaji kuwa hawajui kiingereza, eti mkawadharau police na kuwaambia wamechoka na wana hali mbaya, mgombea wenu akawa mjuaji wa kila kitu akamdharau hadi baba wa taifa Nyerere. Kwa kampeni zake hakuna kilichofanyika Tanzania tangu wazungu waondoke.... analazimisha eti hata kwenye reli hakuna kilichofanyika ila reli imejengwa na mjerumani
Juu ya yote akawaahidi waliomtuma hadi kwenye ilani ya chama chenu kwamba akiingia ikulu ataweka madini kama dhamana kwao ili wampe pesa.

Kampeni mwanzo mwisho mgombea wenu alikua akituringishia nguvu ya wazungu, akijidai wakili wake anafuatilia kitu. Watanzania walijiuliza hivi tukimpa kura atatuongoza yeye au atatuongoza kwa amri ya hao mabwana aliowaahidi kuweka mali zetu rehani kwao?

Hivi kweli hadi Karne hii bado kuna wasomi wa Tanzania tunatumia elimu tuliyo nayo kuweka rehani nchi yetu kwa wazungu badala ya kutumia ujuzi na elimu yetu kuvuna rasilimali zetu kwa faida? Tundu amelifedhehesha sana taifa

Hivi mlifikiri watanzania ni wajinga kiasi cha kumchagua mtu kama huyo kuwa rais wa nchi?
Wafuasi wa Tundu ambao ni wachache sana wana mienendo kama ya Tundu.
Tuliwashauri mapema mkawe mawakala ili mkasimamie haki mnayoiimba hapa jf hamkuskia, tena badala yake chama chenj kikatafuta ambao hadi leo hakijawalipa posho zao.

Matokeo yake kila siku mnarudi hapa kulalamika kwamba mmeibiwa kura, hivi hamjisikii aibu kila uchaguzi mnalalamikia tatizo lilelile kama sababu ya kushindwa? Hamuoni kama nyie ni chama kisichoweza kutatua matatizo ya chama wala ya wananchi?

Haya sasa wananchi wamewakataa kwenye kura, wamewakataa kwenye maandamano, wamewakataa kwenye kuigomea serikali....... na hii inaonyesha chama chenu sio cha wananchi bali ni cha viongozi ndio maana mmebaki wenyewe mkihangaika.
Ingekua wananchi wanawapenda kungekua na maandamano yasiyozuilika kama maji ya jangwani kipindi cha mafuriko ila wananchi wana raha na amani tele, hata wale mliowaandaa kwa malipo sasa wanajuta na hawawezi rudia

Kwa tamaa zenu 2015 mliua kile chama tulichokipenda, Ile chadema ya wananchi, chadema iliyokua tumaini la wanyonge, chadema ya Mzee Ndesamburo na Dr Sla na wale viongozi wengine makini. Laana itawaandama kama hamtawaambia wananchi mliwakosea ili muanze upya

Maisha sio rahisi kwa mtanzania yoyote hata kwa Rais, huu ni muda wa kujenga uchumi wetu tuliouharibu na huduma za kijamii kwa maslahi yetu wote. Acheni kulalamika sasa

Tundu asafiri salama, tunamshukuru kwa kushiriki

Mods msidelete
Mama D ukikaa kimia, itakua ni busara Sana kwanchi yako hata sie majirani zako mkuu,mpaka mda huu ,lazima kutambua kwamba Kuna Mambo hayako sawa NDUGU, hii ni crisis and I don't, which language should I use in this kind of of error,only God knows
 
Nadhani mkuu'Joka' kakosa neno sahihi la kutumia hapo, ikamlazimu alitumie hilo hilo la "busara" hata kama haliendani na alichotaka kuwasilisha.

Hata kichaa wakati mwingine hurudiwa na fahamu, akiona jambo/kitu hatarishi kwa uhai wake ni lazima ajiepushe na madhara. Hiyo ndio hali anayotumia dikteta wetu.

