Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Aliekupa nguvu ya kusamehe binadamu nani?Mkapa ametubu alipokaribia kufa,huyu hata akitubu hatutamsamehe!Tunamuombea maisha yasiyo na furaha,afe kifo kigumu!
dada aziza tulia kwanza, huyo jiwe wako akianza kutandikwa sanction na mabeberu hakika mumeo atakupiga chini..!Wakaandamane ubelgiji kwa waume zao
Mbona hujajibu swali dada?Huko barabarani mtaingia tuu bila kuambiwa muda ni mwalimu mzuri
[emoji23][emoji23] usinichekeshe mimi.Waliishia barabara za Jamii forums
Uongo. Ndege za hapa bongo hatuvai barakoa siku hiziVitu vingine ukiona hujui maana nyamaza tuu. Hakuna msafiri wa kwenda nchi nyingine yeyote ambaye havai barakoa na kwenye ndege hata kama unakwenda mwanza lazima uvae barakoa
Hao wanapaswa kuhesabiwa sasa kuwa miongoni kwa mashujaa wazalendo baada ya kukataa uzushi na hila za yule mfanyabiashara na dalali wa mabepari.[emoji38][emoji38]
Kuna watu walikuwa wa Moto humu.
Nimeshangaa kuona hawajaandamana wanapiga Domo tu kwenye keyboard
Uongo. Ndege za hapa bongo hatuvai barakoa siku hizi
Alitamani sana damu ya Watanzania imwagike ili awaridhishe hao jamaa zake. What a shame!Kaongo aka kazee kakinyaturu ulimuona wapi mzalendo akienda kuipambania nchi yake kwenye sayari ya Mars?
Mbona Gadaffi aliacha tone lake la mwisho pale Tripoli?
Kaoga sana aka kadingii
Watanzania tuupime ukweli, hata kikinuka dakika yeyote wenzio wanakimbia kwa mabeberu wao wewe na bibi yako mtaangukiwa na mabomu ya kichwa na kukimbia kama msafara wa minyumbu kule mbugani
Truth be told, hawa huwa hawajui kujipanga kabisa. Wanajua tu "ku-2-car-na" na kutengeneza matukio na kuvuruga mipango ya wengine. Ndiyo maana kila msimu wa uchaguzi wanangoja na kuwamendea wale waliokatwa Sisiemu, "war-na-war-sir-fish-a" na kuwanadi kama "war-go-mbea" wao.Sasa atajipanga saa ngapi?[emoji134]
Ndiyo maana, si ajabu, mbunge anashindwa Arusha Mjini ama Hai ama Mbeya, halafu anaondoka jimboni kwake anasafiri umbali wa "key-low-me-tar" maelfu hadi Dar eti kuwaandamanisha watu huko! Watu wa Dar waliwajibu simple tu, Hatuwajui!Kwa nini usingeyasema haya kabla ya siku ya uchaguzi? Huu ni unafiki wa standard gauge, aliyetoa tenda South Afrika ndio alitoa tenda jamana.
Kama ni kuibiwa kura , issue simple Tu mawakala wenu waliofanikiwa kushuhudia matokeo kwenye vituo wakasaini na wakapewa copy ya nakala tunawataka watupe hayo matokeo tujumlishe kama sample tuone kama Lissu alishinda.
Lissu kwenye kura kashindwa hata yeye anajua , angekuwa na uhakika wa ushindi Lissu Kwa ukorofi wake asingekubali kugaveup easily namna hii, amejua kapigwa na kaona no time to waste.
Alikwisha chungulia kaburi. anayo haki ya kunusuru maisha yake maadam anaona yapo hatarini.Anakimbia huku anasema sikimbii, ha ha ha duh.
Au ndio hawa Intanasheno Politishans (mithili ya flaing' doktaz, etc)!?Uzoefu unaonesha kuwa hata Oscar Kambona na Abdurahman Babu waliporejea nchini kutoka uhamishoni waligombea uongozi wa nchi na walipofeli hawakuondoka kurudi Uingereza....
Mkuu wakija hapa sijui utajificha wapiHao wanapaswa kuhesabiwa sasa kuwa miongoni kwa mashujaa wazalendo baada ya kukataa uzushi na hila za yule mfanyabiashara na dalali wa mapebari.
Police utumiwa na ccm Kama mpira wa mwilini thamani yao uonekana wakati wa uchaguzi na wizi wa kura.Polisi wakishapewa posho ya mission, husahau kuwa baada ya hapo kuna miaka mingi mbele ya maisha yao ambayo nao wanapigika kama sisi!
[emoji38]Truth be told, hawa huwa hawajui kujipanga kabisa. Wanajua tu "ku-2-car-na" na kutengeneza matukio na kuvuruga mipango ya wengine. Ndiyo maana kila msimu wa uchaguzi wanangoja na kuwamendea wale waliokatwa Sisiemu, "war-na-war-sir-fish-a" na kuwanadi kama "war-go-mbea" wao.
Mkapa katubu na kawaomba msamaha wazanzibar,huyu hata aombe msamaha vipi,hatutamsamehe!Aliekupa nguvu ya kusamehe binadamu nani?
Amini, muda utafika utafuta kauli zako.
Kwa kifupi acha kujifariji, acha kujifariji narudia tena acha kujifariji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepigwa risasi mpaka kufa!Unataka maelezo gani zaidi ya hayo?Kwanini jeshi la polisi liko kimya kama halihusiki?Kwani kila anayekufa anakuwa ameuliwa na serikali??
Sasa hivi nipo naenda Mwanza hatujavaa barakoa. Pili, suala la afya kama ni muhimu kwake angevaa barakoa muda wote wa kampeni alipokuwa hapaVitu vingine ukiona hujui maana nyamaza tuu. Hakuna msafiri wa kwenda nchi nyingine yeyote ambaye havai barakoa na kwenye ndege hata kama unakwenda mwanza lazima uvae barakoa
shangaa wewe.colombia saa hiz tunasema mengine.Sisemi kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kiviiile, inawezekana kuwa na vitisho na mambo mengine, sawa. Lakini bado haituondolei fikra.
Mawazo yangu ni kuwa kama ni kukimbia nchi ilitakiwa akimbie Mbowe, Zitto, Maalim Seif na Lissu. Eti Lema anatishiwa. Dah! mchagga mjanjaroo kasoma gepu.
Kuna kipindi cha kukimbia. Kwanini asingetiwa jambajamba ili asigombee? Yani agombee, ashindwe ndio akimbie?
Hivi huyo Lissu kama ingekuwa ni wa kuuwawa unadhani angevuka kipindi cha kampeni? Ule ndio ulikuwa muda mujaribu wa kumzimisha. Kapokelewa, kafanya kampeni, kashindwa eti ndio anaona sasa hayuko salama halafu kuna mapimbi yanaamini. Yule ni kibaraka na imethibitika kuwa alitumwa.
Watanzania wanaakili, et waingie barabarani afu ye katanguliza watoto na wake Ulaya. Upinzani hakuna wanasiasa, kuna wachumia tumbo
Mimi chibolodinda