Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Buku Saba wa Lumumba na VPN za kuwekewa na Polepole katika ubora wao!

Maandamano hayakufanyika kwa sababu Polisi walitishia kuua raia full stop

Raia waliogopa kuuawa na jeshi lao wenyewe!
Kwani mlipowasahawishi watu waandamane hamkujua kwamba kuna Polisi? Acheni visingizio vya uongo?
 
You are stupid na kichwa cha kufikiri kuwango cha kichwa cha kuku
 
Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.

Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.


Wakikuelewa uniambie sidhani kama kuna mtu anaweza kuliona hilo kabisa kabisa............... na wanazidi kumpa pressure jiwe. kuna siku tutaamka tuambiwe alilala halafu..........
 
Duuuh, jamaa kapanda maendeleo ya vitu.
Unatuachia majonzi kwa kuondoka na wabunge wetu zaidi ya 70. Unatuachia mmoja tu?
 
Bwege ni wewe mwenyewe na taasisi yako ya CCM japo unaaminishwa kuwa hicho ni Chama cha kisiasa kwa ubwege wako wamuona Lissu hafai ni nani aliyekuroga bwashee hadi kushobokea wakoloni weusi wanaokuona wewe ni zuzu Bwege mtozeni 🙄🙄
Hii inaitwa Political Tourism. Unaenda nchi fulani unagombea Urais, Uchaguzi ukiisha unapanda ndege unaenda kuendelea na maisha yako.

Wale waliomuamini wote anawaona mabwege.
 
Leo amekumbuka kuvaa barakoa wakati kwa muda wote wa kampeni kapiga pua nje

Vitu vingine ukiona hujui maana nyamaza tuu. Hakuna msafiri wa kwenda nchi nyingine yeyote ambaye havai barakoa na kwenye ndege hata kama unakwenda mwanza lazima uvae barakoa
 
Majina ya waliouwawa yametolewa na picha tumeziona,jeshi la polisi kwanini halijakanusha?Ukweli ndio huo,wazanzibar nawashangaa kwanini kila mwaka wa uchaguzi wanakubali kupelekewa askari kutoka bara wanaenda kuua ndugu zao!
Kwani kila anayekufa anakuwa ameuliwa na serikali??
 
Afadhali ameondoka tuanze kulima mvua imeshanyesha.Limbowe nalo linasubiri nini na makengeza yake hapa.Linafikiri limezaliwa kufanya siasa tu.ruzuku mwaka huu itakuwa buku kwa mwezi bambav
 
misri zilitoka familia za viongozi?,Tunisia walitoka familia za viongozi? Mwisho wa siku tuseme ukweli UOGA WETU NDO AMANI YENYEWE.ambayo CCM wanaringia. KUHUSU lisu kwenda UHAMISHONI Hilo Ni Jambo la kawaida hata wanaharakati wa Zamani kuna kipindi walikimbia nchi zao na kwenda kuendeleza harakati wakiwa nchi nyingine na wakafanikiwa kuzikomboa nchi zao.
Kikubwa chadema wasikate tamaa.
Hahaha jomba Nani atoke wakati tulikuwa hatujaona familia yake ikitangulia mbele na Wao wenyewe..ulitaka watu watoke bila kiongozi.mbele yao yani kwa maana nyingine wawe chambo cha riafande..shwainnnn
 
Kama ni kweli Tundu Lissu ameondoka, basi serikali imetumia busara.

Serikali ingeamua kumkamata tungetumbukia ktk mgogoro wa Kidiplomasia na Ujerumani.
Si walishajichanganya wakaenda kumkamata ubalozini sijui nani aliwashtua lazima JK alihusika pakubwa na ndio maana wakaufyata kimya.............. tayari wa zigo zito halibebeki waongeze na lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…