Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Sijui mtu watu wakianza kuukimbia utawala wako namna hii hapo ulipo wewe unajisikiaje.

Inanikumbusha ile miaka ya sabini watu walivyokuwa wakikimbia utawala wa kidikteta wa Idi Amin Dada kule Uganda.
 
Majamaa wamewaachia watu misala wao wamekula kona...hapa ndio muwe mnatusikiliza upinzani TANZANIA bado sanaaa.
 
Sijui mtu watu wakianza kuukimbia utawala wako namna hii hapo ulipo wewe unajisikiaje.

Inanikumbusha ile miaka ya sabini watu walivyokuwa wakikimbia utawala wa kidikteta wa Idi Amin Dada kule Uganda.
Kwa MTAWALA hiyo ndiyo umuonesha kuwa mamlaka yote yapo mikononi mwake Ila kwa KIONGOZI ni lazima atafute namna ya kurekebisha mambo.
 
Siwezi kumjibu mtu mpumbavu kama huyu...hata siku moja..mimi katika maisha yangu sjawahi kulipwa kama huyu mimi naoshi kwa jasho langu.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
LISSU kauweleze ulimwengu ulioyaona na kuyasikia. ✌🏽✌🏽✌🏽
Akili yangu inaniambia Magufuli anaenda ICC, na atakutana na LISSU huko.
 
Napingana na statement yako. Watanzania walimjazia Kura za ushindi. Ila NEC kwa kushirikiana na Vyombo vya Dola walipora ushindi na kutangaza walioshindwa.
Kwanini mkashindwa kumuunga mkono alivowaomba muingie barabarani kuaddress hii hali?
 
Kwanamna uchaguzi wa mwaka huu ulivyobakwa na CCM hakuna namna akatafute usaidizii tu nje.
 
Hamna mtanzania hata mmoja aliyemsindikiza isipokuwa mabeberu?

Sawa atakuwa rais wa Ujerumani ,Ubelgiji na Marekani
 
Mkuu unaishi mwezini,taratibu hapa ni uchaguzi ukiisha hakuna mikutano ya hadhara,hakuna kufanya siasa labda kwenye jimbo lako kama umefanikiwa kuupata ubunge.
Vinginevyo ni mpaka baada ya miaka mitano.
Bila hata kujaribu akahujumiwa ili dunia ione! Hamna bana jamaa hawajali makamanda na nina dhani hana hamu nao baada ya makamanda kumtosa kwenye maandamano
 
Anakimbia huku anasema sikimbii, ha ha ha duh.
Jamaa anajiita mzalendo , wakt akiwa huko nje anaend kuichafua nchi, kuisemea mabaya. Usumbuliwe na wanasiasa ,huende kuikandia nchi.

Hawa ndo wale mke au mume akisumbua, anaenda kuropoka kilabuni. Hakun serikal au nchi isiyokuw na migongano, je wao wanakufata

hao wanao kusindikza mnajuana, mnafunguliana njia, mgeuze TZ iwe kama Libya..I hate siasa lakkn zaidi sipendi hawa wanafki wanaojifcha ktk kivuli cha harakati

kuna mwenzao mmoja Uganda anayetetea haki za mashoga kabanwa ktk interview anakimbia


Pumbqv kabisa
 
Bila shaka hukumfuatilia vizuri,manake alisema anayo tiketi ya ndege ya kurudi Belgium, kwa ajiri ya medical check up.
Au ni jina Kifaurongo linasumbua.
Mbona aliropoka mengi tu, yamekuwa?? Cha muhimu alituaga hata tarehe haikuwa hii lakini ameondoka. Kwenda ubelgiji kama alivyosema😂😂
 
Lile jengo la bunge lipigwe chapa ya kijani kabisa, na vilaka vya CCM tujue kabisa.

Kile kikundi cha wahuni wa CCM kijulikane mapema.
Take some pain-killers & sleep
Kumbe walitaka kulipia nchi halafu wao wasepe zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…