Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Mission impossible!

It's a hard learned lesson, Watanzania "hawasomeki"

Ulikuja kama ulivyo na unaondoka kama ulivyo!
Hawanunuliki kwa Dola & hawahadaiki kwa English (eg. "nothing more, nothing less") & hawababaiki kwa vitisho vya vikwazo vya Amsterdam
 
Afadhari kaachiwa aondoke. Hata Lema, Nyarandu na mtu yeyote yule anayetaka kwenda kuomba hifadhi ng’ambo aachwe aondoke tu. Hakuna sababu ya kumzuia mtu.

Vitu vingine Jiwe na genge lake wanavikuza na kuwapa watu nafasi ya kuspeculate mambo
Waende magu bado Yuko sanaaa

Watakaporudi watakuwa wamezeeka

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mipopompo Tanzania ndio inamshabikia Rais dikteta mwongo anayelewa madaraka kujihisi kamungu flani . Kanakopenda sifa na ushamba hakaogopi kuua binadamu unapopishana naye mawazo.kamenyamazisha wastaafu kinafiki. Kinatumia pesa zetu nyingi kufanya dhima za kujitangaza sifa sifa. Ebu muwe chembe ya kuzinduka. Wamemalizwa kidhuluma waliokuwa wakipaza sauti kwa ajili yetu mnafuraia . Mtalia na kusaga meno
Afadhali kilio cha kupigo kwa baba kuliko cheko kwa beberu na mnyonyaji
 
Alipokuja alipokelewa na umati wa watu ameondoka kama kuku alienyeshewa.
Hii ndio Tanzania bwana hatupendi kujipendekeza kwa wazungu.
 
Back
Top Bottom