Usione kujipigapiga kifua akiwa kwenye TV ukadhani yupo tayari kukabiliana na hatari anazojua zitamwondoa kama kinyago.
Mkaambiwa andamaneni kuondoa huyo dikteta wenu mkaishia kuandamana humu jf na twitter
 
mimi mama d nilikua mwanaharakat wa kupenda kusikia kipind kile cha slaa kampen zilikua kal sana tangu kusikia ishu za kusapot ushoga bad nilichukia sana .na kuwekwa lehani madini hapo ndio walinitibua.nawapongeza waheshimwa walioshinda majimbon kwa kishindo safar hii maji kila kona mpaka yamwagike

Umesema ukweli, na hiki ndicho kinkinachoumiza watu wanaipenda nchi yao.

Kwa kweli nikikumbuka siku Lowasa anajiuzulu kwa issue ya ufisadi ilivyokua shangwe kila kona ya nchi, na nikikumbuka chadema bungeni walivyoweka uchama kando wakashirikiana na spika kumbana Lowasa.

Nabaki kuwashanga chadema waliokuja kumsafisha, na hawa wa sasa wanaotuletea promo la ushoga na usagaji na kuiweka nchi rehani nashindwa kuwa mnafiki kusema kuwa Chadema bado ni chama pinzani

Chadema walishageuka kuwa madalali na vibaraka muda ila nyuma ya mgongo wa demokrasia
 
Kuna uhitaji mkubwa sana wa kufanya upgrading ya jamii kupata kizazi chenye uwezo wa kufikiri vizuri kwa mustakabali wa taifa.

Utafiti ufanyike kupata familia zenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo bila kufuata mkumbo halafu kila kijana ashauriwe kutafuta mwenza kutoka miongoni mwa hizo.

Kwa maoni yanayotolewa hapa, baadaye inawezekana tukashindwa kujitawala.

Mapumbavu ni mengi mno.

Jamii ikiwa na watu wengi wasioweza kujua jema na bayainaweza kujiteketeza yenyewe.
 
..he gave his all, and then some.

..it will be totally unfair kutarajia Lissu aendelee kukaa hapa nchini ktk mazingira haya ya kisiasa ya Tanzania ya Magufuli.
Mbona mwanzo mlisema hakutakalika imekuwaje sasa?
 
Mama D ukikaa kimia, itakua ni busara Sana kwanchi yako hata sie majirani zako mkuu,mpaka mda huu ,lazima kutambua kwamba Kuna Mambo hayako sawa NDUGU, hii ni crisis and I don't, which language should I use in this kind of of error,only God knows

Unataka nikae kimya kuhusu nini mkuu?
 
Panya ukimuona nyumbani ukimkimbiza angalia shimo anakokimbilia huko ndio Kwao Lema na Lissu wamekimbizwa Tanzania wamekimbilia mashimo ya Kenya na Kutaka kwenda USA kwa Lema ukimbizi kwa Lema na Lissu katimukia ubalozi wa ugermani na ubelgiji huko ndiko shimo lake alikotokokea.

Mungu mwema katuonyesha watanzania panya hawa tuliowakimbiza wametokea mashimo yepi.

Toka mwanzo tuliambiwa Chadema wamiliki Ni wakenya ,wazungu na wamarekani tumeshadhibitisha wanaenda kwenye mashimo yao.
Daah!! Serious unaamini hivyo!!??
 
Bavicha ndio mjue kuwa mnatumika wenzenu kikinuka wanatimka kama hivi.

Unapojihusisha na lolote kuhusiana na hawa mabwana ujiulize kama na wewe utakuwepo katika nafasi aliyonayo mtu kama huyu endapo hali itaharibika.
 
Uzuri alishatuaga, kuwa baada ya uchaguzi ataondoka. Alichokosa ni nauli tu imebidi ajidai mkimbizi.
Bila shaka hukumfuatilia vizuri, manake alisema anayo tiketi ya ndege ya kurudi Belgium, kwa ajili ya medical check up.
Au ni jina Kifaurongo linasumbua.
 
Back
Top Bottom