Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Vitu vingine ukiona hujui maana nyamaza tuu. Hakuna msafiri wa kwenda nchi nyingine yeyote ambaye havai barakoa na kwenye ndege hata kama unakwenda mwanza lazima uvae barakoa
Uongo. Ndege za hapa bongo hatuvai barakoa siku hizi
 
[emoji38][emoji38]
Kuna watu walikuwa wa Moto humu.
Nimeshangaa kuona hawajaandamana wanapiga Domo tu kwenye keyboard
Hao wanapaswa kuhesabiwa sasa kuwa miongoni kwa mashujaa wazalendo baada ya kukataa uzushi na hila za yule mfanyabiashara na dalali wa mabepari.
 
Kaongo aka kazee kakinyaturu ulimuona wapi mzalendo akienda kuipambania nchi yake kwenye sayari ya Mars?

Mbona Gadaffi aliacha tone lake la mwisho pale Tripoli?

Kaoga sana aka kadingii

Watanzania tuupime ukweli, hata kikinuka dakika yeyote wenzio wanakimbia kwa mabeberu wao wewe na bibi yako mtaangukiwa na mabomu ya kichwa na kukimbia kama msafara wa minyumbu kule mbugani
Alitamani sana damu ya Watanzania imwagike ili awaridhishe hao jamaa zake. What a shame!
 
Sasa atajipanga saa ngapi?[emoji134]
Truth be told, hawa huwa hawajui kujipanga kabisa. Wanajua tu "ku-2-car-na" na kutengeneza matukio na kuvuruga mipango ya wengine. Ndiyo maana kila msimu wa uchaguzi wanangoja na kuwamendea wale waliokatwa Sisiemu, "war-na-war-sir-fish-a" na kuwanadi kama "war-go-mbea" wao.
 
Kwa nini usingeyasema haya kabla ya siku ya uchaguzi? Huu ni unafiki wa standard gauge, aliyetoa tenda South Afrika ndio alitoa tenda jamana.

Kama ni kuibiwa kura , issue simple Tu mawakala wenu waliofanikiwa kushuhudia matokeo kwenye vituo wakasaini na wakapewa copy ya nakala tunawataka watupe hayo matokeo tujumlishe kama sample tuone kama Lissu alishinda.

Lissu kwenye kura kashindwa hata yeye anajua , angekuwa na uhakika wa ushindi Lissu Kwa ukorofi wake asingekubali kugaveup easily namna hii, amejua kapigwa na kaona no time to waste.
Ndiyo maana, si ajabu, mbunge anashindwa Arusha Mjini ama Hai ama Mbeya, halafu anaondoka jimboni kwake anasafiri umbali wa "key-low-me-tar" maelfu hadi Dar eti kuwaandamanisha watu huko! Watu wa Dar waliwajibu simple tu, Hatuwajui!
 
Uzoefu unaonesha kuwa hata Oscar Kambona na Abdurahman Babu waliporejea nchini kutoka uhamishoni waligombea uongozi wa nchi na walipofeli hawakuondoka kurudi Uingereza....
Au ndio hawa Intanasheno Politishans (mithili ya flaing' doktaz, etc)!?
 
Truth be told, hawa huwa hawajui kujipanga kabisa. Wanajua tu "ku-2-car-na" na kutengeneza matukio na kuvuruga mipango ya wengine. Ndiyo maana kila msimu wa uchaguzi wanangoja na kuwamendea wale waliokatwa Sisiemu, "war-na-war-sir-fish-a" na kuwanadi kama "war-go-mbea" wao.
[emoji38]
Lakini Lissu ni mpinzani pure,hajachukuliwa kutoka fisiemu
 
Vitu vingine ukiona hujui maana nyamaza tuu. Hakuna msafiri wa kwenda nchi nyingine yeyote ambaye havai barakoa na kwenye ndege hata kama unakwenda mwanza lazima uvae barakoa
Sasa hivi nipo naenda Mwanza hatujavaa barakoa. Pili, suala la afya kama ni muhimu kwake angevaa barakoa muda wote wa kampeni alipokuwa hapa
 
Sisemi kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kiviiile, inawezekana kuwa na vitisho na mambo mengine, sawa. Lakini bado haituondolei fikra.

Mawazo yangu ni kuwa kama ni kukimbia nchi ilitakiwa akimbie Mbowe, Zitto, Maalim Seif na Lissu. Eti Lema anatishiwa. Dah! mchagga mjanjaroo kasoma gepu.

Kuna kipindi cha kukimbia. Kwanini asingetiwa jambajamba ili asigombee? Yani agombee, ashindwe ndio akimbie?

Hivi huyo Lissu kama ingekuwa ni wa kuuwawa unadhani angevuka kipindi cha kampeni? Ule ndio ulikuwa muda mujaribu wa kumzimisha. Kapokelewa, kafanya kampeni, kashindwa eti ndio anaona sasa hayuko salama halafu kuna mapimbi yanaamini. Yule ni kibaraka na imethibitika kuwa alitumwa.

Watanzania wanaakili, et waingie barabarani afu ye katanguliza watoto na wake Ulaya. Upinzani hakuna wanasiasa, kuna wachumia tumbo

Mimi chibolodinda
shangaa wewe.colombia saa hiz tunasema mengine.
urongo tu kwanza kutia watu hamsha hamsha bababek kumbe ana tikit ya kurudi.
na aende akirudi atarudi na style ya kwend kakokkoo kuobgea na wafanyabiashara
 
Back
Top Bottom