Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Mkaambiwa andamaneni kuondoa huyo dikteta wenu mkaishia kuandamana humu jf na twitter
Kutokuwepo maandamano kusikuvimbishe kichwa sana. Wewe fahamu tu kwamba hali sio shwari tena kama unavyojidanganya kuwa kila kitu kiko sawa!
Lakini najua wewe ni mpiga zumari tu asiyejua lolote; na wala huna uwezo wa kusoma alama zinazoonyeshwa na hao wanaokupeleka chooni.
 
Mimi sijaelewa. Yaani unaweka mpira kwapani halafu unasema unaenda kutafuta alama tatu mezani. Sasa huyu ana tofauti gani na Yanga SC kukimbilia CAS kwa isaue ya BM33. Haaa haaa. Wajinga ndio waliwao..
 
Kama kuna MTU aliyewahi kuwaondoa raia woga dhidi ya mungu MTU wa kibongo ni wewe.

Kwenye kampeni zako hata yaya alikuwa hakosi bando kwenye kisimu kake kumfuatilia mh T Lissu.

Tunakutakia kila LA heri katika kiwanja kipya cha kupambania utu haki na demokrasia iliyouawa nchini Tanzania miaka takriban 55 baada ya ukombozi kutoka kwa mkoloni nweupe.

Hali ya nchi yetu kwa sasa in mbaya kuliko ilivyokuwa kabla ya Uhuru.

Tunahitaji kujikomboa kutoka katika kongwa hili la utumwa wa mweusi mwenzetu.
 
Jamaa asingesindikizwa na makachero WA US na Germany angedakwa
 
Lissu mbabe sana kasindikizwa na vyombo venye intelligence ya juu kuliko ya Jiwe!
Pengine wame mwambia twende tune kenge atakaye kusogelea mmaeeee hao ndio beberu ukisikia wengine ni kondooo German na US[emoji119][emoji119][emoji119]
Wapi wewe, nyie ndio mliwaaminisha huku kuwa kinawaka[emoji16][emoji16][emoji16]
sisi hatutak ujinga. Mimi nilikuja kujua jamaa watoto wapo USA nikicheki wanangu wapo hapa hapa halafu mtu alete mazegere et# sasa bas #

Nyeee nyeeeeh, nilikwenda shule ya msing juhudi nikasema yaan tuwekewe rehan sisi? Hapana kudsdek chkua karatas [emoji818][emoji818] jpm .
ssasa ni mwendo wa kasi kuvwa zaid aringuvu mpya.waheshimiwa wapige kazi
 
Uzuri tulishaambiwa kuwa anayo tiketi ya kuondoka kwenda UBELGIJI. Hivyo aache janja janja.
 
Imeisha hiyo, harudi tena na siasa ndio kaiacha sasa. Hana hamu na watanzania.
 
"...conceed an election"? Do you even know what is an election?
We’re dealing with narcissists who have never conceded an election in the country’s multiparty history. By now, Lissu, Maalim Seif and other narcissists should know that we don’t have a place for Savimbis in Tanzania!
..."?
 
Lissu amekuwa muoga sana lazima nikiri, CHADEMA imekufa wamebaki rasimali watu tu. Kiongozi wa kisiasa hatakiwi kuwa legelege hasa wakati wa mapambano. Anyway tunaanza upya sasa kwa Tanzania bara. Kule Zanzibar mapambano yataendelea Maalim Seif hahami visiwa vya Zanzibar kwa kuogopa chama tawala ametishwa sana, ametegwa masumu sana lakini madhubuti. Wabongo ni kelele tu watahitaji muda sana kuiva kwenye haya mapambano
 
Wapi wewe alen kwateman.mim ndio kibibi gagula sasa, iibwe wapi ngoma imepigwa nyeupe peee. Mmechoma ushahidi uliona wapi? Kifupi watanzania mimi hushinda sana vijiwe vya gahawa wote wanasema wasingependa kuona rasilimali zetu hasa madini eti yawekwe bondi
 
Lissu amekuwa moga sana lazima nikiri, chadema imekufa wamebaki rasimali watu tu. Kiongozi wa kisiasa hatakiwi kuwa legelege hasa wakati wa mapambano. Anyway tunaanza upya sasa kwa tanzania bara.

Kule Zanzibar mapambano yataendelea maalim seif hahamipo visiwa vya zanzibar kwa kuogopa chama tawala ametishwa sana, ametegwa masumu sana lakini madhubuti. Wabongo ni kelele tu watahitaji muda sana kuiva kwenye haya mapambano.
 
Weka ushahidi wewe, acha hizo longolongo zako.

Wewe ndiye uliyewaondoa walinzi kwenye lindo alikoshambuliwa Lissu?

Kama si wewe kamtafute huyo kwa maana yupo.

Atakuonyesha kuwa aliyefanya hilo pia alimnyima lissu fursa ya tiba, stahiki zake, akamfukuza ubunge, akambambikizia kesi, akamwekea mizengwe uchaguzi mkuu, akamwibia uchaguzi, akapanga kumkamata, akapanga kumwua nk. Sasa ameachwa Solemba!

Hivi yuko kama panya shimoni.

Inatia kinyaa. Dunia nzima inamjua na inamlaani yeye na vijibwa vyake.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah sasa tunamtegemea Kamanda tuanze kuandamana kesho leo kasepa Dah
 
Aende AYAACHE MADINI YETU SALAMA... HAO WAZUNGU WALIOMSINDIKIZA SISI HATUWAOGOPI... SI NDIO WSLITAKA KUIBA MICHANGA YA DHAHABU MAGUFULI AKAXUIA... WanaMPENDA LISU MAANA AMEWAAHIDI KUWAPA MADINI YA WATANZANIA. Kwa kuweka rehani.
 
Poleni sana, mmeishia kuaibika tu.

..kwanini hakushikwa uwanja wa ndege wakati ana kesi mahakamani?

..tukubali kwamba serikali imesalimu amri kwa kumuacha aondoke wakati ikimhitaji akajibu mashtaka ya uchochezi.

Mmeshahamisha magoli, ilikuwa ni lazima tundu awe Raisi wa JMTZ baada ya Uchaguzi, ikaja maandamano bila ukomo nchi nzima sasa imegeuka kuwa Serikali yetu inamuogopa? Kama inamuogopa si ingemkabidhi Uraisi basi au hata tu wangeunda Serikali ya mseto ?
 
Sasa kesi zake itakuwaje maana mahakama ilisema lazima awepo tarehe 3/12
Hao mahakama wametoa macho kumuona Tundu lissu anaondoka,walitamani asingekuwa na msafara kutoka ubalozi waUSA, Germany na Belgium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…