Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Aliyempa uwaziri shoga Lugola anamshabikia nani au yale majeshi aliyokodi kutoka Burundi?
Mfateni tundu huko nanyi mfulahie maisha yao hao beberu.

Mlimchnganya Mbowe aikabidi afate mawazo yenu kisha mliemtegemea kama ni pointi kapata zero tu

Ni bora angegombea mbowe mwenyewe huenda angepata wabunge hata watano.
 
Till we meet again wewe ni nwamba mkuu .....Rais mioyo yetu milele wewe shujaa milele.....
 
Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.

Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Hiki ndicho nachokiona, hivi nani anamshauri jiwe kuendesha nchi kwa vitisho? Nani anamdanganya jiwe kujaza bungeni wabunge wa chama chake tu ndio maendeleo?

Kuna muda nafikiria nakosa majibu
 
Mliogopa kuingia kwenye mgogoro wa moja kwa moja wa kidiplomasia na hayo mataifa mawili, wacha povu.

Mbona siku ile mmemchukua nje ya ubalozi wa ujerumani mlifuatiliwa kwa nyuma na mzungu mkaogopa mkaenda kumuachia Oysterbay? wacha kupayuka, mnajua record yenu sasa hivi ni mbaya kwenye masuala ya demokrasia na utawala bora, hamuwezi kuendelea kuharibu mbele ya hao wazungu.
 
Ndio maaana mim nilikaa na kusema mim maisha yang ya kawaida ajr mtu anichochee et ohh tuamshe, thubutu.ugali wangu ataleta yeye?

Mama tanzania kwanza sisi tupo home sweet home. Nawapongeza waheshimwa wabunge wote waliochaguliwa kwa kishindo. Sasa kaz tu
 
Mkaimbishwa wimbo wa maandamano yasiyo na kikomo, msivyo na akili mkashangilia......wakati mwenzenu alikuwa na tiketi yake
Unajisifu kwa kuzuia maandamano ya amani kwa kuwajaza wanajeshi kufagia barabara? Akili matope kabisa! Lengo la maandamano ya amani unadhani ni kushindana na vikosi vya dola?

Eti mna wakamata kina Mbowe kwa ugaidi kisha makosa yasiyo na dhamana mna wapa dhamani, serikali ya ujanja ujanja na mazoba wa aina yako yanashangilia!

Stupid!
 
Pamoja na mengine, mtu huwezi toka nje ya nchi kuja kugombea urais tu na kuondoka, hakuna mtu atakuchagua na hakuna mtu atakukabidhi nchi.
 
Kakuambia amekimbia? Yeye sio mkimbizi na ndio maana passport yake mpya kapelekewa Jana ubalozini na Airport kaondoka kwa Uhuru wake bila bughuza zozote
 
..maana yake serikali ya Tanzania imesalimu amri.

..imeogopa kumkamata Lissu kwani ingechukuliwa hatua na serikali ya Ujerumani.

Tundu Lisu siyo intelligent man, kama mnamuona tofauti basi hata ninyi mna matatizo pia, kama angakuwa intelligent angeweza kufanya vizuri sana tena sana tu, lkn wapi, ...
 
Afadhari kaachiwa aondoke. Hata Lema, Nyarandu na mtu yeyote yule anayetaka kwenda kuomba hifadhi ng’ambo aachwe aondoke tu. Hakuna sababu ya kumzuia mtu.

Vitu vingine Jiwe na genge lake wanavikuza na kuwapa watu nafasi ya kuspeculate mambo
 
Hiki ndicho nachokiona, hivi nani anamshauri jiwe kuendesha nchi kwa vitisho? Nani anamdanganya jiwe kujaza bungeni wabunge wa chama chake tu ndio maendeleo?
Kuna muda nafikiria nakosa majibu
Mkuu stay tuned muda kidogo MAMBO yatakuwa wazi heavy load inakuja....
 
Baharia Mhe. Kasema hana mpango tena wa kuteua makada.

Save your energy bro.

Njoo tunywe bia.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…